Search results

  1. Danp36

    Msaada: Odometer na fuel gauge hazifanyi kazi

    Habari wana jamvi , Nina toyota crown nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu , Leo katika kuwasha gari asubuhi ,ghafla nakuta gauge /mshare wa mafuta haufanyi kazi vizuri ,yaani unashuka na kupanda mafuta yapo robo tatu tanki. Vile vile odometer yaani kilometa za gari hazitembei kabisa ,yaani...
  2. Danp36

    Natafuta mpenzi, baadaye mke

    Habari, Mimi ni mkazi wa Dar es salaam Umri - 33.6 Kazi - Ajira/biashara Dini - Mkristo Elimu - Masters Rangi - mweusi na mrefu kiasi Mtoto - Sina mtoto Natafuta binti Umri - 24 hadi 29 Kazi - Sio lazima Elimu - Form 4 na kuendelea Dini - Ikipendeza mkristo dhehebu lolote ila mcha Mungu sana...
  3. Danp36

    Kwa mtaji wa mil 5-10 nifanye biashara gani mkoa wa TABORA

    Habari Za majukumu wanajamvu, Katika pitapita zangu, nimekuja tembea mkoa wa tabora, na nimeupenda, naweza weka kambi kwa mda . Naombeni ushauri wajuzi wa huu mkoa ,Biashara gani naweza fanya hapa mkoani kwa mtaji wa mil 5 hadi 10? Nitashukuru kwa ushauri. Asanteni
  4. Danp36

    Mkopo wa gari

    Habari wanajamvi, Kutokana na bei za magari zimepanda sana, nahitaji kununua gari used la mkononi/yaliyotumika tanzania lenye hari nzuri. Bei kuanzia mil 7 hadi 12. Wapi ntapata wanakokopesha magari used kwa rejesho la kila mwezi. Uwezo kurejesha laki 5 hadi 8 kwa mwezi. Na natanguliza mil...
  5. Danp36

    Scania 124 ya kukodi

    Habari za leo wadau Natafuta scania la kukodi kama mtu hana mizigo mimi ninayo Namlipa kwa mwezi kiasi tutakacho kubaliana au kwakila mzigoninaosafirisha Scania iwe nzima Kwa sasa sina uwezo wa kununua used kutoka nnje Nalipa pesa inadvance kila safari Akhsante Nakaribisha maoni
  6. Danp36

    Natafuta online ups -evi, triplite, eaton

    Hi kwa niaba ya mdau wangu Natarajia kuingia mjini kesho Mwenye Ups tajwa hapo juu msaada ili nisizunguke sana Uweso Kva 10 pc 2 Kva 20. 3:3phase pc 2 Kva 30 3:3 phase 1pc Hizi kabla ya ijumaa narudi nazo morogoro Weka quote hapa au inbox
  7. Danp36

    Msaada :ku recorder Data formated on window installaton

    Msaada nimepiga window 10 nikaformat data All files zimepotea Msaada naweza kuzipata data ? Kama ndio nifanyaje? Nani atanisaidia au wapi nitasaiidiwa? Akhsante
  8. Danp36

    msaada remote desktop software

    Msaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao. Nahitaji remote desktop software nafuu au cracked. Nawasilisha
  9. Danp36

    Nahitaji software ya gharama ndogo

    Habari, Nahitaji software ya gharama ndogo, web version kwa ajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown. Pia ya transport na logistic low cost web version. Nawasilisha NB: ikiwa imedesigniwa hapa hapa Tanzania itapendeza pia
  10. Danp36

    Uliwezaje kufanikiwa maisha haya?

    Habari zenu wanajamvi, wakubwa zangu shikamoni! Katika maisha haya yanayoenda kasi tofauti na karne ya 19 na 20, suala la kutoboa linahitaji kuwa na akili ya kujiongeza sana na mengine mengi. Katika kufanikiwa kimaisha kuna mambo mengi sana unayafanya, lakini kuna moja tu utalifanya, basi ndio...
  11. Danp36

    Msaada: Natafuta kazi au kujitolea ya Assistance accountant

    Habari wana jamvi. Nina mtoto wa dada wa kiume anamiaka 28 , amemaliza degree ya accountancy mwaka 2017 , nilimuingiza kwenye biashara , sasa anataka pata ajira biashara ngumu. Hana uzoefu wa kazi ya uhasibu yoyote ,ila ni muelewa wa haraka na yupo tayari kujitolea mkoa wowote tanzania...
  12. Danp36

    Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili 'Best Psychiatrist'

    Habari Zenu wandugu! Nina kijana wangu ni rafiki yangu sana! Amekumbwa na dalili zifuatazo. 1. Anaumwa na kichwa sana. 2. Anapoteza kumbukumbu. 3. Highly attract negative thoughts. 4. Anasikia ngumu kufanya maamuzi madogo tu. 5. Anashindwa kuongea kwa kunyoosha sentensi. 6. Anakosa...
  13. Danp36

    Biashara ya kusambaza vitu na huduma kwenye makampuni makubwa

    Ndugu wanajamvi, Kwa muda baada ya kuona watu baadhi ya makampuni yakisema yametumia mabilioni ya fedha kwa suppliers wazawa haswa makampuni makubwa. Mfamo migodi, UN, viwanda vya cement, mahoteli kimataifa, Total, Songas, Oryx, Puma energy ni hasa ya kigeni. Nimevutiwa kujua haya. Naomba...
  14. Danp36

    MSAADA SECOND ROUND

    NDUGU ZANGUNI ,NAOMBA MSAADA JINSIYA KUAPPLY SECOND ROUND ,JE TUNAINGIA KWENYE CHUO HUSIKA KWA KU LOG IN KAMA MARA YAKWANA AU KUNAJINSI MPPYA..... PIA NIMEINGIA VYUO VIMEFUNGA ADMISSION ,WAKATI TCU WANASEMA WAMEFUNGUA ADMISSION MPYA. MSAADA WA HARAKA JAMANI MAANA TAR 10 MWISHO
  15. Danp36

    Msaada: Kilimo cha maharage machanga Arusha?

    Habari ndugu zangu wa JamiiForums, Nilikuwa naomba msaada wa kujua moja mbili tatu ya biashara na ukulima wa maharage machanga, naomba kujua mfano kwa upande wa Arusha nasikia kuna makampuni yanayoingia mkataba na wakulima na kununua hayo maharage, ningependa kuyafahamu. Mwisho naomba kujuzwa...
  16. Danp36

    Msaada biashara ya soya beans

    HABARI WANAJAMVI ,KUTOKANA NA KUVUTIWA NA BIASHARA YA KUCHUKUA STOCK YA MAHARAGE NA KUUZA KWA JUMLA MIKOANI NA DAR ES SALAAM.NAOMBA WAZOEFU MNIDSAIDIE KUJUA JINSI HII BIASHARA INAVYO FANYWA NA WAZOEFU. 1.MTAJI NINAO KIDOGO ,MIL 7
  17. Danp36

    Msaada: Ndege za kwenda Iringa

    Naomba msaada wa kujua nauli na aina ya ndege inayokwenda Iringa leo hadi kesho. Msaada.
  18. Danp36

    Msaada wa Vyumba vya kupanga Iringa mjini(self)

    Mimi ni mgeni hapa Iringa mjini ,naomba anaejua au Dalali ,nahuitaki chumba na sebule (self ) .isiwe mbali Sana na mjini .
  19. Danp36

    Msaada wa kupata consultants

    kampuni yetu tumeamua kuibadilisha toka unlimited to limited vivyo tunaitajika kuandaa taarifa za kifedha AUDITED . Naomba msaada wa kupata CPA ambaye anaweza kuniandalia mahesabu . naomba tuma inbox contacts kama wewe ni CPA na kama waweza pia kunisaidia kumpata CPA mwenye kampuni ya...
  20. Danp36

    Msaada nimeibiwa

    Habari wana jukwaa. mwezi uliopita niliibiwa pesa ,laptop na mfanyakazi nyumbani na kutoroka na vitu baadhi. katika kwenda polisi nikafungua kesi lakini shida imekuwa kwenye kumpata mtuhumiwa. mara baada ya kuibiwa yule kijana alifunga simu ila alikuwa akiifungua usiku mpaka leo huwa...
Back
Top Bottom