Search results

  1. N

    Msaada: Daktari/hospitali nzuri ya watoto

    Kuna hospitali moja inahudumia watoto tu pale Biashara Complex - Mwananyamala. Inaitwa Kaja Dispensary. Ni nzuri sana.
  2. N

    Msaada credit card ya kianzio kidogo

    EXIM wanatoa MasterCard ila unafungua fixed account kama collateral ya hiyo card. Unaweza kutumia mpaka 80% ya hela uliyodeposit kwenye fixed account. Miaka ya 2011/12 huduma haikuwa nzuri kwani ndiyo walikuwa wanaanza. Nilipata nao shida nikiwa safarini kama sio tabia ya kutembea na cash...
  3. N

    NDAMANGO "Chagga Learning thread"

    Manya saidi ya umbe (Fahamu zaidi ya ng'ombe): umbe, nguleta, mughoma, pung'a, tagho, ........
  4. N

    NDAMANGO "Chagga Learning thread"

    Marina gha mashinu (Majina ya wadudu): matambaacha, ndoko, msorha, machongololo, nda, sawa, maghenje, makoru, ghughunu, mambo, safu, njuki, shipfi, ..........
  5. N

    NDAMANGO "Chagga Learning thread"

    Wosia kwa maharusi kwa kichaga: Ruwa, Fumvu lya Mku, Ruwa matengera, molunga mndo na soka nawatarame. Kanyi konyu kuware mbora na kyela. Mfee wana wawore mrima ikusalye. Mfee wana walawore ngoru. Mfee wana walekelya mbaka. Mrimbe cha kisumu kya mkonosi. Mndumii Ruwa nawareho mkuo kurusu...
  6. N

    NDAMANGO "Chagga Learning thread"

    "Samanya ilasonguo"
  7. N

    Mfanyabiashara Mwenza/Bussines Partner

    Nimevutiwa na wazo hilo. Kwa sasa nipo safarini. Naomba unicheki kwa email ya machah@yahoo.com
  8. N

    Majina ya wagombea Ubunge jimbo la Kinondoni yatoka, Mgombea wa UKAWA akatwa

    Hivi sheria inasemaje kuhusu mtumishi wa serikali kutoka huduma chini ya kiwango? Nikiingia ofisi ya serikali ni stahili yangu kupata huduma stahiki. Nadhani Hilo ni kosa la ofisi ya serikali na si mgombea kwani alijaza vyema sehemu zilizimhusu. Hapa anapaswa awajibike nani?
  9. N

    WENYE MALI HAWANA AKILI,WENYE AKILI HAWANA MALI-By,. Mh.Temba

    Nafikiri kipimo cha akili sio A+ darasani ila ni jinsi unavyoweza kumudu mazingira na maisha katika mfumo chanya zaidi.
Back
Top Bottom