Mpendwa Rais wetu Kikwete, pls usiende huko, hawa ndugu hawashauriki, waache na unafiki wao sisi tujenge nchi yetu. If possible tuwaachie hiyo EAC yao na tuweke nguvu zetu SADC ambako soko ni kubwa zaidi kuliko huko kwao. By the way we have little to lose compared to them. MUNGU ibariki Tanzania...
What is new here? All is the same with other banks. You need to be more creative and come up with new products/feature. We are tired with copy and paste products. Sorry for that.
Kamanda tembelea www.mof.go.tz angalia assets za serikali utaona si tu Pride kamanda. Tatizo ni kama mwenye mali anajua kama anazo hizo mali. Tembelea tu hiyo web site kamanda.
Pita maeneo ya bar za Mwananyamala, wapo ma-handsome kibao wanaotafuta mijimama kama wewe, lakini jiandae kwa kumpa mbele na nyuma, maana ndio taratibu zao.
When the closed door sickens you, know that there is the untried way. When one door of happiness closes, another opens; but often we look so long at the closed door that we do not see the one which has been opened for us, said Helen Keller-the American Author and Educator who was blind and...
Moony, inaonekana wewe ni mtu mwenye chuki tu na watu waliofanikiwa. Huwezi kuleta jamvini habari ambazo hazina ushaidi hata kidogo, eti "inasemekana". Hapa ni mahali pa great thinkers sio pa majungu. Pls give facts and not your emotions.
Jamani, tatizo ni vodacom kudhamini miss Tz au kuna jingine? Naona kama kuna element ya udini kwani wenzetu wamekuwa wakipinga mashandano ya mamiss kwa muda mrefu. Nachelea kuhisi kuwa hisia yao zimepitishiwa tu kwenye ajali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.