Search results

  1. moryda

    Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

    Hahahahaa Lema ametoka Canada hajawahi kwenda Tanga.
  2. moryda

    Rais huwa hatangazi Utalii

    My Son drink water ulitakuwa kusoma kwanza at least google kabla ya kuweka andiko lako. Mifano midogo tu Rwanda mhe. Kagame ambaye ni Rais wa nchi hiyo amefanya hiyo show then Poland pia Prime minister wake amefanya hivo so bro fanya research kabla ya kutoa povu kali.
  3. moryda

    Pesa ilikuwa ndiyo sifa ya kwanza kwenye kura za maoni CCM

    Hujaweka hata evidence ya rushwa
  4. moryda

    Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

    Mwamba anachuki kubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. moryda

    Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

    Askofu ameamua kufuata nyayo za Mange Kimambi heheheee Sikumbuki kama kuna sehemu Yesu christo alihamasisha maandamono!
  6. moryda

    Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Umejenga hoja vizuri swali ni kwamba walinzi wake binafsi walikuwa wapi? Na kiongozi mkubwa unatembea vipi pekee yako usiku?
  7. moryda

    Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

    Ukifuatilia makala mbali mbali za AIR CRASH INVESTIGATION za National geographic utagundua matatizo kama haya ni ya kawaida sana kwenye ndege
  8. moryda

    Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Huo mtandao unaenda hakuna udukuzi?
  9. moryda

    Andrew Nyerere: Nalaani Mbowe kuwekwa Mahabusu

    Sitaki kuamini kama kweli huyu ni mtoto wa baba wa taifa Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. moryda

    Sitaisahau siku ya interview

    hahahahahaa
  11. moryda

    Mwita Waitara unajidhalilisha

    freedom of speech this is free country kila mtu anaruhusiwa kuongea chochote.
  12. moryda

    Ajali ya Waziri Kigwangala: Je, kila mtanzania anahitaji matibabu bila ubaguzi?

    nadhani unakosea kufananisha treatment anayopata waziri na mwananchi wa kawaida. hata mhe tundu lissu alipata special treatment ukilinganisha na makamanda wengine hukusema chochote.
  13. moryda

    Baraza la Maaskofu KKKT lamtenga Askofu Malasusa

    Hawa si ndio wanalilia democracy?
  14. moryda

    Tuifikirie kwa umakini taarifa ya Polisi kuhusu Abdul Nondo

    Point ni kwamba yeye hakusema popote kwamba ametekwa otherwise polisi wamefanya kazi nzuri.
Back
Top Bottom