Search results

  1. K

    FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

    Pengo la Zimbwe Junior na baba Esther kupeleka mashulambulizi juu linaonekana, tunacheza defensive game kama vile tunatafuta sare.
  2. K

    FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

    Mdaka mishale wetu leo kapatwa na nini wakati huku Bongo anaongoza kwa clean sheets?
  3. K

    FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Imekuwa kwao tena, hapa kwenu imeshindikana nini?
  4. K

    FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Nne bila kwa mujibu wa afisa habari wetu ndio haiwezekani tena.
  5. K

    FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Mpaka sasa sijaona dalili ya sie Yanga kupata ushindi aliotuahidi afisa habari wetu wa goli nne bila.
  6. K

    FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

    Jamani wakumbusheni vipers kuwa leo ni siku ya mwanachi, mbona wanatufedhehesha sana.
  7. K

    CHADEMA yadai kwamba iliwasilisha Kwa Spika wa Bunge Taarifa ya Mdee na wenzake kushindwa kesi mara tu baada ya uamuzi wa Mahakama

    Kesi bado haijaisha, kwa kushirikiana na mwanasheria anaetutea tuko bize kurekebisha dosari zilizojitokeza na kesho tunafungua kesi upya, tumeisha itaarifu ofisi ya spika ndio mana ametulia kwanza! 😂
  8. K

    Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Tatizo beki wetu wa kati ana kimo kama cha Joti, pamoja na kujitutumua kuruka kote kule, lakini wapi, ni washambuliaji wa Algeria ndio waliokuwa wanawini mipira na kutushambulia.
  9. K

    Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Mpaka hiyo kesi ije kuisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa umeshafanyika, kwa hiyo covid 19 wanaendelea kuinjoi ubunge wao to the fullest. Walio na wivu waende chooni wakakate gogo. 2025 ikifika covid 19 watakuwa wameshafanya maamuzi wahamie chama gani ili wagombee ubunge tena. That's all about...
  10. K

    Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Mimi ni kafiri ila sio kama wewe, mana kafiri wa aina yako na mpumbavu hawana tofauti, mana wote hamna ubongo wa kuelewa somo lolote lile. Tumeshaambiwa kuwa mfungo wa mwezi Ramadhani ni ibada ya waislamu pamoja na mambo mengine pia inahusu kujizuia kula tokea jua linapochomoza hadi jua...
  11. K

    Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Kama jina la Yesu halikumsaidia yeye mwenyewe mwenye jina hilo kwenye maombi yake ya kumuomba babaake alioko mbinguni kumuepusha na kikombe cha umauti kilichokuwa kinamkabili wakati anaenda kusulubiwa, matokeo yake akasulubiwa na kufa msalabani, iweje jina lake hilo hilo liweze kukufanyia...
  12. K

    Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Kama jina lake yeye mwenyewe Yesu halikumsaidia kwenye maombi yake Yesu ya kumuomba babaake alioko mbinguni kumuepusha na kikombe cha umauti kilichokuwa kinamkabili wakati anaenda kusulubiwa, na matokeo yake akasulubiwa na kufa msalabani, iweje jina lake hilo hilo liweze kukufanyia muujiza wewe...
  13. K

    Mwakalebela: Yanga ni Tishio Barani Afrika

    Biggy Mwaka katika ubora wake wa kuropoka 😂
  14. K

    Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Na baada ya Mtibwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu bara mwaka huo walilitia aibu taifa kwa wao kushindwa kusafiri kwenda kucheza mechi ya marudiano ya mtoano ya awali katika mashindano ya caf champions league iliyowapelekea kula ban ya miaka 3 pamoja na faini kutoka CAF.
  15. K

    Nimeamini yanga wanakomolewa kimakusudi ili wasibebe ubingwa

    Uto wote kutokea kwa yule msukule nguruwe pori hadi kwa bwana wake muuza magodoro akili zao zinafanana, eti hawajaona kama ni kosa kwa Dickson Job kumkanyaga Ngodya kwa makusudi 😂
  16. K

    Ali Kamwe: Sababu 8 zilizoifanya GSM kuvunja mkataba na TFF

    Kwa hili la gsm kutokea wala sishangai mana wauza magodoro walio wengi huwa ni matapeli na wakwepa kodi.
  17. K

    Simba waziponda Sh milioni tatu za GSM, zilikuwa ndogo sana, wataja lengo la mkataba

    Licha ya timu 15 za ligi kuu, isipokua moja tu, kuvaa logo yake na kuweka mabango yake viwanjani, muuza magodoro, ambae ni bwana wa yule mchumia tumbo, ameona magodoro yake hayauziki bila kutangazwa na chama kubwa Afrika mashariki na kati Simba Sc, ndio mana ameshindwa hata kuwalipa hizo timu 15...
  18. K

    Siipi Simba nafasi ya kuitoa Red Arrows

    Mke mwenzie na msukule kanye ukalalwe na gsm.
  19. K

    Hukumu kesi ya Morrison hakuna anaepaswa kujiuzulu Yanga?

    Kama tumbo lingekuwa linajiuzulu kufakamia misosi, Biggy Mwaka angekuwa wa kwanza kujiuzulu.
Back
Top Bottom