Search results

  1. I

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Rost tamu!
  2. I

    Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

    Namuona Pasco anachungulia naamnini anasoma post to post halafu atakuwa na chakusema.Angalau amebodha kusoma..Kweli wewe ni muungwana.
  3. I

    Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

    Unaona ulivyokilaza umeshahama kwenye hoja yako ya msingi,ndio maana nikakwambia unaitwa kule kwenye saizi yako.Siasaz hiziwezi kinachokushangaza nini kuchangia hotuba ya Rais?lazima waichangie ili kusaidia maboresho katika kuisadia nchi.Nenda kajifunze siasa bwana mdogo mdebwedo uliyevamia...
  4. I

    Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

    ushabiki wako ni kuwa untamani sana chadema wamtambue Rais na wamejitokeza watu kadhaa wamekuelewesha lakini hutaki kuelewa lakini baadaye nikajagundua kuwa kwanza umekaa kishabiki zaidi kuliko kujua ukweli pia jukwaa hili sio saizi yako ndio maana hulewi nimezoea kukuona kule na mashairi yako...
  5. I

    Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

    Sasa unalia nini?umekazana kweli kulialia.halo halo.Chadema inanyima usingizi eeh.Na bado mtapelekwa puta miaka mitano ijayo mpaka lichama lenu lililokiwsha anzajifia lijifie.Roho zimewatoka maskini manbishana na ukweli duu kweli ukiwa kilaza unakazi ya ziada.
  6. I

    Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

    Crap.Another Mdebwedo.Ushabiki bwana mbya sana.Tatzio wewe umezoea jukwaa la mahusiano huku hukuwezi kabisa.Rudi kwenye jukwaa lako unaloliwezea..Huku waachie wenyejukwaa lao.Unaitwa kule kwako wansema wamekumiss.
  7. I

    Noti mpya hazina ubora?

    Haki ya nani,hii nchi iko kazi.Ufisadi kila kona..Rais Kikwete kila siku unaingizwa mkenge.Umejiongezea historia ya kuwa Rais aliyedanganywa mara nyingi kuliko marais wote hapa Tanzania. Unadanganywa mpaka kwenye noti..Hii ni aibu nyingine ya taifa.
  8. I

    Dr.Slaa: Kichwa kimoja sawa na vichwa vyote CCM

    Nimelipenda jibu zuri la Dr Slaa.Kwa jibu hili imejidhihirisha wazi kuwa the guy ni kichwa cha kuotea mbali..
  9. I

    Regia Mtema

    Pole sana Shy.Nahisi hukuwa na nia mbaya ila ndio hivyo tena umegusa kipenzi cha watu.Pole sana siku nyingine soma alama za nyakati.Pole and take it easy.
  10. I

    Katika mazingira haya, nataka nimueleze na muda mfupi....

    Hutaki kukumbushia kwa huyo ex wako?ya kale ni dhahabu
  11. I

    Simuelewi

    Mlete kwangu nimfundishe kuongea...Niachie niwe naye week end hii tu akirudi atakuwa muongeaji mzuri.Atakuambia asante darling,usiku mwema honey..Mamii Miss You,unarudi saa ngapi n,k.Fanya hivyo.
  12. I

    On Second Thought

    Sawa.Nimekupata....
  13. I

    On Second Thought

    Mmh mada hii imenikuna.Mi nilifikiri wanawake wa kiswahili tu ndio wana imani na libwata kumbe hata wasomi...MJ1 kulikoni ingawa nimekuelewa kwa kina kuhusu hili.
  14. I

    Wa mwisho kulaa hapa jf

    Mi niko iringa tz.Ndio nalala sasa.Saa hizi ni saa 1:35 ila nawaona kina Rev Msanailo wanachungulia.......
  15. I

    Tangazo: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah

    Nitafika bila kukosa...Mada ni nzuri na wato mada nao wako safi..Tuje na Nakala za Katiba zetu au tutapewa kwenye Kongamano hilo?
  16. I

    Zito abadili dini

    It is freedom of worship... Mwee dunia hii kwa udaku.Sina hamu.Kabadili dini lina na wapi. Kanisa gani limempokea? Kwani hivi sasa Zitto anacheo cha chini? hivi Naibu Katibu Mkuu wa chama ni cheo kidogo? kiutendaji kinatofauti gani na Katibu Mkuu au Mwenyekiti? ni kuongoza vikao au status...
  17. I

    Hatimaye MS Ang'olewa kimoja

    Allah unamuogopea nini?ungekuwa unamuogopa ungefanya dhambi?
  18. I

    Hatimaye MS Ang'olewa kimoja

    Anastahili,hata wewe ukienda vibaya utafungiwa..Alizidi bana..Nadhani atakuja kivingine au tayari ameshaingia ila tutamjua tu.
Back
Top Bottom