Search results

  1. MR MAJANGA

    Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Ok sawa mkuu 🙏🙏🙏🙏
  2. MR MAJANGA

    Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Mkuu nimepita eBay nimekutana na hiki kitu naomba Kwa uzoefu wako unishauri niichukue au niiache?
  3. MR MAJANGA

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Mkuu samahani Sana kuna swali nje ya mada naomba kuuliza 🙏🙏🙏🙏🙏 Hivi unaweza ukatumia simu ya uwezo kama redmi note 8 halafu ukaweka memory card ya 2TB na ikafanya kazi kama kawaida??? Au itabidi kuchukua memory ndogo ili simu iweze kufanyakazi inavyotakiwa???
  4. MR MAJANGA

    Msaada TV yangu haiwaki

    Hiyo TV yako ya Samsung ingekuwa Bora kama ingekuwa haina TV guard, halafu Kwa hii kata zima ya tanesco ikavumilia, maana hiyo hisence Imeungua lakini pia haina TV guard
  5. MR MAJANGA

    Msaada TV yangu haiwaki

    Asante mkuu 🙏🙏
  6. MR MAJANGA

    Msaada TV yangu haiwaki

    Ok Asante mkuu
  7. MR MAJANGA

    Msaada TV yangu haiwaki

    Nimejaribu imekataa, nataka nijaribu Saa Saba usiku nione kama shida ni low voltage
  8. MR MAJANGA

    Msaada TV yangu haiwaki

    Flat hisence smart 4k
  9. MR MAJANGA

    Msaada TV yangu haiwaki

    Ni flat hisence
  10. MR MAJANGA

    Msaada TV yangu haiwaki

    Wakuu naomba msaada, wakati naangalia TV tanesco walikata/ umeme ulicheza kidogo yaani ndani sekunde mbili umeme ulikatika na kurudi. Taa ya standby inawaka na nikiwasha TV Kwa remote au Kwa button yake Ile taa kama inazima kuonyesha TV imewaka halafu inawaka tena taa ya standby, Wakuu tatizo...
  11. MR MAJANGA

    Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

    Duuuh hizi dini zilizoletwa na ngozi nyeupe ni zaidi ya tatizo 🤣🤣🤣🤣
  12. MR MAJANGA

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Marekani imetangaza msaada wa mwisho wa silaha kwa Ukraine http://opr.news/5fb95854231228sw_tz?link=1&client=news Download Now https://opr.as/share 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bado hawajasema hawa
  13. MR MAJANGA

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Mungu anayesimuliwa hayupo Ila hizi unazoziita dini ni biashara ya ngozi nyeupe
  14. MR MAJANGA

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Kama ana uwezo wa kuona dhambi utakazofanya ukiwa duniani na bado akakuumba halafu baada kifo ukaenda motoni, maana yake Mungu/Allah alimuumba ili akuchome Moto, maana toka anakuumba alijua mwisho wako ni motoni
  15. MR MAJANGA

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Unaamini vipi kitu hakipo, na hicho ambacho ngozi nyeupe kakuletea kina mashaka na kinajichanganya Sana, yaani ni kiumbe Fulani katili sana
  16. MR MAJANGA

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Hiyo Nia unayoizungumzia Mungu/Allah anauwezo WA kuiona????
  17. MR MAJANGA

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Mungu anauwezo WA kuona dhambi au Jambo jema utakalotenda mwakani????
  18. MR MAJANGA

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Kwa hiyo unataka kuniambia Mungu hana uwezo wa kujua mwakani utatenda dhambi mpaka siku ikifika halafu ukatenda ndiyo Mungu anajua kuwa wewe umetenda dhambi?????
Back
Top Bottom