Search results

  1. PendoLyimo

    Tunaposifia kutumiza miaka mitatu tusisahau na mapungufu yake!

    Wakuu twendeni pamoja Na Sam Ruhuza 19/03/2021 aliapishwa Rais mpya kuwa Rais kufuatia kifo cha Rais aliyekuwapo, kwahiyo amepata nafasi hiyo kutokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Ninaandika baada ya kuona sifa nyingi mno za Mheshimiwa Rais kwa kutimiza miaka mitatu ya Urais...
  2. PendoLyimo

    Mifugo Hifadhi ya Ruaha ni balaa

    Ni kama wafugaji wa Tanzania hawaelewi umuhimu wa maeneo yanayohifadhiwa na kilindwa kwa maslahi ya Taifa linapokuka suala la wao kuwapatia malisho mifugo yao. Ni kama pia idara za serikali zinazohusika na usimamizi wa Mifugo zimeshindwa kudhibiti ama kuratibu namna bora wananchi wananweza...
  3. PendoLyimo

    Madini huduma kiganjani

    Katibu Mkuu wa wizara ya Madini, Kheri Abdul Mahimbali amewahakikishia watanzania wanaotaka kujihusisha na biashara ihusianayo na sekta ya Madini nchini kuwa Serikali imefungua milango kuwahudumia na lolote wanalotaka wakati wowote wasisite kuwasiliana na ofisi za madini zilizosambaa maeneo yote...
  4. PendoLyimo

    Wamasai wa Ngorongoro: Tulikuwa kifungo baridi Ngorongoro

    -BABA MZAZI WA JAJI WA MAHAKAMA KUU ALIYEHAMIA MSOMERA AFUNGUKA Mzee Isaya Laltaika baba mzazi wa Jaji wa mahakama kuu DKT. Eliamani Isaya Laltaika ambaye ni pacha wa mhadhiri mwandamizi wa kitivo cha sheria chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichopo Arusha anaeleza anavyofurahia maisha mapya ya...
  5. PendoLyimo

    Afande Sele: Inasikitisha na sio sawa Ngorongoro

    “Katika hali ya kawaida unaweza kuona hii ni nyumba ambayo familia inaishi humu ndani…humu ndani inaweza kuishi familia mpaka ya watu kumi” Kila kitu kinafanyika humu ndani, watu wanapika humu ndani, wanaishi wao na baadhi ya wanyama, unaweza kuona mbwa wanaingia na kutoka humu ndani lakini pia...
  6. PendoLyimo

    Mbunge Dorothy George Kilave afanya kikao na viongozi wa vyama vya siasa Temeke

    [emoji625]03/08/2023. JIMBONI. Mhe. Dorothy George Kilave Mbunge wa Jimbo la Temeke, amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama Vya Siasa Temeke. Kikao cha Kuwasilisha Taarifa ya Maendeleo na Kupokea Maoni na Ushauri Kwa Maendeleo Jimboni. Kikao kimehusisha Viongozi wa Vyama Vya Siasa...
  7. PendoLyimo

    Japhet Maganga Katibu Mkuu wa chama Cha WALIMU (CWT) akipewa mrejesho na Mchange tayari amepokea kiasi cha Shilingi milioni moja aliyoituma

    Taarifa zinasema bwana Maganga alimuomba Mkurugenzi huyo wa JAMVILAHABARI wakutane wayamalize ili Gazeti lake liache kuandika kuhusiana na habari za utovu wa nidhamu ulioonyeshwa na viongozi hao wa CWT dhidi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hasan kwa kukaidi uteuzi aliowateua kuwa wakuu wa wilaya za...
  8. PendoLyimo

    Ofisi ya mbunge Temeke na ziara ya dharura hospitali ya rufaa Temeke

    Mhe Dorothy George Kilave, akiwa Nje ya Jimbo Kwa Dharura, ameielekeza Ofisi yake, Kufika Hospitali ya Temeke Imefuatiwa na Taarifa Iliyosika katika Wasafi Media Kipindi cha Good Morning (Uchambuzi wa Magazeti) Hoja "Watu zaidi ya Mmoja Kulala kitanda kimoja wakisubiri kujifungua Hospital ya...
  9. PendoLyimo

    Dugange(Mb) amemsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Wilaya ya Bunda, Timothy Mwajara

    Wakuu Jamaa anafanya kazi sana Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amemsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Wilaya ya Bunda, Timothy Mwajara na amewata Mkurungenzi Bi. Changwa Mkwazo na Mganga mkuu wa Halmashauri hiyo Jamaly Kimamba kujitathimini utendaji kazi wao kwa...
  10. PendoLyimo

    Rais Samia aweka historia mpya. Sasa maridhiano hali shwari, aunganisha vyama vyote vya siasa

    Katika kuhakikisha Amani na utulivu nchini Tanzania inazidi kutawala, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anajitoa kindaki ndaki na kuwa mfano bora katika kufanikisha hilo. Wakati Tanzania inatimiza Miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Rasmi anatambulisha mfumo...
  11. PendoLyimo

    Waziri Biteko kauanza mwaka vizuri

    Wakuu habari, Aisee nimeona tu nimpongeze Dkt. Biteko waziri wa madini, Hakika hu mwaka ameunza vizuri sana. Minada ya Madini ya vito sasa kuanzishwa, kulikuwa na kilio kikubwa sana kwa wafanyabiashara wa Madini kuhusu hi minada, kilio waziri kakisikia na sasa kufanyiwa kazi.
  12. PendoLyimo

    Machawa jitulizeni, Waziri Mkuu Majaliwa ameamua kumsaidia Rais Samia kwa vitendo kuliko maneno

    Ni takribani Mwaka wa 2 sasa tangu Serikali ya Awamu ya 6 iingie Madarakani. Serikali iliyojipambanua kwa kufungua mipaka na kuichora upya ramani ya Tanzania kwenye ramani ya dunia. Katika safari hii yenye mafanikio makubwa na matumaini kwa Watanzania, Mh Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan , Makamu...
  13. PendoLyimo

    Rais Samia ni miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametajwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi zaidi Barani Afrika. Rais Samia ametajwa na Jarida la Most Influecial African Women (MOAW) miongoni mwa wanawake mwenye ushawishi Barani Afrika katika kipengele cha Uongozi...
  14. PendoLyimo

    Mgao wa maji Dar, upungufu kina cha maji mto Ruvu na Wami

    Kuna taarifa nimesoma mahali juu ya upatikanaji wa maji. Mwaka huu mvua za Vuli hazijanyesha kabisa imeathiri sana upatikanaji wa maji katika mikoa ya pwani na Dar es saalam. Tatizo lililopo si suala la kiufundi ndiyo maana Mhe. Rais anaharakisha ujenzi wa bwawa la kidunda liwe mbadala wa...
  15. PendoLyimo

    Maonesho ya saba (7) ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kuanza tarehe 3 - 9 Disemba

    Wizara ya Viwanda, Biashara kupitia TanTrade kwa mara nyingine inaandaa Maonesho ya Saba (7) ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyopangwa kufanyika tarehe 3 - 9 Disemba, 2022 katika Uwanja wa Mwl. J. K. Nyerere Barabara ya Kilwa Dar es Salaam. Maonesho haya yanalenga kujenga jukwaa ambalo...
  16. PendoLyimo

    Mtendaji mkuu TARURA: Ujenzi teknolojia ya mawe unaokoa gharama

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na matofali ya kuchoma unaokoa gharama kwa asilimia 50. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mhandisi Seff alisema...
  17. PendoLyimo

    Vijana Watanzania tafuteni majibu ya maswali magumu

    Wakuu Kuna wakati ili tuendele tunahitaji ujasiri wa kusimama, lakini si kwa kutoa majibu mepesi, bali majibu ya maswali magumu yakiwa majawabu huru. Tutoe majibu huru yasiyokuwa na harufu ya kupandikizwa. Ni kwa bahati mbaya nchi yetu kitambo hatukujenga misingi ya ujasiriamali. Kwa...
  18. PendoLyimo

    KILIO MOSHI: Wafanyabiashara wamlilia Chongolo, atoa siku saba kwa Mkuu wa Wilaya

    Wafanyabishara wa samaki waliondolewa katika soko la Manyema kwenda Pasua Manispaa ya Moshi wamemlilia katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo wakitaka warejeshwe soko lao la awali. Wakizungumza leo jumatano Agusti 3, 2022, huku wakitokwa na machozi katika eneo la Old CCM...
  19. PendoLyimo

    Mashuhuda waliohamia Msomera kutoka Ngorongoro wafunguka

    Tangu zoezi la kuhamisha watu walioamua kuhama kwa hiyari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia msomera kuanza na kuendelea kwa Wengi wa wananchi hao wameamua kutoa ushuhuda wa namna ambavyo maisha yao mapya ya Msomera yalivyo bora na salama kulinganisha na walipoluwa wanaishi hifadhini...
  20. PendoLyimo

    Mhandisi Ladislaus Matindi amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi Shirika la masuala ya usafiri wa Anga na Teknolojia

    Matunda ya Tanzania Royal Tour, Mkurugenzi wa shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania), Mhandisi. Ladislaus Matindi amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi Shirika la masuala ya usafiri wa Anga na Teknolojia (SITA Aero) namba moja Duniani. SITA Aero inakadiriwa kuwa jumla ya wanachama 550 Dunia...
Back
Top Bottom