Search results

  1. whizkid

    Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

    Kuna anayeweza eleza kwa mifano tume inawezaje kuwa huru kwa mazingira ya katiba hii ya sasa?
  2. whizkid

    Napata wapi Viti vya Plastiki jijini Dar?

    Kama unataka vya Jambo Plastics, wacheki: JAMBO PLASTICS LTD. PLOT NO: 2360 / 75 / D NYERERE ROAD (NEAR DT DOBIE) P.O.BOX 40337 DAR ES SALAAM TANZANIA (EAST AFRICA) TEL: +255 22 2865864 / 255 22 2865868 EMAIL: sales@jamboplastics.com WEBSITE: www.jamboplastics.com
  3. whizkid

    GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

    Ukiboronga kwenye interview hata kama ulikuwa best student, kazi hupati.
  4. whizkid

    #COVID19 UVIKO-19 Tanzania: upo au haupo?

    Still in denial?
  5. whizkid

    SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

    Kwa kuwa unajua hesabu, na kwa kuwq umbali wa Dar Moro unajulikana, hebu tupe na spidi ya hiyo treni ili iweze kutumia hizo Dk 45 (tufanye kwamba haisimami kabisa hata stesheni moja).
  6. whizkid

    LNG plant in Lindi

    Great to expedite talks, but it's rather unfortunate that the project may no longer be transformative to our economy.
  7. whizkid

    Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

    Hizi ndio akili za muwindaji aliyechoma msitu mzima ili ampate sungura.
  8. whizkid

    Rais Magufuli anahoji; Je, ninyi hamuamini kuwa yupo Mungu?

    Labda huwa anamaanisha MUNGU = Muujiza Unaopatikana Nje Gizani Usiku Kwa ufupi ni ushirikina.
  9. whizkid

    Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA: Tahadhari juu ya ugonjwa wa Corona

    Inawapata hadi mbuzi na mapapai
  10. whizkid

    #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Kwani kuna tangazo la shule kufunguliwa? Linasemaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. whizkid

    Siri gani ipo nyuma ya namba 40(arobaini)?

    Wowowo huanza kwa makalio yaliyozidi nchi 40. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. whizkid

    Internet ya Halotel ni matatizo!

    Nadhani inategemea unatumia kifurushi gani. Kuna vifurushi ukivuka kiasi fulani cha matumizi (mfano unlimited bundles) kasi inashuka sana baada ya hapo. Haisaidii kubadili simu maana restriction ipo kwenye line yako. Binafsi natumia bundles zao za 4G, nafurahia huduma. Sent using Jamii Forums...
  13. whizkid

    Ushauri kwa Wizara ya Afya: Wachina wasiingie nchini

    Njia sahihi ni kila anayeingia toka China au maeneo mengine yenye athari kubwa ya ugonjwa ni kuwa quarantined angalau kwa wiki 2 akifika nchini. Kuna Wachina wana mikataba ya kazi hapa nchini, na walirudi kwao kwa ajili ya likizo. Kuna wafanya biashara, n.k. Lakini pia kuna raia wetu na wa...
Back
Top Bottom