Search results

  1. Averos

    Bei za Engene 3s

    Habari, Mwenye kujua bei ya engene 3s tafadhali anujishe. Naomba kujua bei ya mpya, used na mswaki. Naomba kuwasilisha. Ahsante
  2. Averos

    Watanzania wakamatwa Kenya wakiwa njiani kwenda kujiunga na Al Shabaab

    Watanzania wawili wamekamatwa kenya wakitaka kuvuka kwenda Somalia kujiunga na Alshabaab --- Polisi wanawashikilia Abdirahman Shaffi Mkwatili(25) na Sadam Jafari Kitia(30) waliokiri walikuwa wakielekea kujiunga na Al Shabaab, baada ya kuwakamata Julai 12, 2023 wakiwa na daftari lililoandikwa...
  3. Averos

    Naomba uzoefu wa ndugu ambao mnakopa Benki

    Habari wakuu, Naomba uzoefu wa ndugu ambao mnakopa Bank. Ambacho nataka kujua Makato ambayo Bank inakata kwenye mkopo. Kwa mteja aliyeomba mkopo wa shilingi million 15 CRDB anaweza kuwekewa shilingi ngapi baada ya Makato ya kodi na kadhalika. Naomba Kuwasilisha
  4. Averos

    TANZIA Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Tashrif, Hamoud Said Al Habsy afariki dunia

    Taarifa zilizotufikia leo asubuh ni kuwa mmiliki wa Kampuni za usafirishaji abiria ya Tashrif Hamoud Said amefariki Dunia Innalillah wainna ilayhi raajiuun ===== Mfanyabiashara maarufu jijini Tanga ambae ni mmiliki wa mabasi ya Tashiriif, Hamoud Said Al Habsy amefariki dunia asubuhi ya leo...
  5. Averos

    Tanzania imo

    Top 10
  6. Averos

    Kipanya Tena

    Wengine wamelala, wengine wapo kazini
  7. Averos

    Natafuta kitabu cha Marudi Mema na Omar Khayyam

    Habari Ndugu, Naomba kama yeyote anaweza kunisaidia kupata kitabu hapo juu anisaidie. Mwandishi wa kitabu ni Shabaan Roberts
  8. Averos

    Kwanini wamchome moto?

    Taarifa zinasema Askofu Tutu atachomwa na mabaki yake ndio yatazikwa. Hii ni Mila ua ndio dini inavyosema? Naomba kuelimishwa Ahsante
  9. Averos

    Taarifa kwa Umma

    Kutoka ACT Wazalendo
  10. Averos

    Made in Tanga

    Hizi mbaazi za nazi ni made in Tanga na wanasema wao ndio wenye hatimiliki ya pishi hili. Kwenu kuna pishi gani special.
  11. Averos

    Mwananchi Tar 16.12.2021

    Habari Kuu
  12. Averos

    Joyce Msuya

    Hongera Mama kuchaguliwa kuwa Karibu Mkuu Msaidizi UN
  13. Averos

    Mama Samia: Kusameheana kupo

    Akizungumzia suala la kesi ya Mbowe, kulingana na ombi la Zito la kumsamehe Mbowe mama asema Kusameheana kupoooooooo
  14. Averos

    Chakula cha usiku

    Usiku ni muda wa kupumzika. Wakati wa kupumzika mwili hautakiwi kufanya kazi ngumu ya kusaga chakula. Kula vyakula vinatakavyokupa afya na kukupa nguvu asubuhi.
  15. Averos

    Waja leo waondoka leo?

    Katika eneo ambapo kumejegwa solo hili kulikuwa na ngamia wanafugwa. Uliwahi kuwaona?
  16. Averos

    Ni manufaa yapi tunayapata kuwa Raia wa Tanzania?

    Habari, Leo nimekuwa katika tafakuri ya kuangalia ni privilege zipi tunazipata kama Raia wa Tanzania. Hapa namaanisha katika nyanja zote za maisha Mtanzania anapata unafuu upi? Nitoe mifano kidogo Kwa mfano katika huduma za kijamii - Mtanzania anapata unafuu gani katika huduma ya maji...
  17. Averos

    Naomba kujuzwa wapi naweza pata drip irrigation pipe lines

    Habari wakuu, Naomba kujua wapi naweza pata drip irrigation pipe lines kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga kama nyanya. Zinauzwa kwa urefu gani na bei ipoje? Ahsante
  18. Averos

    How old were you?

    Ulikuwa na miaka mingapi wakati unaanza kutumia pesa hii
  19. Averos

    Mananasi ya kukaanga

    Mananasi ya kukaanga unaweza kula na mishakaki ya machungwa
  20. Averos

    Biskuti za bamia

    Biskuti hizi unaweza kunywa na sharbat ya mwarobain
Back
Top Bottom