Search results

  1. M

    Wafanyakazi: JK Hahitaji kura zetu

    analo mwaka huu
  2. M

    Elections 2010 Nani kama Jakaya Kikwete kwa maendeleo?

    bajaj 400 kwa wajawazito
  3. M

    Elections 2010 CCM kwa hili tusilaumiane

    hapo ni typing error,ni yeye jk akiwa arusha amtembelee hicho kiburudisho kigonjwa
  4. M

    Elections 2010 CCM kwa hili tusilaumiane

    Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi ya watu waache mara moja,inaonekana huu ni mkakati maalumu wa chama hiki kizee na hata wizara...
  5. M

    Elections 2010 Kumbe EPA iliombwa na KIKWETE and LOWASSA!

    Nimefurahia ujasiri wa Marando na mungu aendelee kumtia nguvu kwenye kusema ukweli na fitina kwake ziendelee kuwa mwiko kwake,sasa watanzania wamefahamu kwanini JK amekuwa akimlilia Lowasa tangu alipoachishwa kwa aibu uwaziri mkuu kwa kashfa ya richmond,kumbe wote wanaunganishwa na kashfa ya...
  6. M

    Elections 2010 Matusi au 'tuhuma' katika kampeni?

    Na anapaswa kuwaeleza watanzania juu ya nafasi yake ktk kumiliki bandari kavu iliyopo pale kamata inayoitwa shariff na wakati waliwafukuza watu kwa kisingizio cha kujenga stand ya mabasi yaendayo kasi,
  7. M

    Elections 2010 Matusi au 'tuhuma' katika kampeni?

    Nimeshangaa kumwona kinana akijaribu kuleta propaganda baada ya kuzungumza ukweli,anadai dr slaa na marando wanawapotosha watanzania kwa kuwataja kwa majina wahusika wakuu wa sakata la epa,nani ni mgeni wa kashfa ya epa?anajaribu kuficha nini na kwa maslahi ya nani?uadilifu wake upo wapi?ni...
  8. M

    Elections 2010 WAMA ni Chama cha Siasa?

    Huyu mama wa kampeni za shuka kwa shuka ana matazizo sana,siku zao zinahesabika
  9. M

    Elections 2010 Kukatishwa Kwa Matangazo Jangwani: Tido Mhando Alonga

    ililkuwa kama zile sinema za akina rambo na waigizaji wengine,tbc kwa kile cha kulinda maslahi ya wakubwa wakaamua kukatiisha kurusha matangazo kwa sababu mabere marando alikuwa akifichua ufisadi wa kikwete,watu walishindwa kuzuia hasira zao na kuanza hata kmtupia makopo ya maji mtangazaji na...
  10. M

    Law Professor Jwani Mwaikusa: Martyr for truth at the International Criminal Tribuna

    weka mambo kama yale ya ze utamu,watkuwa tayari kutumia pesa kuwalipa fbi,cia,mosaid,kgb wakutafute hadi wakufukue kwenye pango ulilojificha
  11. M

    Elections 2010 Hofu ya kushindwa imemfanya JK kuanza na gia ya rafu kubwa?

    kuongeza mishahara kimyakimya kusogeza mbele ufunguzi wa vyuo kununua makada wa vyama vya upinzani kupandikiza wagombea kwenye vyama vya upinzani
  12. M

    Kikwete ni mnyongaji mkuu

    KATIKA MOJA YA KAMPENI ZAKE KIKWETE ALIDAI KUWA KTK UTAWALA WAKE HAJAWAHI KUTOA RUHUSA YA KUNYONGWA KWA MTU YEYOTE KAMA SEHEMU YA KUJINASIBU KWENYE KAMPENI ZAKE,KIKWETE KWANGU NI MNYONGAJI MKUBWA SANA,MIKATABA YA HOVYO INAYOWATESA WATANZANIA CHINI YA UTAWALA WAKE SIO UNYONGAJI?KUWAKUMBATIA...
  13. M

    Elections 2010 Baraza la habari lakemea ukiukwaji maadili kwa waandishi

    TAIFA TANZANIA LEO HALIJATOKA NA YOTE HAYO NI KWAMBA GAZETI HALIUZIKI MTAANI TOKANA NA HABARI ZAO ZA KIDAKU:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
  14. M

    Elections 2010 Lo! Mama Salma na kampeni za shuka kwa shuka!

    Ubongo na mawazo yao yanafikiria nonino tu alizosema sophia simba
  15. M

    Elections 2010 Ccm ni chama cha udaku?

    Sasa naona ccm wameamua kuhamishia kampeni zao kwenye magazeti ya mwanachama wao shigongo kama ijumaa,risasi,champion,magazeti ambayo yanawadharirisha mama na dada zetu kwa habari zao za kupikwa,sasa inajdhihirisha wazi kuwa hiki ni chama cha wadaku,wafitini,mafisadi,tuamkeni na tuiwaamshe...
  16. M

    Elections 2010 Madudu ya Abbas Kandoro

    WANA KALENGA WALIKUWA NA HAKI YA KUTOMPIGIA KURA ABAS KANDORO KTK ZOEZI LA KURA ZA MAONI NDANI YA CCM,AMEONYESHA UWEZO MDOGO JUU YA SWALI LA KWANINI MAGARI TENA YENYE NEMBO ZA SERIKALI NA HATA LILE LA WAGONJWA LA HOSPITALI TEULE YA BUGANDO YA WANANCHI KUHOJI JUU YA HILO KWANI NI KODI ZAO...
  17. M

    Yote hayo ya nini?

    inashangaza kuona rais aliyekaa madarakani kwa miaka mitano jinsi chama chake kinavyopata shida kwenye kulazimisha watu wamkubali mgombea wao kwa kuandaa mabango ya kila aina,kufanya kila aina ya umafia hata wa kupandikiza wagombea kwenye vyama vya upinzani ili kuvidhoofisha,hivi chama hiki...
  18. M

    Kama noma na iwe noma

    TUKIKUMBUSHIANA JINSI WAZEE WETU WASTAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALIVYOTAABIKA NA MADAI YAO,KAULI YA VITISHO YA JK KWA TUCTA,HALI NGUMU YA MAISHA,MFUMOKO MKUBWA WA BEI,ONGEZEKO LA KISANII LA MISHAHARA,NADHANI NI KUSEMA INATOSHA,TWAHITAJI MABADILIKO,MUDA WA MABADILIKO NI...
  19. M

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    UKIANGALIA HOTUBA YA JK KWA TUCTA,SUALA LA MASAUNI,SASA BASHE,ACHILIA MBALI UFUNGUZI WA HOTELI YA ARUSHA AMBAYE ILIKUJA KUBOBOMELEWA SIKU CHACHE BAADAE,UFUNGUZI WA TANKI LA MAJI LILILOPAKWA RANGI KUMBE LILIJENGWE ENZI ZA NYERERE,MSAFARA WAKE KUPIGWA MAWE MBEYA NA MENGINEYO NI VIASHIRIA TOSHA VYA...
Back
Top Bottom