Well, Mengi yameelezwa na wanaume wenzangu Mimi niongezee tu sipendi Tabia ya “gaslighting”. Nimekosa neno la kiswahili hapa lenye maana ya moja kwa moja lakini ni ile tabia anakufanya u doubt kumbukumbu zako yaani anakataa kwamba hukumpa maagizo fulani, yaani anaruka mita mia kwamba hukusema...
Narudia tena “TUNAPOCHEPUKA SIO KWAMBA HATUWAPENDI” sisi ni plug n play. Don’t take that on you kuanza kujiona sijui sio mzuri, sijui huthaminiki, sijui hupendwi etc. Mnatanguliza “Ego” sana kwenye hii ishu. The biggest mistake that you can make after experiencing romantic betrayal is believing...
Eti Harrier ni common kwani Gari kuwa common ni kitu kibaya? Si ina maana ndio rahisi kupata vipuri. Kwa hela aliyonayo Kila gari atayopata ni common tu.
Tunapopiga k za out haimaanishi kwamba hatuwapendi wapenzi wetu, sisi wanaume hisia za Upendo na kupiga mbupu out yaani ni vitu tofauti yaani na havihusiani. Kwanza hatukumbukagi yaani. Yaani si inakuwa kama game tu. Kwa hiyo Mwana akikupa ufunguo ukaingia nyumbani au akikuoa maana yake...
Yes Mkuu, ni kweli Hakuna pahala umeandika Egypt sio Africa but umesema ni waarabu. So, Egyptians are not Arabs. In fact they prefer them selves to be called Egyptians(kufanana kwa utamaduni kusikuchanganye). I just comment ili uwe precise kwenye hoja yako kwamba tunafail as Tanzanians or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.