Search results

  1. V

    JK aenda Uingereza kikazi

    Nimesoma kwenye michuzi blog, JK ameenda UK leo asubuhi kwa ziara ya kikazi. Ni juzi tu nilikuwa najiuliza kama ameshawahi kukaa japo mwezi akiwa ofisini anaangalia files au anasoma vitabu au ku'review' mambo mbalimbali yanayoendelea nchini sikupata jibu. Vile imeandikiwa ziara siwezi kujua...
  2. V

    Wabunge vs madaktari

    Hii ndio Bongo uijuavyo.
  3. V

    Rais Kikwete amefanya kila mtu adhani anaweza kuwa rais Tanzania

    Kazi ya urais sio taasisi ya kuchezea ni taasisi ngumu ambayo inakufanya ufikiri na kutafakari kwa kina kabla hujaamua. Uwe na utashi wa kutatua matatizo na kujua unalisukuma vipi gurudumu la maendeleo. Kwa kipindi utakachokuwa madarakani utatutoa wapi na kutupeleka wapi. Kwa jinsi hiyo mtu...
  4. V

    Natafuta wimbo wa Bungeni Kariakoo

    Wana JF, Asubuhi hii wakati nakuja ofisini, nimesikia wimbo mpya kwenye radio clouds, unaoitwa Bungeni Kariakoo, ukimnukuu Spika Makinda akimwagiza Mh. Wenge kufuta kauli yake akiwa anakataa, wabunge wa CCM kumwambia atoke na Mh. Zitto kumtetea kuwa asitoke ndipo zogo likaanza. Na hivi karibuni...
  5. V

    Elections 2010 Kwani lazima ushindi wa kishindo?

    Wana JF, naomba nielimishwe, kwanini JK analazimishwa ushindi wa kishindo? Wabunge wa viti maalumu wanategemea kura za rais au za wabunge wa majimbo? Nimekuwa natafakari sana kuna umuhimu gani wa kupata ushindi wa kishindo ili hali watanzania wengi wanaona kwamba atashinda lakini sio kwa...
  6. V

    Elections 2010 Salim amkumbuka JK

    WAZIRI Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Ahmed Salim, amemmwagia sifa mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jakaya Kikwete, kuwa ana nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi huku akilinda misingi ya amani na utulivu. Mbali na sifa hizo, pia alitumia nafasi...
  7. V

    Live concert - sifa zivume

    Jamani mnakaribishwa katika Ibada ya Kusifu na Kuabudu itakayofanyika tarehe 26/09/2010 pale Mlimani City kuanzia saa 8.30 mchana mpaka saa 12.30 jioni. Tiketi zinapatikana Dar es Salaam Pentecotal church - Kinondoni, CLC bookshop, Victoria Petrol Station na Mr. Price Mlimani City. Nyote...
  8. V

    Elections 2010 Ahadi za mlaji Vs sera (Promises: Consumer Oriented Vs Policy Oriented )

    Jana katika kipindi cha 'This week in Perspective' kinachorushwa na TBC1, mwezeshaji wa kipindi alikuwa anawahoji Prof. Rweitama (UDSM), Maria Shaba (freelance journalist), Dr. Kitine (kada wa CCM) na Richard Mgamba wa gazeti la Guardian kuhusu kampeni za wagombea wa Urais. Walijadili mambo...
Back
Top Bottom