Search results

  1. M

    January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

    scientist nakuomba tumpe mtu benefit of a doubt, huyu kijana jamani yuko makini jamani sijatumwa naye bali ningeomba jamani tuhold judgement na sisi kama vijana wenzie tumtie moyo jamani. Kuna msemo unasema kwamba donot trust anybody but sometimes there is a need to have a little trust. Plse...
  2. M

    Maggid ana nini na CDM?

    we kijana koma kuwaongelea wahehe, kwanza maggid siyo mhehe sasa sielewi tatizo lako ni nini? Wahehe usicheze nao watakupa kibano mwanangu. Unaonekana unausongo wa laptop, sasa hao wahehe unao wasema wangeweza kukupa laptop kama ungekuwa na heshima. Lakini kwani wewe kinakuwasha nini mambo ya...
  3. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Jamani kuna mtu ana CV ya huyu jamaa aiweke hapa.Tusije tukawa tunamjadiri mtu ambaye hana hata hadhi ya kujadiliwa hapa JF (Great Thinkers). Kwanza mtu mwenyewe kashepu kake anaonekana alikosa lishe wakati wa utoto na ujana wake. Isije ikawa uelewa wake mdogo ndio sababu anaandika hizo pumba...
  4. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Jamani kuna mtu ana CV ya huyu jamaa aiweke hapa.Tusije tukawa tunamjadiri mtu ambaye hana hata hadhi ya kujadiliwa hapa JF (Great Thinkers). Kwanza mtu mwenyewe kashepu kake anaonekana alikosa lishe wakati wa utoto na ujana wake. Isije ikawa uelewa wake mdogo ndio sababu anaandika hizo pumba...
  5. M

    Maggid ana nini na CDM?

    hivi wewe unaakili au punguani, suala la kutukana wakina mkwawa wote ni upuuzi usio kifani. Hivi wewe kichomeo mkeo anafananaje? Sasa mbona unaanza kuniboa kabisa yaani natamani sana tuonane uso kwa uso nitakuonyesha jeuri ya mhehe. Jamani nyie watu wadunia ya kumi maggid sio mhehe mimi ndio...
  6. M

    Maggid ana nini na CDM?

    leka inyali isya ubukonyofu
  7. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Maggid is the coolest guy who happens to reason with low minded people. Kama huelewi tafsiri tuwasiliane ipo ya kiswahili, kihehe na kijapan na wale wapendao spaniola nitafuteni basi.
  8. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Hivi unauhakika na unachokisema lakini au ndiyo mzee wa udaku tu. Pole sana sasa hivi mtu atakuwaje yatima kama anawazazi wake wote wawili. Je kama ni kweli ni yatima hivi hiyo issue inahusiana na nini na huu mjadala wote hapa? Jamani watanzania mnanisikitisha sana na mambo yenu ya character...
  9. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Uko USA unafanya kazi gani huko? Good sasa kaowa white trash? How do you know? Wewe umeoa nani au umeolewa na nani? Na kwa nini? Haya sasa utarudi lini kusalimia nyumbani? Vipi baridi nasikia Winter la safari kali sana? Halafu vipi kazi huko jamani unaweza ukatuconnect unafanya wapi siku...
  10. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Pole sana kwa roho yako mbaya yakumtukana kaka wa watu. Wewe tuwekee basi na wewe picha yako na ya mke wako tuione.
  11. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Hajashabikia kitu chochote nyie vipi lakini. Yaani mtu kuelezea anachofikiria kichwani kwake ni makosa? Bangi na ugimbi unawasumbua nini? Mimi naona wavuta bangi ni ninyi siyo maggid.
  12. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Na pia naongeza kwa kusema kwamba mimi ni mhehe na nimesoma sana kaka ila tu hiyo siyo issue acheni jamani kama hauna cha kusema siyo lazima upost message unaweza kuchukua muda huo kujielimisha kama vile how to use excel spreadsheet na mambo mengi sana humu kwenye mtandao. Na mwisho maggid siyo...
  13. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Maggid nimuandishi wa habari kwa hiyo ndiyo kazi yake. Acha wewe unataka kumuweka Maggid kwenye mfuko bwana. Let people enjoy their freedom of speech. ACHENI TABIA YAKUTAKA KUWANYANYASA WATANZANIA WENZENU NAKUWA TUNUKI WAGENI. KAMA NYIE MNA KIFUA NENDENI MKA MTILIE NGUVU ROSTAM AZIZI KULE...
  14. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Makongorosi tafadhali sana usimshambulie mtu namna hiyo kwa sababu tu ametoa maoni ambayo huafikiani nayo bwana. Nakuomba,sasa anakaa gangilongo lina msingi gani hapa jamani. Pole sana kwa jaziba zinazo kukabili kweli watu bwana mnataka katiba lakini hamtaki freedom of speech. Mimi naipenda...
  15. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Kaka yangu Maggid Umeandika vizuri sana katika uchambuaji wako wa namna chama cha Chadema kinavyo endesha mambo yao Bungeni. Lakini pia Maggid lazima uelewe kwamba chadema wakati mwingine huwa wana wasiwasi wa vyama vingine vya upinzani kama vile viko genuine. Sasa wanaogopa kwa sababu CCM...
  16. M

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Jamani naomba nieleze kidogo kumtetea huyu kijana, najua inawezekana kwamba aliwahi kuiba mtihani lakini mambo mengi yanachangia katika maamuzi vijana huwa wanafanya, labda alikuwa na walimu wabaya, au alikuwa tu anafanya kwasababu wenzake walifanya. LAKINI JAMANI NAOMBA SASA NIELEZEE KUHUSU...
  17. M

    Jamani Jennifer Hudson..abadilika miezi saba tu..........weight watcher..............

    Kaka Jennife Hudson hajala madawa yoyote yale ila tu kuna program inaitwa weight watchers na hiyo ndiyo huyu Dada anawatangazia biashara kwa watu wanaotaka kukonda. Anachofanya anakula kidogo na kiti moto hagusi kabisa ila tu mamichicha ya kuchemsha na matunda kwa wingi. Vyakula vyake anavyo...
  18. M

    Waziri Nundu aipa Sumatra siku 7 kuitema Majembe

    Hili suala la kwamba serikari itashitakiwa siyo kweli in this case. Kwani Majembe walikuwa ni contractor wa Sumatra hivyo Sumatra ndiyo iliyomuajili Majembe kufanya kazi on their behalf. Kwa hiyo ni ngumu kidogo kwa contractor kumshitaki Serikali kwani inaonekana Majembe akiwa in wawakilishi...
  19. M

    Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

    Naomba matokeo ya Kilolo, Iringa na Dodoma mjini
Back
Top Bottom