Search results

  1. C

    Holiday Greetings, Tuma salaam

    Sosoliso Pita kitaani Lumumba Mamndenyi malavi kwenda mbele
  2. C

    Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

    wazugaji tu Kakobe anatingisha, kudaadeki hana jipya
  3. C

    Holiday Greetings, Tuma salaam

    Kitaifa zaidi, Mamndenyi anazuga kiaina mama kampeni
  4. C

    Holiday Greetings, Tuma salaam

    Tunajenga Taifa
  5. C

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Makamanda jua bado! CCM tunaibuka kidedea!
  6. C

    Lissu: Tunaogopa kukaa mbele maandamanoni, tutapigwa na Polisi

    Mkuu Ritz Hivi kuna mpigania uhuru anaogopa kifo? Hawa jamaa na wapiga deal tu hawana lolote yaani wanawatoa wenzao kikoa masikini familia ya Mwangosi; hivi makamanda Mohamedi Mtoi; Mwita Maranya; Yericko Nyerere; Mikael P Aweda bado hawajafunguka macho tu?
  7. C

    Scotland: 'No vote' haina maana 'No change'

    Mchambuzi umeanza vizuri epuka malumbano ambayo yatakutoa njia kuu, huyo muungwana wa kiunguja Pona mpoteleezee tunasubiri data zaidi
  8. C

    Scotland: 'No vote' haina maana 'No change'

    Mchambuzi Warioba hakupewa jukumu la kutengeza katiba,yeye kazi ilikuwa ni kukusanya maoni tu na wala maoni hayakuwa ndio kauli ya mwisho.wewe unapaswa kuipongeza serikali kwa jitihada zake za kutengeneza katiba muafaka itakayokidhi haja zote za muungano, CCM inafanya kile ninachoamini na nyie...
  9. C

    Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

    GAUTAMA Huku ni mapenzi na uzalendo kama unayo karibu sana. Kamanda una acha kuipigania nchi umejiingiza kwenye michepuko afya yako muhimu. Ukiendekeza akili za kichwa kidogo utakufa kabla ya siku zako
  10. C

    CHADEMA huwalipa wanaoandamana

    Anza kujihurumia mwenyewe tumechoka na vilio vya watoto wa kiume
  11. C

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Kamanda prof wako hajatoa majibu anajiumauma meno, anachofanya ni kuzunguka mbuyu, hana majibu siku zote hadithi za kutunga hazina mwisho mzuri, tunasubiri tarakimu atuwekee bayana. Kiungwana kama hana majibu anatakiwa aseme, pumba nyingi zikizidi mchele inakuwa tabu.
  12. C

    Utata Waibuka Kesi ya Kubenea Kupinga ya Bunge Maalum la Katiba

    Mchambuzi Hii weka kwenye kumbukumbu zako, mimi ni mwanaCCM ambaye siogopi mabadiliko ya katiba ili mradi tu yapigiwe kura na wananchi sikuwahi kuunga mkono mabadiliko ya katiba kupitia tume au bunge la katiba.Mimi ni muumini wa demokrasia ya kweli. Hivi vyote ni viini macho ambavyo wewe binafsi...
  13. C

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Kamanda unajua vilaza kama nyie mnaangali ukubwa paragraph na page zimeandikwa ngapi;mimi naangalia ubora wa kilichoandikwa sasa kama prof wenu Mchambuzi hajatoa majibu yasiyo ridhisha tusiulize? Hivi kuna ubaya kupata ukweli kama upo? Michezo ya kudandiana mnayo huko Chadema mimi natafuta...
  14. C

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Mchambuzi 1.Kwanza kabisa nataka uelewe hii ni open forum kila mtu yupo huru kuchangia au kutochangia; sasa kama mjadala huu ni wako binafsi wewe na Barubaru naomba unisamehe labda tu ningeshauri utafute njia ya siri ya kujadiliana na mhusika. 2. Wewe ni msomi kama unavyojibainisha tunagemea...
  15. C

    CHADEMA: Mission failed

    watu wameshtuka mwenyekiti anakula bata SA miguu wavunjwe walalahoi.
  16. C

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Ng'wanangwa, Maelau Makamanda inaeleweka Zitto ni mwiba kwenu; msiwe na akili za kushikiwa huu mjadala ulipofikia hajadiliwi Zitto kinachodaliwa ni Tanzania na muundo wa muungano; msiwe vichwa maji kwa kuogopa jina pitieni kinachoandikwa kabla ya kutapika pumba zenu na isitoshe hamjalazimishwa...
  17. C

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Nguruvi3 Federal laws ni mwisho wa yote kwa mfano hili la mashoga halikupitishwa congress, hii sheria ilipita Supreme court. Mifumo yote ni mizuri kutegemea jamii inayohusika kitu kikubwa ni kuheshimu katiba na sheria za nchi,kwetu sisi Tanzania hicho kitu hakipo. Mimi naamini Fedarilism ni...
  18. C

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Nguruvi3 Mkuu niliposema bure sikumaanisha kuwa serikali haitozi kodi, matumizi ya serikali yanatokana na kodi, hivi unataka kusema watanzania wanaolipishwa huduma za matibabu hawakatwi kodi? Na huduma zenyewe ni mbovu labda nitumie wa Canada hawalipishwi ziada.
Back
Top Bottom