Search results

  1. Msitari wa pambizo

    TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu. Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka...
  2. Msitari wa pambizo

    Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, George Mandepo awekwa wakfu kuwa Shemasi

    Miezi kadhaa iliyopita Rais wa JMT alimteua George Nathanael Mandepo kuwa Katibu mtendaji wa tume ya kurekebisha sheria. Leo tarehe 25 January baba Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania dayosisi ya Dar es salaam Rev Jackson Sosthenes Jackson amemuweka Wakfu Adv Mandepo kuwa Shemasi (mchungaji)...
  3. Msitari wa pambizo

    Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

    Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara. Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
  4. Msitari wa pambizo

    Hawa UDART hawaguswi?

    Huu mradi umekua kero mpaka inatia hasira kuuzungumzia. Yani magari bado hayatoshi na hata hayo machache yaliyopp mengi ni mabovu. Yani unafika pale gerezani foleni kila mahali na kuna magari zaidi ya 20 yamepaki. Sasa unajiuliza nani huyo anayekula hii nchi asiyeguswa? Nani huyo ambaye...
  5. Msitari wa pambizo

    Kama Rais Samia na Spika Tulia ndio role models wa wanawake viongozi am sorry to say this 'Wanawake hawafai kuwa viongozi,

    Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni mfano wa wanawake viongozi. Basi niko hapa kuwakosoa na kuwaambia kama lengo ni kutaka usawa wa...
  6. Msitari wa pambizo

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  7. Msitari wa pambizo

    Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

    Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili. Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga...
  8. Msitari wa pambizo

    Mtu mmoja anadaiwa kupigwa risasi na kuuawa na polisi huku watatu wakijeruhiwa akiwemo polisi wakati polisi wakikabiliana na wananchi mkoani Kigoma

    Tukio hilo limetokea leo Siku ya Jumapili katika kijiji cha Malagarasi kilichopo wilayani Uvinza mkoa wa Kigoma. Ilikuwa hivi Polisi walipata habari kuwa katika kijiji hicho wamekuja watu wanaowaumbua wachawi maarufu kama KAMCHAPE hivyo polisi walifika katika kijiji hicho ili kuwazuia...
  9. Msitari wa pambizo

    Ni utaratibu gani wa kufuata ili kubadili tahasusi(combination) kwa mwanafunzi aliyepangiwa kombi asiyoitaka?

    Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa haraka. Imebaki wiki mbili wanafunzi wa kidato cha tano wa Report lkn nimepata kesi ya dogo mmoja hapa anahitaji msaada wa haraka maana ni kama amevurugwa. Dogo amesoma shule ya kata na amepambana kweli akapata div One ya 17 na matokeo yake ni...
  10. Msitari wa pambizo

    Nani anaukumbuka huu uongo wa Serikali ya Samia?

    Leo ni siku ya mwisho ya mwezi Mei nani amepanda treni ya SGR?
  11. Msitari wa pambizo

    Mwanaume asiyeweza kujilipia mahari mwenyewe anawezaje kulea familia?

    Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa. Nikajiuliza maswali kadhaa. 1. Hivi mwanaume kama hauna uwezo wa kulipa mahari unataka ndoa ya nini? 2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? 😀 Angalau...
  12. Msitari wa pambizo

    Hili la Mgombea Binafsi tusipopaza sauti zetu hakuna mwansiasa wa kulisemea

    Katika harakati za kudai na kukumbusha katiba mpya suala la mgombea binafsi haliungumzwi kabisa. Si CHADEMA, ACT, CCM au chama chochote cha siasa wa kulisemea hili. Hii ni kwa sababu wote wanaangalia maslahi yao hivyo hawawez kulipigania hili. Sisi ambao tungetamani sura halisi ya uwakilishi...
  13. Msitari wa pambizo

    Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  14. Msitari wa pambizo

    Vijana oeni, acheni janja janja

    Kwa siku kadhaa hapa JF pametokea na wimbi la vijana wakija na mtazamo wa kwamba ndoa si muhimu na haina umuhimu hivyo hawaoni haja ya kuoa. Nimekuja hapa kuwaambia neno moja tu kwamba wasijifiche kwenye shamba la karanga wakifikiri hatuwaoni. Tunajua wankwepa majukumu ili waendelee kulelewa na...
  15. Msitari wa pambizo

    TRA kama hamtaki walipa kodi wapya semeni

    Kuna kitu naeza ita ni upuuzi au uzembe uliopitiliza. Nina mwezi sasa nafanya online TIN aplication lakini mtandao unasumbua. Kila nikifanya naambiwa failed to retrive data. Nimeenda ofisi zao labda naweza kupata msaada cha ajabu wananiambia hawawezi kunisaidia maana mtandai uko chini. Hii...
  16. Msitari wa pambizo

    TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

    Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia. Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani. Bishop...
  17. Msitari wa pambizo

    Askofu wa Kanisa Angliakana Dayosisi ya Mpwapwa afariki siku 6 baada ya kuwekwa wakfu

    Katika hali ya majonzi na maskitiko askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Mahimbo Mndolwa ametangaza kifo cha Askofu mpya wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto leo tarehe 3.9.2022 ikiwani nitakribani siku sita tangu askofu huyo alipowekwa wakfu wa kuwa askofu mkuu wa dayosisi...
  18. Msitari wa pambizo

    Mchungaji huyu nitampataje?

    Naomba kama kuna mtu anafahamu mchungaji huyu jina lake, mkoa anaopatikana, kanisa analo hudumu au hata mawasiliano yake anisaidie. Natanguliza shukrani Msikie kidogo hapa 👇
  19. Msitari wa pambizo

    Kipindi cha Mr Right mabinti hawataki waume wako kuuza sura tu. Gara B kama uko serious na kipindi hiki fukuza wote

    Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B. Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho 1. Wadada hawanauhitaji serious wa wanaume. Hivi kweli unaweza ku disqualify mwanaume eti kwa sababu anatumia...
  20. Msitari wa pambizo

    Master's ya Public Health

    Nimeona Masters hii inatolewa MUHAS na Mlimani. Hapo mlimani nimeona wanaruhusu mpaka watu waliochukua course za arts undergraduate. Swali langu ni je inauhusu nini na fursa zake zikoje hapa kwetu nchini
Back
Top Bottom