Search results

  1. Danp36

    Siku ya Wanawake Duniani: Who Are The Top Ten Richest Women In Tanzania?!

    Pasca muweke Angelina ngalula wa Bravo logistic na agricom Anamiliki companies with more than 100 bilions revenues makisio tu
  2. Danp36

    Je, ilikuwa sahihi kwa Rais kuiasa hadharani familia ya Mzee Mwinyi isigombane?

    Hadharani kumeleta picha fulani si nzuri kwa maoni ,nlijiuliza mengi
  3. Danp36

    Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba

    Mpunguze mizinga, ukiolewa na mwanaume ndio muanze kushare gharama
  4. Danp36

    Nawezaje kujua deni za parking fee?

    Download app ya gefp tanzania
  5. Danp36

    Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba

    Kweli mkuu kuna ukweli ,na ukiwa na michepuko mingi ndio kwisha. Sasa sijui wanashida kweli, sababu ukitongoza mwanamke haipiti siku tatu vizinga vinaanza , inabidi ugharamie vitu vyake vingi
  6. Danp36

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    Uzuri sikuya kifo kilaa mtu anakiri uwepo wa Mungu, ukishiba kande utasema hayo maneno Waliokana uwepo wa Mungu wanasayansi wa dunia walikiri wakatiwakufa . Sembuse Wewe mwakatumbula?
  7. Danp36

    Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

    Ndugu umeisoma kesi na sababu za jaji kuwaachia huru?
  8. Danp36

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    Siku ya kiama kila mtu atahukumiwa sawasawa na hesabu zake Pia Mungu anahukumu kwa kutoa laana ya vizazi na vizazi Usishangae analipiza kwa watoto wako na wajukuu zako Kwa hiyo do right things bila kumuonea mtu
  9. Danp36

    Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

    mimi nakaza Kama umeamua kununua gar kubaliana na yote Usipaki mda mrefu litasumbua uwe unaboost weekeend Pia unawaweza panga siku za kutoka balo ubalance hesabu Mfano wiki 2 gari , wiki 2 daladala
  10. Danp36

    Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Ofisi ya DCI itenganishwe na ofisi ya polisi Iwe independent km FBI ya usa Pia ikiwezekana. TISS wahusishwe kweenye uchunguzi Inamaana wameshindwa daka mawasiliano ya watuhumiwa na location za siku za nyuma? Inamaana hapo kuna hela imetembezwa kwa hadi mashahidi walegeze ushahidi?
  11. Danp36

    Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

    Bro lita nne unalalamika? Hata yakishuk si 10,000 huko
  12. Danp36

    Shahidi alivyotoa majibu ya kufikirisha kesi ya mjane wa Bilionea Msuya

    hapo kila swali linamtego sio kwamba hajui mkuu
  13. Danp36

    Dewji: Biashara yangu ya kwanza nilikuwa nauza Mafuta ya Taa, Baba yetu alikufa masikini

    Wewe unasema sio masikini ,ila wapo wanaoona huyo ni masikini, kama azim dewji hapo anasema baba yake alikuwa masikini wakati anafariki ,lakini labda alikuwa anaingiza equivalent na hiyo . kumbuka hio ni dola 8000 na ni chini ya dola 100,000 kwa mwaka .
  14. Danp36

    Dewji: Biashara yangu ya kwanza nilikuwa nauza Mafuta ya Taa, Baba yetu alikufa masikini

    Kuna level za utajiri na umasikini pia . Mwingine akiingiza mil 20 kwa mwezi atasema yeye ni masikini ,lakini wewe unaona ni mwenye pesa . labda anamaanisha umasikini wa chini ya dola milioni moja wa baba yake .
  15. Danp36

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wana jamvi , Nina toyota crown nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu , Leo katika kuwasha gari asubuhi ,ghafla nakuta gauge /mshare wa mafuta haufanyi kazi vizuri ,yaani unashuka na kupanda mafuta yapo robo tatu tanki. Vile vile odometer yaani kilometa za gari hazitembei kabisa ,yaani...
  16. Danp36

    Msaada: Odometer na fuel gauge hazifanyi kazi

    Habari wana jamvi , Nina toyota crown nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu , Leo katika kuwasha gari asubuhi ,ghafla nakuta gauge /mshare wa mafuta haufanyi kazi vizuri ,yaani unashuka na kupanda mafuta yapo robo tatu tanki. Vile vile odometer yaani kilometa za gari hazitembei kabisa ,yaani...
  17. Danp36

    Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

    Sio sahihi ulichoandika hapa Kuna familia zimesomesha mtoto kwa shida , basi ukipata nafuu ya maisha saidia Familia zetu sio za kizungu
Back
Top Bottom