Search results

  1. K

    CHADEMA washindwa kulipa kodi ya nyumba, wafukuzwa ofisini!

    Sasa na hili jambo, we ndugu mara kwa mara huji na hoja bali vioja.Na ndio maana hata mwanzo wa habari yako 'kumeonekana unakotoka' mimi nakupa pole, ile jitahidi maana ndio shamba lako, vinginevyo utavuna mabua!
  2. K

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Wazo la Africa iamke (ijapokuwa umetaja kama ing'atuke na hivyo kunipa mashaka kwa unachomaanisha) ni zuri, ila shida bado nadhani iko kwetu sote (mie, wewe, yule, wao, wengine, nk), maana tunapenda sana kujadili yale ya mbali wakati yapo tuliyonayo mezani kwetu na wala hatuthubutu kuhoji...
  3. K

    Birmingham City masharti lukuki kutua Dar

    kisa sie hatuonekani kwenye 'ramani ya soka' ndio maana hata timu isiyo na mashiko kwao kwetu yataka kututoa kamasi!
  4. K

    Raia Mwema na JamiiForums wanapotosha?

    Sidhani kuna sababu ya kuhangaisha vichwa vyetu na huyo anayetajwa kama ''mwanadiplomasia nguli'' maana hao ndio chanzo cha matatizo lukuki tuliyo nayo. Hatujawahi ona wakitumia uzoefu wao au hiyo misifa wanayoitaka, yametokea mengi na yataendelea kutokea mengi, wamebaki kuyaangalia matumbo yao...
  5. K

    Elections 2010 Ridhiwani Kikwete Avunja Makundi Iringa Na Kumpatanisha David Mwakelebela na Monica

    Tatizo moja ni kuwa hata hao wanaoonekana kununuliwa na kutumia professional zao wanachofanya hakiingi akilini mwa watu wazima!! Sasa kama babake alipita, kuna logic gani ya kuuhadaa umma ati huyu ndiye kavunja hayo makundi, propaganda hizi ili muendelee kuimiza nchi si nzuri hata kidogo. Sasa...
  6. K

    Ridhiwani Kikwete atawazwa kuwa chifu wa wanyakyusa!

    Kuna jambo mmesahau, mngempa na wake sasa, maana kweli akli zenu zimejaa maji!! Nini maana na nafasi ya chifu kwenye kabila lenu? Mnaamua kuvunja mila kwa tshirt ambayo ikilowekwa imesahaulika, aibu wajameni, tumepotea sasa. Na lini na wapi (pengine wanaojua kabila hili watusaidie) kukawa na...
  7. K

    Watanzania ughaibuni

    Usiwashangae hao ulioainisha, utawapima kwa matendo yao, maana kama mwamko ni kwenye mambo ya kujigamba kama hizo party nk, basi bado wanahitaji kuelimika na hicho nadhani ni kigezo kimojawapo kinachoweza kuonyesha si migrants wote wana faida kwa home countries zao!!
  8. K

    Kikwete: Walioambukizwa UKIMWI ni kiherehere chao

    Kauli hizi za ajabu ajabu ni kipimo kizuri cha uwezo wa mtu, sasa yeye anaendelea kupeta kwa sababu ya uzoba wa wadanganyika, na atasema mengi tu. Ujinga umekuwa tatizo kubwa nchini kwetu na hii inafanya viongozi wasio na hekima kuwa madarakani hama huyu, na cha ajabu wanaojiita wasaidizi wake...
  9. K

    Nyambari Nyangwine wa vitabu akaribia ulaji mwingine (safari hii) mjengoni!

    Kazi iko, mbali na sifa za uongozi kwa ujumla na uadilifu, hata uwezo wao, Mathayo huyu aliibukia kwenye biashara na toka pale akajaa naye evening class ya Mara secondary, na sina hakika kama aliimaliza na wakati huo ndio akawa diwani wa kata ya kitaji na kwa nguvu ya fedha basi u-mwenyekiti wa...
  10. K

    Nyambari Nyangwine wa vitabu akaribia ulaji mwingine (safari hii) mjengoni!

    Mzee Mwita oh nimekukubali na tena umenikumbusha mbali, mie nimekuwa nasema simpingi kusimama kama mgombea, nachopinga ni uadilifu na uwezo wa uongozi, japo sie wadanganyika huwa hatuna jinsi ya kutunza kumbukumbu na hata kufuatilia mambo kwa undani. Na hii imesababisha watu kufikiri kazi ya...
  11. K

    Nyambari Nyangwine wa vitabu akaribia ulaji mwingine (safari hii) mjengoni!

    Nadhani wewe ni mmoja wapo wa watu wanaomfahamu huyu bwana na hilo utawasaiida wengi kumfahamu, maana wasio mfahamu na kufikiri hata hivyo vitini ni ubunifu wake wanahitaji kumuelewa Nyangwine kwa ukaribu zaidi, maana aliyepita Mara Secondary hatasahau namna ambayo tulifunga skuli kisa huyu...
  12. K

    Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

    Nafikiri bado tuna tatizo kubwa kwenye kuchagua nani awakilishe wananchi; na tumeruhusu mianya ambayo fedha inawezesha watu kupenya. Hii sasa inajidhihirisha mfano kwenye hivi viti maalum na kunakuwa hakuna kuumiza vichwa ili hata kuchujua, bali inatumika kama ngazi ya wenye nacho kwa kisingizio...
Back
Top Bottom