Search results

  1. S

    Natafuta Mchumba aje kuwa mke

    Habari za Kazi, Mimi ni mwanaume mwenye umri 40+. Natafuta Mchumba baadae aje kuwa mke, nahitaji sana watoto kwa sasa. Tafadhali naomba binti ambaye yuko tayari kuwa na mimi aje PM, umri usizidi 38, awe mcha Mungu kiasi au sana ni sawa tu, awe mfanyakazi na awe tayari kuja kuishi Dar kama...
  2. S

    Wazazi wanafaidika kitu Gani wanapovunja ndoa za Watoto wao?

    Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika. 1. Je sababu zinaweza kuwa Nini? 2. Je kama mnapendana kwa dhati 3.Wazazi wanaweza kuwa na nafasi? 4. Nini nafasi ya maandiko matakatifu kuhusu Ndoa...
  3. S

    Nakulilia Ivon Njochanilo, Ulimwengu utasimama na Wewe

    Kijana IVO amefungwa Kifungo cha maisha Gerezani Ukonga kwa kesi ya Kulawiti: Criminal case (cc); 165/2020 Kuzaliwa na Vifo vya Wazazi Miaka 19 iliyopita katika kijiji cha Kifanya huko Mkoani Njombe kijana IVO alikuja duniani na kuiona dunia kwa mara ya kwanza, kwa bahati mbaya sana sana...
  4. S

    Panya kafia kabatini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    likuwa hospitali ya Temeke. Nilimuona mama mmoja mtu mzima na ambaye aliwahi kunihudumia wakati nasoma UDSM. Saa sita wakati natoka nikamuona bado amekaa palepale. Kumuuliza akasema alistaahafu na anamsubiri mtoto wake ili amlipie apate huduma kwani baada ya ajira alitakiwa aongeze pesa...
  5. S

    Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

    Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia. Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia. Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa Namuona Mzee...
  6. S

    Mkumbusheni Mwenyekiti "Memento Homo"

    Katika utawala wa kirumi ilikuwa ni kawaida sana kufanya GWARIDE katika mitaa mbalimbali siku ya kuwapa MEDANI MAJENERALI wa KIJESHI wanaokuwa wamefanya mambo MAKUBWA na ya KISHUJAA katika nchi. Baada ya gwaride kuisha, jukumu la kumvisha TAJI (crown) jenerali aliyekuwa anapewa heshima lilikuwa...
  7. S

    Uchaguzi 2020 Nasubiri ile Kamati imkaripie Mchungaji Katunzi kwa kumpigia kampeni Magufuli

    Nasikiliza mahubili ya Mchungaji Katunzi muda huu hapa Upendo Radio kipindi ambacho kilirekodiwa siku ya ibada juzi. Anasema Magufuli aritoa sadaka Corona ikatoweka kwahiyo atasimama na Magufuli hata kwenye uchaguzi guu maana hakuna MTU muzuri kama Magu. Hii ni sehemu tu ya alichokiongea ila...
  8. S

    Nokia lumia 520 fir sale

    ​Iko katika hali nzuri window 8.1 inasapoti m pesa,tigo pesa airtel money,skype,instagram and many more social networks 7gb nicheki 0655032181
  9. S

    Natafuta lumia 520

    Kichwa chajieleza hapo juu,natafuta simu tajwa hapo juu isizidi 220,000 mwenye nayo plz tuwasiliane
  10. S

    Nauza nokia lumia 900

    Jipatie nokia lumia 900 kwa bei poa sana 240k tu,iko katika hali nzuri sana
Back
Top Bottom