Search results

  1. P

    Walimu wa ICT vyuo vya afya, Msaada tafadhali

    Salamu..... Ndugu Tutors wa course za ICT kwenye college za afya, mim ni Mwalimu wa ICT niliyepangiwa kufundisha Module ya ICT kwa wanafunzi wa Diploma ya Pharmacy katika chuo cha afya hapa nchini, hapo awali nilikuwa nafundisha wanafunz wa Diploma in IT, sasa katika hii course outline ya...
  2. P

    Msaada ku-unlock HUAWEI Y530

    Wadau, naombeni msaada wa unlock codes za HUAWEI ASCEND Y530, inatumia line ya tigo pekee, inakera kweli ninapokuwa nimeenda maeneo ambayo network inazingua. So, naombeni msaada pls
  3. P

    Commercial Bank of Africa (CBA) graduate trainee interview

    ѕαlαmu. αctuαllч híí ѕíσ hαвαrí вαlí nαwασmвα wαdαu wσtє wαlíσ-αttєnd íntєrvíєw чα grαduαtє trαínєє prσgrαm чα cвα pαlє k-nєt hσuѕє ѕíku чα tαr 02/08/2016 nα kuєndєlєα tukutαnє hαpα kujuzαnα kαmα tαчαr wαѕhαítα wαtєulє wασ αu вαdσ.
  4. P

    WENYEJI WA MOSHI: Msaada kwa wataalamu wa computer networking, Application & Systems Software:

    Mi ni graduate wa IT & Telecom, naulizia kampuni/Taasisi/mtu mwenye ofisi inayodeal na mambo ya IT &Telecoms kwa hapa Moshi ambayo itanipa nafasi ya kuchukua uzoefu na ujuzi zaidi juu ya computer networking(LAN installation), Application Software development, Security systems (Sensor, CCT Cams)...
  5. P

    Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

    Salam, Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu? Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious? Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui, acha niwape siri: Asilimia kubwa ya wanaume hatupendi kuombwa hela bali tunapenda kutoa wenyewe bila...
  6. P

    Hatimaye utabiri wa MBATATA juu ya SEFUE umetimia

    Salamu wakuu! Mtakumbuka siku za hivi karibuni ndugu Mbatata alitoa yake ya moyoni, naomba ujisomee. Mtoto wa rafiki yangu ni Mwandishi wa habari wa chombo kimoja maarufu hapa Nchini. Baba yake ni kiongozi katika moja ya Taasisi kubwa za umma ambazo hivi sasa zipo katika kipindi kigumu cha...
  7. P

    Msaada: No signal Lock LED on my Continental Decoder!

    Ndugu wataalamu! Ninatumia decoder ya continental ambayo ina kama mwez sasa haioneshi channels. Na ninachokiona kitu kigeni kwenye decoder hii ni kwamba ile taa ya green ambayo huwa inawaka kwenye neno lililoandikwa lock (ambalo lipo jirani na neno power..ambapo taa nyekundu huwaka) siku hizi...
  8. P

    Mnaosomea ualimu jiandaeni kushika bahasha za kaki

    Hakika, kama hii hali ya utoaji mkopo itaendelea kwa miaka kadhaa ijayo, walimu hasa wale mnaosomea masomo ya arts mjiandae kusota na bahasha za kaki mkitafuta ajira hii ni kutokana na ukweli kwamba degree programs pekee zenye priority ya mkopo kwa waliosoma arts ni ualimu, sasa hii imepelekea...
  9. P

    Mlioomba transfer TCU mjiandae kucheleweshewa mikopo

    Je, wewe ni miongoni mwa wanafunzi waliomba uhamisho kutoka chuo ulichopangiwa kwenda kingine na wakati huo tayari una allocation ya mkopo katika hicho chuo ulichopangiwa awali? If yes, itabidi ujipange kama mkopo ndio ulitegemea awe mkomboz wako katika kila kitu. Know why? Hiyo kitu huwa...
Back
Top Bottom