Search results

  1. N

    Zainab Kawawa: Wabunge wa CCM don't argue with the fools

    bunge lilikuwa limehairishwa wakati spika alikuwa amemaliuza kutokja ndani
  2. N

    Zainab Kawawa: Wabunge wa CCM don't argue with the fools

    Jana mbunge wa viti maalum kupitia UVCCM Zainab Kawawa alikosa busara baada ya kujibishana kwenye mic na baadhi ya wabunge wa CDM baada ya Spika kuhairisha shughuli za bunge.Kwa kweli ni utovu nidhamu uliokithiiri,kitendo cha kuwaita wabunge wa upinzani na hasa wa CHADEMA kuwa ni FOOLS.Na leo...
  3. N

    Shibuda out

    Wanataka kuleta GAMBA lao linoutukuza u kaskazini? Wanafikiria ni rahisi? tena wasipoangalia watakuja shy watatolewa nduki.Tena huyo mbunge aliyediriki kusema Shelembi ndo nani bora kaondoka maana alikuwa mzigo kwenye cc akae mkao wa kula.A taondoka ataicha CHADEMA SHY inanasonga mbele.
  4. N

    Shibuda awa mwenyekiti mpya CHADEMA mkoa wa Shinyanga

    Mpendazoe utamlinganisha na Shibuda wewe?
  5. N

    Shibuda awa mwenyekiti mpya CHADEMA mkoa wa Shinyanga

    GENIUSBRAIN Umemjibu vizuri sana huyo...Inahuuu! Kwa kuongezea tu Shibuda hata wafanyeji ndo kishaupata uwenyekiti.Kwanza atapita bila ya kupingwaTENA Wasije kulogwa wakapeleka Gamba lao SHINYANGA watahaibika.....
  6. N

    Maoni ya Lucy Mayenga (Mb) Kuhusu Bunge lililoahirishwa leo

    pipi zipo bungeni tena zile zinaitwa ivory!
  7. N

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    mama mkwe!!!
  8. N

    Wabunge wazoa Sh 90mil kila mmoja kujinunulia Magari

    Hizo pesa wamekopeshwa na wanakatwa kwenye mishahara yao.Wangekuwa wanapewa bure MNGESEMA yote hayo.
  9. N

    Viti maalumu (women special seats)

    <p> </p> CCM watapata viti maximum 60 CHADFMA maximum 40,tano zilizobaki watagawaba cuf na nccr.Ni wabunge 105 which is 40% of viti vyote vya ubunge.
  10. N

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    Wakuu anaye jua kuchakachua mahesabu naomba anisaidie.
  11. N

    Elections 2010 Mpendazoe afunika mdahalo wa wagombea jimbo la segerea

    Ataipata mpaka ya housemaid wangu.
  12. N

    Elections 2010 Mpendazoe afunika mdahalo wa wagombea jimbo la segerea

    Leo kulikuwa na mdahalo wa wagombea wa ubunge jimbo la segerea,wagombea waliobahatika kuhudhuria ni wa TLP,CUF na CHADEMA. Waliousikiliza kupitia wapo radio ni mashahidi zangu MPENDAZOE yuko makini.Nikipata picha nitawawekea mkanda mzima.
  13. N

    Elections 2010 Baada ya hatihati, Chadema yapendekeza wagombea viti maalum

    wa ndima,tupe basi hata baadhi najua wajua.
  14. N

    Kikwete: Walioambukizwa UKIMWI ni kiherehere chao

    si kwamba yamepanda kichwani na yeye anakiherehere pia.
  15. N

    Elections 2010 Kikwete Alivyoanguka Jangwani

    Hakuna cha sukari wala nn.Mnajua pale jangwani ni patakatifu sana papa keshafanya mkutano pale na mikutano mingi ya injili inafanyika pale pia.Sasa rais wenu na zile HIRIZI na wale waganga 50 waliokuwa pale mlitegemea nn?
  16. N

    Elections 2010 Ya Mpendazoe...

    shibuda yuko chadema na anagombea kulekule
  17. N

    Elections 2010 Ya Mpendazoe...

    Magazeti yameandika na kamati kuu imefanya udicteta kumrudisha sasa moto unawaka segerea.Kiinua mgongo alipewa chote na ziada tena ili aje afanye kazi ya kuisambaratisha chadema.Sasa kweli kaweza coz viongozi wa kata wamegoma wote sasa atafanya kampeni na nani?Umaarufu kaupata juzi alipoondoka...
  18. N

    Hellow.....

    Asante sana Mlatie tuko pamoja.:hippie:
  19. N

    Mpendazoe atupwa nje kura za Wagombea Ubunge CHADEMA

    Kichuguu,hivi katiba ya nchi inaonyesha kuwa mbuge lazima uwe na madgriiiiiii?MI NAFIKIRI HEKIMA YA MTU KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA tu.Hivyo don't worry with her strengths.
Back
Top Bottom