Search results

  1. PendoLyimo

    Propaganda za Oakland zinadaiwa kuwayumbisha The Guardian na vyombo vya habari

    Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida. Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa kuendeleza mradi wa REGROW taarifa hizi si za kweli ni upotoshaji wa taasisi ya Oakland institute. Kuna...
  2. PendoLyimo

    Wizara ya Maliasili yapania kuboresha halibora ya wafanyakazi

    Wizara ya Maliasili imepania kuendeleza halibora ya wafanyakazi wakati huu sekta hizo zikiendelea kuwa na nchango mkubwa katika uchumi wa nchi ikiwemo kuongoza kwa kuingiza fedha za kigeni kwa asilimia 25. Hayo yameelezwa na Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Angellah Kairuki wakati akifungua Kikao cha...
  3. PendoLyimo

    Siri zavuja mikopo chefuchefu

    Elimu nzuri umetoa, Lakini anachokifanya huyu jaji ni wizi wa mali na kodi za waTz
  4. PendoLyimo

    Siri zavuja mikopo chefuchefu

    Soon atawekwa wazi maana hakuna tena kificho
  5. PendoLyimo

    Siri zavuja mikopo chefuchefu

    Mijizi ikijiwekea mfumo wao
  6. PendoLyimo

    Siri zavuja mikopo chefuchefu

    Hatari sana
  7. PendoLyimo

    Siri zavuja mikopo chefuchefu

    SIRI ZAVUJA MIKOPO CHECHEFU - Jaji aliyehukumu kihuni kesi za wafanyabiashara waliokataa kulipa mkopo waliokopa kisha kukimbilia mahakamani na kuwapa ushindi ahamishwa mahakama -atolewa mahakama kuu divisheni ya biashara na kupelekwa mkoa mmoja wa nyanda za juu kusini -Wafanyabiashara...
  8. PendoLyimo

    Ripoti Maalumu Mikopo Chechefu, Mabilioni ya Shilingi yakwapuliwa, wengine wagoma kulipa

    ada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu...
  9. PendoLyimo

    Kampeni ya “Vote now” yazinduliwa TANAPA

    KAMPENI YA “VOTE NOW” YAZINDULIWA TANAPA Na Edmund Salaho/Arusha. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limezindua kampeni mahususi ya kupigia kura vivutio vyake viwili ambavyo ni Hifadhi ya Taifa Serengeti na Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro ambavyo vinashindanishwa kama vivutio bora...
  10. PendoLyimo

    Tunaposifia kutumiza miaka mitatu tusisahau na mapungufu yake!

    Wakuu twendeni pamoja Na Sam Ruhuza 19/03/2021 aliapishwa Rais mpya kuwa Rais kufuatia kifo cha Rais aliyekuwapo, kwahiyo amepata nafasi hiyo kutokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Ninaandika baada ya kuona sifa nyingi mno za Mheshimiwa Rais kwa kutimiza miaka mitatu ya Urais...
Back
Top Bottom