Search results

  1. P

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    Suala la ufisadi kwa Dr Moshi ni la muda mrefu sana nashangaa kwa nini mpaka sasa anaendelea huku mkataba umekwisha tokea 03/04/2013. ufanyike uchunguzi na ikiwezekana ielezwe sababu ya malipo ya kifisadi ya allowance ya kilamwezi ya shilingi milioni 60 nnje ya mshahala. Moja ya ushahidi huu...
  2. P

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    Suala la ufisadi kwa Dr Moshi ni la muda mrefu sana nashangaa kwa nini mpaka sasa anaendelea huku mkataba umekwisha tokea 14/04/2013. ufanyike uchunguzi na ikiwezekana ielezwe sababu ya malipo ya kifisadi ya allowance ya kilamwezi ya shilingi milioni 60 nnje ya mshahala. Moja ya ushahidi huu...
  3. P

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    Ct scan imekufa miaka mitatu iliyopita na ujue ct scan ilikuwa inajiendesha kiasi cha zaidi ya mil 1.5 ilikuwa inakusanywa kili siku pia a/c hiyo ilikuwa haiguswi kabisa na pro shao aliacha pesa nyingi sana na pesa hizo ni za serikali sasa unataka serikali ifanye nini?watu wakitaka ukweli...
  4. P

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    Kwamaombi tuuuuuuuuuuuuuu!!!!
  5. P

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekunbwa tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr Moshi Ntabaye na Mkurugenzi wa Fedha Mrs Mungure , hasa kupitia urafiki wa karibu na Askofu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa, wamekuwa...
  6. P

    Kifo cha askofu Laizer: Ugonjwa aliokuwa anaumwa wawekwa kapuni!

    Magonjwa yalioMwondoa:- Prostate Cancer (Saratani ya Kibofu njia za uzazi za Kiume) .Hii kila Mwanaume anayefanyakazi kupitiamfumo wake wa Uume lazima kwenyeumri miaka 60 kuendelea. Blood cancers (Saratani ya Damu) Diabet (Kisukari)
  7. P

    Hii inaweza kuwa kubwa kuliko EPA

    Hii inaweza kuwa kubwa kuliko EPA. EPA zilipigwa Tshs. bilioni 133, yaani kama dola milioni 84 hivi. Sasa Wamarekani tunajua wako expensive kuliko Wachina. Wamarekani wamefanya tathmini ya kulinganisha unafuu wa kujenga bomba la gesi au kujenga gridi ya umeme kwa umbali ule ule wakaona...
  8. P

    Kuna nini KCMC?

    Huu ni ufujaji wa hela................................
  9. P

    Kcmc hali mbaya mgomo wa madaktari

    Together We Can
  10. P

    Hali ya KCMC hospital ni tete

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC yaadhimisha Jubilee ya Miaka 40 Je nikweli kwa hidadi hii wafanyakazi ndio waliopo 51 tu kwenyeibada ya Miaka 40 ya KCMC kati ya 1500. Kilimanjaro Christian Medical Centre: Hospitali ya Rufaa ya KCMC yaadhimisha Jubilee ya Miaka 40 Je nikitu gani kinaendelea? Je...
  11. P

    hospitali ya kcmc kunani?

    Ninikifanyike ili kuinusuru ?????? Je Tuhuma za Kiongozi aliyepita :- Miaka 30 na iliyopita mtumishi wa Mungu Askofu Stephano Moshi wa KKKT alipata maono...Kilimanjaro Christian Medical Centre kwa kushirikiana na wengine akiwemo Prof Otto Walter hospitali hii mashuhuri na aina yake...
  12. P

    hospitali ya kcmc kunani?

    Wadau wa KCMC tupeni hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO !!!!!
  13. P

    Hali ya KCMC hospital ni tete

    Jackbauer: hali inazidi kuwa ngumu, na mbaya, twaitaji Bodi ya ushauri ya hospitali KCMC kunusuru hali hii. itachukua miaka 20-30 kurejesha katika haliyake.
  14. P

    Hali ya KCMC hospital ni tete

    Tamko nila uwongo waandishi kununuliwa kuficha kasoro,Ukweli Wa Mambo: WAGONJWA WA NJE wamerudishwa kutokana na kufungwa kwa kiliniki.
  15. P

    Hali ya KCMC hospital ni tete

    Hali ya Huduma ya Matibabu ya nje (Outpatient) Clinics zasimama wa wagonjwa wa Rudishwa.
  16. P

    Hali ya KCMC hospital ni tete

    Baba Askofu Dr. Alex Malasusa, Mkurugenzi Mtendaji Dr.M. Ntabaye, Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Bw.Stanley Mmbaga wakimbiwa na madaktari walipo jaribu kuzungumza nao ukumbini leo.
  17. P

    Hali ya KCMC hospital ni tete

    Ndugu zangu naomba kwa haya nayowaeleza mpate kunijuza yawezekana kuna mwenye ufahamu wahili.hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO ! Huduma duni za wodini. Ongezeko la vifo wodini ghorofa ya kwanza, Tatu. Huduma Kutolewa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCM-COLLEGE (mwaka wa...
  18. P

    Kuna nini KCMC?

    Wadau wa KCMC tupeni hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO ! maana hali ni tete,kifedha na kiutendaji.
  19. P

    Kuna nini KCMC?

    Tanki Bovu/wadau wa KCMC tupeni hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO !
Back
Top Bottom