Search results

  1. Mkwala

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Kigoma nimeishi miaka 6 pale mjini na Wilaya karibu zote na vijiji vyake nimefika.Kwa hoja ya biashara sikupingi hata kidogo mleta mada.Kama unataka kukimbia chaki kasome community development au sociology (ukirudi unatafuta NGO) unafanya KAZI na mashirika.Kuna majamaa Wana NGO yao walikuwa...
  2. Mkwala

    Ukikusanya bando za internet umenunua ndani ya miaka 5 ungekuwa umenunua kitu gani cha thamani?

    Mimi kwa kweli ningekuwa nishanunua kiwanja Vikindu au Viwege na kuhamia kabisa. Bando la mwezi au wiki kila siku tunanunua mara mbili.
  3. Mkwala

    Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Kweli kabisa nikajua Wakenya na Ile UNICEF wamepita nayo.
  4. Mkwala

    Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

    Tutakuwa na genetic zinazoshabihiana,,, maana mie hadi mtu nimtafute ni kipengele aisee,,, yaani nimejitahidi kuepuka hili lakini waapi.
  5. Mkwala

    Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

    Urafiki utakuwepo kama bado hamjaonana,, ila mkionana lazima Simba ale nyasi. Ninaye rafiki angu tokea 2015 aloo tupo mikoa tofauti yaani ,, hata nikitoka kupiga show service road utashangaa ashanishtukia utasikia Leo umetoka kugonga mjinga. Hahaha! Na yeye huwa anaaga kabisa utasikia Boy...
  6. Mkwala

    Nataka kufungua goli la Kitimoto Ujiji Kigoma

    Sasa hapo Ulipo Ujiji utapoteza mtaji wako,, Kwa Nini usiende hata Mwandiga au Mlole au Kibirizi. Usifungue goli karibu na Mitaa ya Katubuka)Manguruweni pia utaangukia pua. Tafuta mtaalam wa Jiko pia kwenye hiyo kitu utapiga Hela Kwa kweli
  7. Mkwala

    Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

    Nenda Kawe kapokee Miujiza ndugu,,, Mimi nilikuwa mbishi hivyo hivyo,, siku Moja nikiwa Sina hili Wala lile naelekea zangu beach kawe,,, Kuna karoho kakaniambia pita apo arise and shine dakika Moja. Nikaenda nimekuta watu wanatoa sadaka hasa wale sijui waliochelewa ,, nilitoa elfu mbili tuu...
  8. Mkwala

    Wanaume na kubadili dini

    Huu uzi umenikumbusha Wazee Fulani na vyeo vyao kabisa Wamebadili dini ukubwani,, wamewafuata wake zao.
  9. Mkwala

    Nataka kumtongoza rafiki yake, yeye ni mpotezee kabisa

    Hamna kitu hapo,,, tafuta demu mwingine uoe kijana. Huyo atakuumiza kichwa buure
  10. Mkwala

    Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Hahaha! Sema ni adimu sana yaani kumi kwa moja,,,wengi muscle zishalegea hawawezi kitu.
  11. Mkwala

    Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Ushakutana na PISSI Kali alafu inaweza kufinyia Kwa ndani. Basi hapo hupindui hata kidogo. Yaani unatii maelekezo tuu.
  12. Mkwala

    Kajala na Paula wana gundu gani?

    Kama Kuna kaukweli ndani yake,Kuna wanawake Wana mabalaa yaani gundu hatari.
  13. Mkwala

    Mbeya: Mdude Nyagali agoma kupekuliwa na Polisi Nyumbani kwake adai mwanzo walimuwekea madawa ya kulevya

    Leo Kuna Mkutano kule naona wanaelimisha wanaMbeya juu ya Mkataba wa DP WORLD.
  14. Mkwala

    Wazee wa kula kwa Masihara Mnaangamiza Taifa la Kesho

    Kimasihara ndiyo siku 3 zote kweli. Nafikiri hii ni story kama zile za abunuwasi.
  15. Mkwala

    Kijana wangu amekosea kunipa milioni 1 na mama yake kumpa laki 5?

    Dogo bado hajakuwa huyo,,, anakupaje hela mbele ya bimdashi wake,,, Ilitakiwa hapo ampe mama ake hiyo laki 5 ukiwepo alafu mnaenda chemba anakukabidhi 1M Yako then wewe ukirudi Kwa wife unajikomba komba,,, zamu yangu sijui lini ,,,, Mnagawa pasu kwa pasu Ile laki 5.Mwisho wa siku unakuwa na...
  16. Mkwala

    Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

    Labda ziwe za urithi,,, watu wanakaribia kugota 40/50 hata Banda la uani halijakamilika.
  17. Mkwala

    Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

    Mie asirudishe fadhira as long as anaifinyia Kwa ndani ,,, ntamkabidhi Hadi Indian ocean kabisa aimiliki
  18. Mkwala

    Mama hamtaki Mpenzi wangu

    Achana naye huyo,,, usikute baba Ako Mdogo huyo. Dunia hii Ina mambo mengi sana.
  19. Mkwala

    Kuifinyia Kwa ndani

    Ndiyo maana kunakuwaga na kesi za mauaji juu ya kugombea wapenzi. Hiyo kitu ni hatari wazee,,, imagine una kibamia lakini inafinyiwa Kwa ndani mpaka inaoneka una hogo. Nadhani ni maumbile Yao huwa hivyo na ni wachache sana. Mpaka umri huu nimebahatika mmoja tuu mwenye hiyo kitu . You can imagine...
Back
Top Bottom