Search results

  1. magode

    Wimbo wa Taifa ufanyiwe marekebisho

    Amani kwenu Members wote. Wimbo wetu wa taifa wakati unatungwa ulizingatia zaidi masilahi ya kisiasa hasa kutokana na Msaada wetu Kwa nchi zingine ambazo zilikuwa hazijapata uhuru. Ile sehemu tunayoimba Mungu ibariki Africa, tulizingatia zaidi kuimarisha uhusiano wetu na mataifa mengine. Na...
  2. magode

    Serikali isipochukua hatua juu ya Makanisa kuna siku yatatokea ya Shinzo Abe

    Wanajamvi Salaam, Nchi yetu haina Dini na kila mtu ana uhuru wa kuabudu dini yoyote kama tu havunji sheria. Yaani Kwa Tanzania ukisajili taasisi ya dini, hata ukiwalisha waumini wako mijusi hakuna shida Kwa sababu ni uhuru wao. Ukiangalia nchi yetu Kwa sasa ina utitiri wa Makanisa ya kiroho...
  3. magode

    Ombi kwa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuipa umuhimu Mechi ya Simba na Al Ahly

    Ndugu zangu wa TANESCO na Wizara yenye dhamana ya Nishati nchini leo ni Ufunguzi wa Mashindano ya AFL yanayozinduliwa hapa kwetu Tanzania. Ninyi wote mnaohusika ni wenzetu na tunaishi nanyi mitaani. Nawaomba kwa heshima na taadhima, waachieni Watanzania wenzenu Umeme Kwa siku ya leo. Leo ni...
  4. magode

    Ushauri: Rais Mstaafu Kikwete, kwa hili la bandari unajiaibisha na kujivua nguo

    Umofia kwenu. Wanajamvi, Nimesikiliza hotuba ya Rais wa awamu ya 4 Mh. Jakaya kikwete akikemea viongozi wa Dini kujihusisha na siasa. Hotuba ya kikwete inakuja banda ya baraza la maaskofu katoliki Tanzania TEC kutoa waraka wa kupinga uuzwaji wa bandari. Ni wazi Kikwete alikuja mbele kujibu...
  5. magode

    Nawakumbusha Yanga kuhusu wapinzani wao USM Alger na Mechi zao za nyumbani

    Wakuu, Umofia kwenu. Binadamu tumeumbwa kusahau. Nimeamua niwakumbushe utopolo aina ya mpinzani waliyenaye akiwa nyumbani. Kwenye mechi za makundi. Mechi ya Kwanza alicheza na Saint Etoil De Lupopo akashinda goli 3-0. Mechi ya pili nyumbani alicheza Malumo Gallants, akashinda goli 2-0. Mechi...
  6. magode

    Tahadhari: CCM kuweni makini hao mnaowasajili watawajeruhi..!

    Wakuu, umofia kwenu! Nimeona niwatahadharishe ccm juu ya hiki wanachokifanya cha kununua wapinzani na kuwapa vyeo bila hata kuwaza km wanaweza kugeuka! Huenda mwenyekiti ccm anajiamini kwa vile yy ndo mkuu amiri jeshi mkuu wa majeshi yote. Lakini naomba nimtahadharishe kuwa anajitengenezea uasi...
  7. magode

    Wananchi tunavyowaza kuhusu suala la Paul Makonda, huenda Rais anawaza zaidi

    Wanajamvi salaam, Tangu taarifa ya katibu wa serikali wa marekani Mike Pompeo kuweka zuio la watanzania kushiriki bahati nasibu ya kuingia Marekani na kumzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda kuingia Marekani, kumekuwa na mijadala mbalimbali hasa kuhusu zuio la Makonda na tuhuma zake ambazo...
  8. magode

    Ukipanda chuki lazima utaivuna, utaizalisha!

    Wanabodi salaam, hii nimeikuta mahali mitandaoni..kuna funzo kubwa hapa. Hebu isome! MALKIA Mary I, alizaliwa Februari 18, 1516, alikufa Novemba 17, 1558. Huyu alikuwa Malkia wa England na Ireland kuanzia mwaka 1553 mpaka kifo chake. Ni mtoto wa Mfalme Henry VIII na Catherine wa Aragon. Malkia...
  9. magode

    Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda amepatwa na nini!? Mbona amekuwa kimya sana?

    Wanajamvi Salaam. Huyu kijana amekumbwa na nini kipindi hiki!?? Hakuna tena matamko,hakuna maelekezo,hakuna ziara za kushtukiza na hakuna tena hata vikao na wanahabari km alivyozoeleka. Najiuliza kuna hali anapitia au mimi ndo nipo nyuma lakini bado yupo vilevile!?? Naona kama ile kasi yake...
  10. magode

    Nina hakika muda wa kusajili laini za simu utaongezwa. Watanzania msiwe na wasiwasi

    Wanajamvi Salaam! Zoezi la kusajili laini za mitandao ya simu litakamilika rasmi December 31. Kwa mujibu wa taarifa ambazo zimekuwa zikitolewa na TCRA, Waziri anayehusika na mawasiliano pamoja na kampuni za Simu, zoezi hilo litakapokamilika muda hautoongezwa. Kwa maoni yangu, naomba niwaondoe...
  11. magode

    Kama unafanya haya basi fahamu wewe sio mstaarabu

    Wana jamvi, salaam. Mambo haya yafuatayo kama unayafanya fahamu wewe hujastaarabika. 1. Kama unakula chakula chochote ukiwa unatembea, upo kwenye daladala, bodaboda hata stendi ya mabasi. Fahamu wewe sio mstaarabu. 2. Kama unavaa suit katika jiji hili la Dar lenye joto na huna gari, na pia...
  12. magode

    EFM RADIO ilianza kwa kishindo na sasa inaenda kufa kifo cha polepole

    Wakuu Habari za weekend!?! Kwanza nieleweke sina nia mbaya na efm wala majizo mwenyewe,bali kwa maoni yangu na maoni ya baadhi ya watu ile radio nayo kwa sasa inaongozwa na washamba. Hii radio ilianza kwa kishindo kikuu..na hapa naomba nizungumzie kipindi kimoja tu kile ambacho ndo kilivutia...
  13. magode

    (Video) Serikali ichukue hatua dhidi ya huyu mchungaji

    Wanajamvi Salaam Naamini bila kuwa na chembe yoyote ya shaka,huyu mchungaji anahitilafu kwenye ubongo. Ukifuatilia jinsi anavyoropoka utagundua kabisa huyu dishi limeyumba. Lkn pamoja na hitilafu zake kwenye ubongo,hili la sasa limezidi. Maoni yangu Kwa serikali ingemchukulia hatua huyu...
  14. magode

    Ni Haki kwa Mke kuacha nguo zake za ndani afuliwe na Dada wa kazi?!

    Wanajamvi Salaam; Sitaki kuwachosha..! Mke wangu ni mjasiriamali anaondoka alfajiri anarudi jioni ukijumlisha na usumbufu wa magari na foleni mpaka kufika nyumbani anaingia saa 2 mpaka saa 3 kasoro. Hapo anafika anaoga tu na kulala. Maana anakuwa amechoka sana na majukumu ya mchana kutwa...
  15. magode

    Turuhusu Gongo ili kunusuru bei ya Mahindi-Kishimba

    Wanajamvi Salaam!? Mbunge wa Jimbo la Kahama mjini ,Tajiri Jumanne Kishimba. Katika mchango wake alioutoa jana,aliiomba serikali iruhusu pombe haramu ya Gongo ambayo itakuwa mbadala ya spirit kwa wenye viwanda vya pombe kali km konyagi nk. Na alienda mbali kwa kuishauri serikali izue spirit...
  16. magode

    Msaada: Miezi 3 hajaona siku zake na amepima hana mimba!

    Wataalamu Salaam; Kuna Binti ni mfanyakazi wangu hapa dukani kwangu. Jana kanieleza kitu cha kustua kidogo,anasema,tangu mwezi wa 6 hakubleed na akawa na dalili zote za mimba. Kuchoka,kutapika nk. Mwezi uliofuata yaani mwezi wa 7 akamjulisha mchumba kuwa huo ni mwezi wa pili hajaona siku zake...
  17. magode

    Natafuta jiko la gas lenye plate 2 au 3 used.

    Wanajamvi Salaam, Nadhani wengi mtajiuliza kwa nn natafutia hapa wakati jiko zipo tele dukani. Jibu hela yangu ndogo,nimeshindwa kumudu bei ya dukani. Hivyo mwenye nalo anifuate inbox tufanye biashara.
  18. magode

    Natafuta tv flat screen inchi 40 na kuendelea

    Wanajamvi Salaam; Nahitaji tv yenye ukubwa tajwa aina yoyote,isiwe imechoka sana! Bei maelewano..! Mwenye nayo atume picha hapa na bei halafu aje inbox aweke number ntampigia! Nawasilisha!!
  19. magode

    Mwaka huu kitaifa sherehe za muungano zinafanyika wapi!??

    Wanabodi Salaam; Binafsi mpaka sasa sijajua sherehe zetu za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambazo huwa tunaaazimisha tarehe 26.April. kila mwaka,zitafanyika wapi kitaifa. Naomba mwenye taarifa atujuze hapa ili sisi tunaopenda kuhudhuria tujiandae mapema,maana zimebaki siku chache tu...
  20. magode

    Kwanini wabongo ni wanafiki!!?

    Wanajamvi Salaam; Sijawahi kupost ktk hili jukwaa,lkn nimelazimika kufanya hivi leo kutokana na huu unafiki unaoendelea kuonyeshwa na watanzania. Kilichonichukiza ni hiki kitendo cha kumsifia madame wema siku ya tuzo za wasanii zilizotolewa na Azam media. Hivi kweli huu muonekano wa wema wa...
Back
Top Bottom