Search results

  1. MWANAWILE

    Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

    Serengeti kuna fisi wengi sana si rahisi kupata mabaki ya mwili eneo la tukio.
  2. MWANAWILE

    Je, mnajua CCM ilishakufa? Kilichopo ni chama tofauti kabisa, Fuatana nami

    Msajili wa Vyama vya Siasa ana taarifa ya CCM mpya?
  3. MWANAWILE

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    __________________
  4. MWANAWILE

    Kuzama uvinza(chumvini) zilipendwa!

    [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
  5. MWANAWILE

    Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Mungu akuponye TL urudi kutetea wanyonge. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MWANAWILE

    Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba

    [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MWANAWILE

    Wabunge ingilieni kati suala la stahiki za wafanyakazi

    Hii ni ngumu sana maana hata wabunge nao wanalialia tu. Kimsingi serikali ijali mikataba ya kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. MWANAWILE

    India yaitandika Tanzania kwa diplomasia ya "mbaazi". Yagoma kuinunua hadi kufikia kuuzwa Tsh 200 kwa kilo

    Mkulima analia. Mfanyabiashara analia. Mtumishi wa umma analia. Wapi penye nafuu? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. MWANAWILE

    Waziri Kairuki atoa tamko nyongeza ya mshahara

    Hakuna lolote. Hakuna cha bilioni 600 wala nini. Waziri alishatoa matamko mengi kama hayo na hakuna lililotekelezwa. Kifupi watumishi wamekata tamaa maana hata haki zao za msingi kama increments nazo zimezuiwa. Na kama uhakiki umemalizika kipi kinachomzuia kutoa tamko linaloeleweka? Sent using...
  10. MWANAWILE

    Star TV: Mada ya Sura mbili za TLS naona watangazaji pamoja na Murro wanaungana kuiponda TLS

    Kilichoniudhi kwenye mjadala huo ni kitendo cha mtangazaji wa Star Tv MacDonald kumkatishakatisha Patrobas wakati anaongea lakini akiongea Murro na yeye anatulia. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. MWANAWILE

    Halotel mnatuibia wateja wenu

    Hawa jamaa watapoteza wateja maana walivyoanza walikuwa safi sana lakini sasa huwezi amini mb zinavyokimbia. Unatumiwa msg zimebaki mb 5 lakini chini ya dakika moja unaambiwa salio lako ni mb 0. Soon nitawakimbia. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. MWANAWILE

    TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    R.I. P Sent using Jamii Forums mobile app
  13. MWANAWILE

    Usiku wa manane (saa 9 hadi saa 10 alfajiri) ndio wagonjwa wengi mahututi hufariki

    Ni kweli kabisa usiku wa manane watu hupitiwa na usingizi mzito sana ambao hupelekea hata kupoteza fahamu. Ndo maana mwili hufanya mechanism yake ya kuushtua mwili ikifikia hali hiyo. Ndo maana unaona umeshtuka ghafla kutoka usingizini na bila kujua ni nini kilichokushtua. Bila shaka tendo hilo...
  14. MWANAWILE

    Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

    Bolingo time na Jacob Usungu ilikuwa njema saaana! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom