Search results

  1. baraka607

    Hii mimba kweli yangu?

    Mimba itakua yako kweli boss, ni kitu cha kawaida wanawake wengine kuendelea kwenda period hata kama ni wajawazito. Ko kama hicho ndo unashikiria kama sababu mimba si yako then ujue ni yako kuanzia leo. Hongera bro!
  2. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    0689 658811 wasiliana nasi.
  3. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Msalato mnadani, ukifika ofisi tutakupatia maelekezo zaidi na kupata ratiba kamili. 0689 658811
  4. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Asali zipo za aina nyingi kutokana na maua husika nyuki waliyotumia kutengeneza asali na uzito hutofautiana. Ila ndoo ya lita ishirini inaweza fikia kg 35 hadi 40 Tuwasiliane kwa 0753196849 kwa maelezo zaidi.
  5. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Kit yetu inaanzia mizinga 12 ambayo inajumuisha; Mizinga 12 Machine ya kukamulia 1 Chujio 1 Practical training Hive tool 1 Naomba tuwasiliane kwa namba 0753196849 kwa maelezo zaidi
  6. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Hi Patrick, Kwanza pole kwa kuchelewa kujibu, natumaini bado sijachelewa kukupatia jibu. Maji ya kisima ni sahihi na kwa umbali huo bado sio shida kwa nyuki kwani wana uwezo wa kufuata majia hata zaidi ya kilomita 3. Karibu. 0753 196849
  7. baraka607

    Are you competent enough for the Agronomist position?

    Green Investment (T) Limited we are looking for Agronomist experts in the following fields; - Crop protections / chemicals - Drip Irrigation - Greenhouses - High breed seeds Responsibilities; - Aiding in the decision making process of customers for decisions related to agronomy - Handling a...
  8. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Habari ndugu yangu, Naomba nichukue nafasi hii kujibu maswali yako japo ni ya muda mrefu ila inaweza kuwa faida kwako na kwa wengine ambao itakua mara yao ya kwanza kutembelea thread hii. Majibu: 1. Nyuki wakubwa wana faida zaidi kwani zaidi ya kupata asali utapata mazao mengine ya nyuki kama...
  9. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Tafadhali tembelea website yetu http://www.centralparkbees.co.tz
  10. baraka607

    Kikundi cha kilimo

    Ahsante pia kama maelezo yangu yamejitosheleza. Karibu tupige vita umasikini na utumwa wa ajira zisizo na maslahi.
  11. baraka607

    Kikundi cha kilimo

    Habari wana jamvi, Nimevutiwa na maelezo ya mtoa mada nikaona sio mbaya nikachangia pia. Me pia ni mkulima wa vitunguu, nyanya kwa kutumia greenhouse, hoho, ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na matikitiki. Nnachoweza kusema hii sekta ya kilimo ni nzuri sana na bado ina nafasi kubwa sana ya...
  12. baraka607

    Puku power bank

    Power Bank hizo zinapatikana, bei ni USD 95
  13. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Sio lazima ununue hiyo kit, ukiona huna mahitaji na vifaa vilivyopo ndan ya hiyo kit basi ni ruksa kununua mizinga pekee.
  14. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Sio lazma kusubiri nyuki waingie katika mizinga yote hamsini, ipo njia ya kuwezesha mizinga yote kuwa na nyuki kwa muda mmoja. Hayo yote utayafahamu ukifika ofisi zetu
  15. baraka607

    Nzuguni (Kitongoji cha Nyerere) Kuna Kiwanja Nakiuza

    Kaka tuwasiliane tafadhali. Namba yangu ni 0655003510
  16. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Mkuu wapo wafugaji wengi sana kwa hapa Dar mpaka Zanzibar watu wanafuga nyuki.
  17. baraka607

    Nahitaji Samsung Galaxy S4 mpya

    S4 Mini Full boxed sealed. Tshs 450,000/= Sent from my iPhone using JamiiForums
  18. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Eneo la square meter 1200 litatosha vizur kabisa na kubaki nafasi. Mizinga yetu haiihitaji kutundikwa juu ya miti, unaweza kuipanga katika stand au ukajenga bee house ya kuingia mizinga 50 yote Sent from my iPhone using JamiiForums
  19. baraka607

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Huo ni mchakato mwingine ambao kwasasa bado hatujaanza kuufanyia kazi. Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom