Search results

  1. M

    Mchina ni noma

    si umeona hata nazi ya pakiti sasa inapatikana
  2. M

    To revive 'intimancy' in your marriage

    Inaonesha wengi wetu tunashindwa kuelewa kuwa suala la ndoa ni utaratibu uliopangwa na Mwenyezi Mungu. Tujue kwamba mwili wa binadamu umetengenezwa katika mazingira ya kutamani na kuchoka. Mimi nachukulia suala la mapenzi kama chakula. Mtu kama umeshiba utahitaji chakula? Katika ndoa, mwanandoa...
  3. M

    Raia kumiliki pingu si kosa - Polisi

    Nijuacho mimi pingu ni kama moja ya vifaa kama bunduki. Nadhani utaratibu wa kupata pingu utakuwa hauna tofauti na jinsi silaha nyingine kama bastola zinavopatikana. Kwa hiyo kama mtu amefuata utaratibu wa kupata hiyo pingu sio tatizo, na umiliki wake utakuwa ni halali mbele ya sheria.
Back
Top Bottom