Search results

  1. Bravius

    Bei ya Bajaji mpya TVs King

    Ndugu wanajamii nahitaji kufanya biashara ya Bajaji hapa mjini Dar es salaam sasa cjajua Bei yake fixed.
  2. Bravius

    Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    Wanajamii wenzangu poleni na majukumu ya maendeleo Mke wangu ni mjamzito wa wiki 42 n sawa na miezi 10 na wiki 2 lakini hanatatizo la haina lolote kwa kipindi xhochote na nmecheki ultrasound takribani Mara mbili na ya mwisho na Tarehe 10 ya mwezi huu na kuna tatizo lolote kwa mtoto na njia iko...
  3. Bravius

    Maumivu ya tumbo na kuunguruma

    Nnatatizo la kuumwa na tumbo na kuunguruma nmetumia dawa za minyoo but cjafanikiwa kutoa tatizo je tatizo n nn?????
  4. Bravius

    Kuumwa kichwa kwa mama mjamzito hutokana na nini?

    Mimi mke wangu ni mjamzito lakin siku mbili hizi anasumbuliwa na kuumwa kichwa. Naomba msaada tatizo hili hutokana na nini??? Nina imani nitapata jibu sahihi. Asanteni
  5. Bravius

    Bashasha ya Kirukuu (Suzuki carrier)

    Habarini ndugu zangu wa Jamii forum.. Mm nahitaji kufanya biashara ya Suzuki carrier kwa huku kigamboni (Dsm) 1.Nahitaji kujua bei yake ikiwa mpya. 2.Na kwa siku mapato yake yako vipi?? 3.Na hasara au faida yake. Kwa sababu bado cna uzoefu na biashara hii. Naamini...
Back
Top Bottom