Search results

  1. GWIPYANA

    Wanasheria wa CHADEMA kesi hiyo msiilalie, ichangamkieni mpaka kesho

    Shida ni mahakama KESI YA NGEDERE UKAMPELEKEA NYANI
  2. GWIPYANA

    CCM kuweka mabadiliko ya Katiba kwenye ilani ya 2020-2025 wanalenga tupate Katiba ya wananchi au ya watawala?

    Lengo kuu ni kutaka kuondoa ukomo wa mihura ya urais, Jiwe kawashika pabaya ccm hata wabunge watakaopitishwa awamu hii ni wale watakaoimba pambio la bwana asifiwe na aameeni.
  3. GWIPYANA

    Kwa hili la Mbowe Marekani na Umoja wa Ulaya wamejitia aibu, ni rasmi sasa kuna kitu wanakitafuta Tanzania

    Mimi siwezi kukubariana na hoja yako kwani kwa sasa nchi yetu kila kitu kipo kisisa mpaka ugonjwa wa corona sisasa tupu hatuambiwi ukweli, polisi wapo kisiasa mf kifo cha mwangosi,Akwilina,shambulio la Tundulisu na mengine mengi tu viko wazi lakini sijaona haki ikitendeka ni propaganda tu ndicho...
  4. GWIPYANA

    Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

    Pole sana na ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa ujasiri, maana bila ujasiri wako hii jamii forum isingekuwepo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. GWIPYANA

    Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

    Pale hamna vipimo kuna manyanga ya kupigia lamli mpaka ikubahatishe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. GWIPYANA

    Ukweli usemwe, mwaka huu wa 2020 ndiyo mwisho wa CHADEMA kuwa chama kikuu cha Upinzani

    Ni kweli nakubariana na wewe lakini sio kwa uchaguzi ni kwa hila za serikali ya awamu ya tano kwa kutumia tume yao na nguvu ya dola.Kiukweli tume huru tuingie kwenye box la kura pamoja na kuvurugwa na nguvu ya dola kuzuia mikutano na kuwazushia kesi vionngozi wa CHADEMA bado ninaimani ya kua...
  7. GWIPYANA

    Bunge la seneti lamfutia mashtaka Donald Trump, Kura 52-48 kwenye kutumia madaraka vibaya, na 53-47 kwenye mashtaka ya kuingilia Bunge

    Mtoa mada umesema pamoja na kuandika pumba kwenye magazeti na kumsema vibabaya kwenye mitandao ya kijamii lakini Trump bado amelindwa kwa kutoondelewa madarakani. Mfano wako haupo sawa hivi Tanzania hii ya awamu hii unauthubutu wa kumuandika rais vibaya au kumkosoa achana na democrasia ya...
  8. GWIPYANA

    Mtume Mwamposa na jaribu la imani

    Ubarikiwe sana mkuu kwa kweli nimekufuatilia sana unajua kujenga hoja asiyekuelewa huyo ni jeuri tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. GWIPYANA

    Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

    Zitto ndiye aliyeudanganya umma. Huyu jamaa ni mnafiki tu
  10. GWIPYANA

    Watawala Mlipewa Madaraka ili kujenga Taifa la visasi na mgawanyiko au Kuleta Umoja Maendeleo na haki katika Taifa?

    Nimekupata umeongea kwa uchungu sana.Hapa Tanzania viongozi wetu wamejinengea mazoea wanaona km watanzania kila siku ni wajinga na waoga wakitishwa kidogo wanatulia lakini hii hali tulionayo wamekalia boom.INAUMÄ SANA
  11. GWIPYANA

    Tundu Lissu yupo imara zaidi

    Anakuja kuchukua nafasi ya magu
  12. GWIPYANA

    Ni kama January Makamba amesusiwa kampeni yake ya mifuko ya plastiki..

    Pamoja na kuto kuungwa mkono lakini naona atafanikiwa mwitikio upo kwa wananchi.japo mwanzo mgumu
  13. GWIPYANA

    Kilichotokea Mbeya ni ishara ya makamanda kuchoka kuendelea kuwa watumwa wa Mbowe

    Mimi sijakuewa hata ulichomaanisha Mbowe anaingiaje hapo
  14. GWIPYANA

    Simu yangu note2 iliisha chaji nakutochaji kwa siku nzima

    Peleka kwa wataalam wa cm wakusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  15. GWIPYANA

    Maamuzi ya Seif na wenzake yana madhara makubwa kwa CHADEMA, tuache kujifariji!

    Hivi kwanini kila comment zenu lazima mguse uwenyekiti wa Mbowe? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. GWIPYANA

    Mbowe na Lissu wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Raila

    Ulichoandikila nimekuelewa vizuri ila nimeona umeandika kwa mihemuko ya uchama unaangalia upande mmoja hao watu unaowatuhumu wangeamua kufanya kama Raila hii nchi tungeingia kwenye machafuko mimi najivunia sana viongozi wangu Mbowe, Lisu pamoja na Lowasa walitumia hekima kubwa sana baada tu ya...
  17. GWIPYANA

    Usalama wa Taifa mmeshapandikiza hata Rais mmoja miongoni mwa nchi zinazotuzunguka?

    Kwa usalama wa nchi yetu ni vigumu sana ila kukandamiza na kupandikiza mamluki ndani ya vyama vya upinzani ni hodari wenzetu wamefanikiwa we huoni kwamba Rwanda wameshapandikiza wanajibweda tu mpaka mfumo wa serikali kwa sasa unaedana na Rwanda hata Ikuru inalindwa na wanyarwanda
  18. GWIPYANA

    Mahabusu itampa Mbowe muda wa kujitafakari na kututafakari kuhusu kustaafu Uenyekiti wa CHADEMA

    Duu Mbowe kweli kiboko ya CCM yuko ndani lakini ccm bado mnaweweseka, mbona mnalazimisha ajiuzuru maana sioni hata hoja ya maana kwenye uzi huu zaidi ya chuki yako dhidi ya Freeman Aikaeli Mbowe.
  19. GWIPYANA

    Haikuwa sahihi msaada wa Rais kwa Ruge kutangazwa kwa umma

    Ni kweli hata mimi inanipa shida kwanini Luge na si Tundulisu
Back
Top Bottom