Search results

  1. Jack Bauer

    Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

    Wewe ndo mwenye akili na fikra finyu,pumbavu ni wewe mwenyewe......sio kila daktari kasomeshwa na serikali na sio msomi wa fani nyinginezo kajisomesha mwenyewe pasipo na mkono wa serikali: Kila kitu eti kasomeshwa na kodi zetu,una uhakika gani? Kuna ushenzi mwingi unaendelea mahospitalini ugua...
  2. Jack Bauer

    HOSPITAL YA "KAIRUKI" Dept ya MENO na MADAWA!!! KASHFA NZITO!

    Umeletea umbea na ww moja kwa moja bila kutafiti umeruka kuja kutupotosha hapa n thus why unaambiwa umtaje hata humjui.....take note that mimi nikiwa mmoja wapo wa wagonjwa waliofanikiwa kuhudumiwa pale hivi karibuni,pale madaktari wapo wawili na wanahudumia pale hadi saa mbili usiku. Hebu...
Back
Top Bottom