Nafikiri hapa muuzaji wa bidhaa ndiyo hayupo serious. Unapotangaza bidhaa weka all details. Mfano, unaposema "Ng'ombe bora wa maziwa" ingefaa utuambie ni breed gani? Wana umri gani? Bei gani kwa kila ng'ombe etc! Siyo utuache hapa bila taarifa na kulazimisha tuwasiliane kwa namba ya simu! Why...
Habari zenu wakuu
Tunatafuta shamba kwa ajili ya kufanya "urban farmimg" activities kama kulima mbogamboga, kufuga kuku, mbuzi na ng'ombe wa kisasa etc.
Sifa za shamba
1. Lisiwe mbali sana na miundombinu ya barabara (Morogoro Rd, Bagamoyo Rd/Bagamoyo-Msata Rd)
2. Mnunuzi angependa...
Habari zanu,
Natafuta shamba la kununua (siyo viwanja) kwa ajili ya kilimo na ufugaji, kuanzia ekari 5 hadi 10. Eneo liwe na ardhi nzuri kwa kilimo na ufugaji, maji yawe yanapatikana shambani au karibu, eneo lisiwe mbali na barabara na miundombinu ya umeme, pawe panafikika kwa urahisi
Kama...
Hawana specific question(s)
Jiweke tayari wanaweza kuwapa general written test kulingana na elimu yako (kama ni sekondari wanatoa CIVICS related questions/general knowledge)
Kama ni university/college level hauulizwi maswali zaidi ya ku-cross check ufahamu wako
Hasa hakikisha unakwenda na...
Max Melo haendi huko kwa Green Card, ikumbukwe Makonda amezuiwa kwa sababau ya MAOVU yake. USA imeiondoa Tanzania kwenye Green Visa Lottery kwa wale wanaotamani kwend akuishi huko na kufanya kazi.....siyo Melo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.