Search results

  1. V

    Inasikitisha; Uwajibikaji wa viongozi wetu umeshuka mno

    Kuna mambo yanaumiza sana, yanaathiri uchumi na maisha ya Watanzania wengi kutokana na uwajibikaji duni wa viongozi wetu na setikali.bKwa sasa tunarudi nyuma kwa kasi wakati tulishakuwa na matumaini kuwa tunasonga mbele. Matatizo tunayosikia kutoka kwa wananchi katika ziara za Makonda, dhidi ya...
  2. V

    Wateja wa Taifa Gas tuwe makini

    Mimi ni miongoni mwa watumiaji wa gesi ya Taifa Gas kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wiki 4 zilizopita nilienda dukani kununua gesi [kubadilisha mtungi]. Wakati nauinua nikasikia kimiminika [gesi] ikicheza ndani kwa ombwe kubwa. Kwa kuwa mwenye duka anao mzani [nilimshauri hivyo kufuatia...
  3. V

    Stars kufuzu AFCNO; Ligi ya Tanzania ni Ligi bora Afrika

    Kumekuwa na mjadala na kutofautiana kwingi kuhusu ubora wa Ligi ya NBC. Kufuatia Taifa Stars kufuzu kwenda fainali za AFCO 2024 huko Ivory Coast, bila kujali kiwango tulichoonyesha katika hatua za makundi naamini ligi yetu ni miongoni mwa ligi bora Afrika. Hoja kuu niliyoizingatia kukubali...
  4. V

    Nimefuatilia Soka Tanzania tangu 1980s sijaona kama Chama

    Siku hizi sio mpenzi sana wa soka Tanzania. Niliwafahamu kwa kusikiliza RTD, kusoma magazeti ya Uhuru/Mzalendo, na Mfanyakazi la mwandishi James Nhende aliyepigwa na Zamoyoni Mogella kwa madai ya kumuandika vibaya. Walikuwepo viungo wa maana kama Charles Boniface Mkwasa (Master), Nico Njohole...
  5. V

    Uhuni wa Startimes udhibitiwe

    Sheria inawataka warusha maudhui wa televisheni kuonyesha bila malipo matangazo ya vituo visivyolipiwa (local channels). Miongoni mwa channels zinazotakiwa kuonyeshea bure kwa mujibu wa sheria ni Televisheni ya Taifa (TBC1). TBC1 kama ilivyo vituo vyote vya televisheni vya Taifa vya kila nchi...
  6. V

    TARURA wanavyotuibia kupitia ada za Maegesho DSM

    Utaratibu wa kulipia maegesho kwa njia ya kielectoniki ni mzuri sana. Hata hivyo kuna mapungufu ambayo lazima yafanyiwe kazi. Mapungufu hayo ni: 1. Hawatoi tiketi za madai kwa parking nje ya CBD. Nimewauliza wanao-scan kwa nini hawatupi tiketi, tutapataje namba za kulipia? Wanasema hawapewi...
  7. V

    Kwanini mtuibie?

    Kwa nini utuibie? Rais. Unalipwa mshahara mkubwa kuliko mtumishi yeyote wa umma, unalipwa marupurupu kibao; ukistaafu utaendelea kutibiwa bure ndani na nje ya nchi, utalipwa 80% ya mshahara wa rais kipindi chote cha uhai wako na au mwenzi wako, utalipwa kiinua mgongo kinono mno baada ya...
  8. V

    Hivi kwanini Yanga hawavai nembo ya mdhamini wa NBC PL?

    Wadau wa soka naamini mko salama. Mimi nimeshaachana na ushabiki wa soka krk nchi yetu kwa sababu kadhaa ingawa huwa naifuatilia. Juzi kumeibuka mvutano kati ya timu ya Simba na TFF kuhusiana na mdhamini mwenza GSM ambao TFF waliusaini bila kushirikisha wadau wengine wa NBC Premier League na...
  9. V

    Bunge lataka Watumiaji wa Daraja Tanzanite (Selander) Walipie

    Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender). ======== Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru...
  10. V

    Wachambuzi wa Michezo Radio za FM acheni kuchanganya lugha, mnajiabisha

    Hizi tabia za wachambuzi na watangazaji wa michezo vya asubuhi kwa Wasafi FM na E FM kuchanganya lugha za Kiswahili na Kiingereza linakera sana. Kwanza wengi wao hata Kiingereza hawujui, wanachanganya 'tenses' na kwa anayejua Kiingereza masikio yanawasha na kwa wale wanaojifunza Kiingereza...
  11. V

    Kenyan Lamu Port Risks Becoming a White Elephant Project

    SUBSCRIBE NOW [https://www] Thursday, April 29, 2021 Media Kit 17636 Views Lamu Port: Kenya's Transshipment Hub Risks Becoming a White Elephant [https://www]Lamu Port under construction (LAPSSET Corridor Program) BY NJIRAINI MUCHIRA 04-26-2021 10:47:47 The Kenyan government
  12. V

    Kwanini local channels za Tanzania hazioneshwi kwenye visimbuzi vyote?

    Wadau, poleni kwa msiba wa aliyekuwa Amiri Jeshi na Rais wa JMT, John Magufuli. Hili swala linanishangaza na ningependa kujua TCRA na sheria zao wanasemaje. Local channels za vituo vya televisheni nchini kwa mujibu wa sheria zinaonyeshws bure. Kimantiki nilitegemea channels za ITV, UTV...
  13. V

    Hayati Dkt. Magufuli kaweka standards, ni jukumu lenu kufikia

    Asante Mungu wa mbingu na nchi, asante kwa zawadi uliyotupatia kwa kutupa JPM japo kwa kipindi kifupi. JPM ametusaidia kuweka viwango vya kuwapima kwa wataokuja baada yake. Alipambana vikali na kudhibiti biashara ya dawa za kulevya; hatutarajii kuibuka na kushamiri tena kwa biashara hii...
  14. V

    Msaada: Nataka kuwashitaki Voda kwa kuwaficha matapeli

    Siku tatu zilizopita niliwasiliana na agent wa basi fulani ili anikatie tiketi niweze kusafiri. Nilimwambia kwamba nitamtumia nauli kupitia M-pesa. Baada ya muda mfupi ikaingia zile msgs za kitapeli "nitumie zile pesa kwa namba hii". Baada ya kuwa nimeweka pesa ya nauli kwenye simu, sikujiuliza...
  15. V

    TANESCO hii ya maombi mapya ya umeme ni mtego wa rushwa

    Shirika la Tanesco siku hizi lina utaratibu wa ajabu kwa mwombaji wa kuunganishiwa umeme. Mteja anajaza fomu na inapokelewa na kisha wanakwambia zamu yako ikifika watakupigia! Hawataji siku wala tarehe na mteja anakaa kusubiri bila kujua hatima yake nini. Huu mfumo unasababisha rushwa ya dhahiri...
  16. V

    Hili tatizo la Azam TV ni kwangu tu?

    Wadau, kwa muda sasa tangu juzi matangazo ya Azam TV yamekuwa ya hovyo kwangu. Kuna muda fulani kabla ya saa 9 alasiri huwa napata matangazo yao bila shida, lkn baada ya hapo matangazo hukatika-katika na mara nying ku-stack kiasi kwamba imekuwa kero na nahisi kuwa wananiibia (maana sipati...
  17. V

    Taarifa ya Habari UFM, hii maana yake nini?

    Ktk kutafuta redio ya kusikiliza mchana huu, nikajikuta nasikiliza UFM wakisoma habari saa 5. Miongoni mwa habari ilihusu mgogoro unaofukuta kati ya Israel na Hizbollah huko Mashariki ya Kati. Msomaji akaendelea na akasoma kuwa hivyo karibuni, ndege mbili za Israel zisizo na rubani zilipata...
  18. V

    Dubai's Princess Haya wants protection form the glitzy city's ruler

    By Ruby Mellen July 31 at 4:06 PM An ongoing international custody battle between Dubai’s ruler and one of his wives has undermined the deliberately cultivated image of the city as a playground for Western tourists that embraces modern sensibilities in an overwhelmingly conservative part of the...
  19. V

    Uchafu Dar tatizo linalorejea kwa kasi

    Sasa ni wazi tatizo la uchafu linarejea kwa kasi Dar. Tulikuwa tunaelekea kupunguza tatizo hilo baada ya kuwa tunachangishwa kiasi fulani cha pesa kwa kila kaya kwa mwezi ili kulipia ukusanyaji wa takatakata. Kwa sasa utaratibu huo wa tozo ya takataka maendeo ya katikati ya Jiki umefutwa...
  20. V

    Kwanini SGR inatangulia Mwanza kabla ya Kigoma?

    Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya mwisho kuunganishiwa, na hata reli ya SGR itakuwa ya mwisho maana shurti ifike Mwanza kwanza. Kigoma...
Back
Top Bottom