Wamewekeza wapi rasilimali watu na fedha katika kuhamasisha kujiandikisha, Elimu ya uraia, kuwajenga wananchi kisaikolojia. Mbatia na timu yake wamefanya hayo wapi katika miaka 5 hii.
Katika umoja (Partnership). Mwenye Mtaji ndio mwenye Nguvu.
Na kuna ambaye atafaidi lakini si kumunea wivu...

Kila jambo lina changamoto.Kabla hujazungumza tafakari.Nina changangia kama mtu niliyejiandikisha. Nilitamani kuona CUF, NCCR wakifanya mikakati ya kampeni maeneo tofauti. Haidhuru CUF wameanza kidogo,lakini timu ya mtu mmoja haitoshi kushambulia. Nccr wamelala.Hata katika majimbo watakayo pewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.