Search results

  1. N

    Mabasi kusafiri usiku kutasababisha ajali nyingi

    Uamuzi wa serikali kuruhusu mabasi kusafiri usiku nauheshimu lakini nahofia ajali kuongezeka kwani usiku ni wa kupumzika hasa kulala usingizi. Pia usiku malori mengi ya mizigo ndiyo husafiri ili kukwepa joto na msongamano wa magari wakati wa mchana. Pia askari wa usalama barabarani nao...
  2. N

    Kwa nini bidhaa zinazotoka Kenya zinatozwa ushuru wa forodha?

    Hivi karibuni tra wameanza kutoza import duty kwa bidhaa zinazozalishwa Kenya hasa nguo aina ya t-shirts za pamba. Mambo yakiendelea hivi hakuna haja common market wala East African Community!
  3. N

    Mhe Mwijage- viwanda vya umma vya maziwa vipi?

    Nchi yetu ilikuwa na kampuni ya maziwa yenye makao makuu Arusha nna viwanda Arusha, Dar, Tanga, Musoma, Tabora na Mbeya. Kiwanda cha Arusha kilibinafsishwa ila hatuoni uzalishaji wa maziwa hapo na kwenye orodha yako ya viwanda vilivyopewa notisi hakipo. Tunaomba kifufuliwe ili tupate soko la...
  4. N

    Magari makubwa bado yanaingia katikati ya jiji la Arusha

    Magari ya mizigo aina ya Fusso yaliyorekebishwa body yanabeba mzigo unaozidi tani 10 katika barabara zenye katazo linalozidi tani 7 hapa Arusha. Hii ni kwa hoja kwamba yakiingia kutoka Japan yana uwezo wa kubeba tani 4 na hiyo ndiyo iko kwenye kadi ya usajili wa gari. Wenye magari...
  5. N

    Kura za rais Kenya kutangazwa vituoni

    Mahakama ya rufaa Kenya Leo imeamua kuwa kura za rais ni lazima zitangazwe vituoni kama katiba yao inavyoelekeza. Katiba yetu nayo iwekewe ibara hiyo.
  6. N

    TRA Arusha ongezeni muda wa kuhakiki TIN

    Huu uhakiki wa namba ya utambulisho wa mlipa kodi TIN umekuwa kero kwa watu kushinda ofisi ya TRA Arusha bila kufanya kazi nyingine kwa siku nzima. Nawashauri hawa watumishi wetu wa TRA ambao wamejifanya waajiri wetu kwa kutudhalilisha kwenye foleni waongeze muda hadi Juni 30, 2017 ili tufanye...
  7. N

    Machinga wathibitiwe maana wenye maduka tunashindwa kulipa kodi

    Rais JPM aliruhusu wamachinga yaani biashara ndogo ndogo za mboga, matunda na nafaka na mitumba inaweza kufanyika pembezoni mwa barabara za mijini. Lakini hapa Arusha hao machinga sasa wameingilia biashara za maduka ambazo zinakatiwa leseni na kulipiwa kodi ya mapato. Wanauza sukari, mafuta ya...
  8. N

    Sasa viroba hakuna mitaani lakini gongo haijadhibitiwa

    Naipongeza serikali kwa kupiga marufuku viroba. Afya ya vijana hapa mtaani imeanza kuimarika lakini bado kuna wauza gongo hasa usiku bado wanatamba. Ile amri ya kuwakamata madiwani na wenyeviti wa mitaa sasa ipewe nguvu ili wahakikishe hii gongo nayo inatoweka katika maeneo yao.
  9. N

    Kwanini mahakama ya mafisadi haipelekewi ufisadi wa zamani?

    Hivi karibuni tuliambiwa kuwa mahakama mpya ya mafisadi haina kesi za kutosha zilizofunguliwa hapo. Hivi kwa nini watuhumiwa wote wa kashfa zote zilizojadiliwa bungeni kuanzia EPA, Richmond, Meremeta, Tangold, Jairo, Radar na Escrow hawapelekwi huko? Ni ushahidi hautoshi au serikali inaogopa...
  10. N

    Halmashauri ya Jiji la Arusha inatetea mafisadi/madalali

    Kweli jiji la Arusha linazalisha maajabu kila kukicha. Hivi sasa wametangaza tenda ya kupangisha maduka yake ambayo tayari yana wapangaji wenye leseni hai walizotoa wenyewe. Mwaka jana waliwasainisha hao wapangaji mikataba ya upangishaji ambayo sasa wamekataa kuwapatia. Wamewapa notisi...
  11. N

    Madaktari wahamasishe ulaji wa ugali wa dona

    Moja ya sababu za maradhi yasiyoambukiza lakini yamewaathiri watu wengi (lifestyle diseases) ni ulaji mbovu wa vyakula hasa vya asili ya wanga na mafuta. Maradhi haya ni kisukari, maradhi ya moyo n.k Kwa kuwa chakula kikuu cha wananchi wetu ni ugali wa mahindi nawashauri madaktari wetu...
  12. N

    Idara ya Mipango Miji chanzo cha matatizo ya zimamoto mijini

    Idara yetu ya zimamoto na uokoaji inapata shida wakati wa dharura za kuzima mioto katika miji yetu kwa sababu ya udhaifu wa idara ya mipango miji katika halmashauri kuruhusu ujenzi holela. Katika maeneo yaliyopimwa ujenzi wa nyumba ni lazima uwe na kichochoro cha mita moja na nusu ambacho kina...
  13. N

    Viongozi wa Afrika waige mfano wa rais mstaafu wa Gambia

    Nchi ya Gambia imefanya uchaguzi mkuu na matokeo yametangazwa jana. Rais Yahya Jamneh ambaye ametawala kwa miaka 22 amekubali matokeo na kiongozi wa upinzani Adama Barrow ni rais mpya. Tena katika kukubali matokeo amempongeza mwenzake na kumshirikisha Mwenyezi Mungu kwa unyenyekevu katika kukiri...
  14. N

    Wawekezaji Burunge WMA wanatumia maeneo yao kinyume cha sheria

    Kuna wawekezaji wakubwa wawili kwenye eneo la Jumuiya ya hifadhi ya wanyama pori la Burunge{WMA), Mkoa wa Manyara wanatumia vibaya maeneo waliyokodisha ili kujenga mahoteli. Wao wanawatembeza wageni (game drives) kinyume cha sheria ya utalii bila kulipa chochote kwa serikali kwa biashara hiyo...
  15. N

    Star TV kwenye king'amuzi cha Startimes vipi?

    Jamani sisi tulio na Startimes tumemiss Doto Bulendu wa Star TV na vipindi vyake vya Jicho letu ndani ya habari cha Jumamosi na Mijadala ya Jumapili asubuhi. Nini kinaendelea au wako kwenye king'amuzi chao cha Continental tu?
  16. N

    Star TV na startimes kuna tatizo gani?

    Ndugu wanajukwaa, tangu Jumapili star TV imepotea kwenye king'amuzi cha startimes huku kwetu Kanda ya kaskazini. Nao wamefungiwa au mitambo imeharibika? Kuna vipindi vizuri tumekosa.
  17. N

    Wabunge wasipinge TRA kukusanya kodi ya majengo

    Uamuzi wa serikali kuwapa TRA jukumu la kukusanya property tax ni sahihi kwa sababu 1. Makusanyo yataongezeka kwani wataalamu wa halmashauri watashirikiana na TRA na hakutakuwa na mianya ya rushwa iliyoko sasa katika ukadiriaji wa thamani za majengo(valuation). 2. Wenye majengo mengi makubwa...
  18. N

    Wasambazaji wa sukari wafutwe

    Tumeshuhudia kuwa wasambazaji wa sukari ni maadui wa wananchi kwa kuficha bidhaa hii wakati wa uhaba, napendekeza wafutiwe uwakala na badala yake viwanda viweke bohari kila Mkoa na wauzaji wote wa jumla wanunue sukari hapo badala ya watu wachache kuwa middlemen wa kuwatesa wananchi.
  19. N

    TCRA wekeni mtambo wa kuonyesha kodi ya VAT

    Serikali inasisitiza wafanyabiashara wote watoe risiti za EFD wakati wanapouza bidhaa au huduma. Tunaponunua muda wa maongezi tunapata ujumbe unaoonyesha jumla ya pesa bila kuonyesha kodi ya VAT. Hivyo hatuna hakika kama kampuni za simu zinalipa hiyo kodi wanayokusanya kutoka kwetu. Nchi ndogo...
  20. N

    PPF waongeze kima cha chini cha pensheni

    Wastaafu waliostaafu miaka 20 iliyopita na bado wanadunda wanaomba Rais Magufuli anapofungua jengo jipya la PPF pale Arusha apendekeze kwa SSRA kuwa kima cha chini cha pension iwe inapanda kufuatana na kima cha chini cha mshahara. Kumlipa mstaafu Tzs 50,000 kwa mwezi ni udhalilishaji wakati...
Back
Top Bottom