Search results

  1. Mzee Mchopu

    Kanusho: Vyeti feki vyafyeka polisi kwa mamia, ni habari ya Uongo

    sio double standard huwezi linganisha nesi au mwalimu na polisi, mbona wanajeshi awahakikiwi? polisi 800 ni wengi sana hofu yangu km ni kweli tusijezalisha kikundi hatari cha watu wasiofaa maana mtu akikata tamaa hufanya chochote ili ajipatie kipato
  2. Mzee Mchopu

    Kanusho: Vyeti feki vyafyeka polisi kwa mamia, ni habari ya Uongo

    hii haijakaa sawa wallahi HAO KAZI ZAO HAZIITAJI HATA ELIMU YA KAWAIDA ZAIDI YA ELIMU YA KIJESHI WANGEPEWA MUDA WAKARUDI KUSOMA ASEE 800 kama kweli wakiunda kikosi huku mtaani itakuwa sio afya ktk swala la amani
  3. Mzee Mchopu

    Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    mwenye charge sheet tafadhali hizi kesi sidhani km jamhuri itashinda inatakiwa charge sheet aandae mjuzi wa sheria
  4. Mzee Mchopu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    premierbet mkeka bet waweke option ya ku cash out bana
  5. Mzee Mchopu

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    lizaboni roho inamuuma anapokohoa halaf lissu akohoi
  6. Mzee Mchopu

    Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    mbona unapuyanga kichwa na miguu havifanani?
  7. Mzee Mchopu

    Tundu Lissu anyimwa dhamana, kufikishwa mahakamani Kesho

    SERIKALI ILISHAWAHI KUSHINDA HIZI KESI? NO SINA KUMBUKUMBU HATA MKOLONI ALIMSHITAKI NYERERE KWA UCHOCHEZI KISA ALIKUA AKIDAI UHURU ZIMA MADAWA WASHA UCHOCHEZI HIZI SWITCH NAZIPENDAGAAA
  8. Mzee Mchopu

    Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    MANENO YA WAZIRI NI MANENO YA SERIKALI, JE MANENO YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA GEITA NI MANENO YA NANI BURGER SELFIE MOVIE...... MVUA NYESHA TULIME MTAMA SIE SEMBE MWACHIENI EL CHAPO
  9. Mzee Mchopu

    Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

    DAUDI BASHITE WAPI PAPAA MUKULU ONGEZA MOJA NTALIPIA
  10. Mzee Mchopu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    premier bet sjui wana nini tangu jana jioni mechi hazionekani
  11. Mzee Mchopu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    JAMANI WAKUU HIVI HII PREMIER NDIO UTARATIBU MPYA WA KUFICHA MECHI AU NI KWANGU TU, MECHI ZA LEO NA KESHO HAZIONEKANI, NA JANA ILIKUA MECHI ZA JANA NA LEO HAZIONEKANI
  12. Mzee Mchopu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    GG VALENCIA NICE SAMPDORIA LAZIO SASSULO GRANADA JUVE MADRID MONACO GG
  13. Mzee Mchopu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wadau MAN CITY NICE ROMA LYON MADRID JUVE PORTIMONENSE FAYENOOD AJAX VARZIM GETAFE LAZIO ATHLETIC BILBAO B NANI NIMTOE HAPA nyegere86
  14. Mzee Mchopu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    READING WIN MADRID DOUBLE CHANCE AC MILAN WIN ACADEMIA WIN ODDS 7.47 NAJILIPUA KANJI AKINIDAKA POA TU
  15. Mzee Mchopu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WAZEE WA KUTABIRI KONA MPO WAPI?
  16. Mzee Mchopu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nallikopi kokorokoo ooo hoo kokorokoo nimchinjie kanji kwa mbaaaliii
  17. Mzee Mchopu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nyegere86 suka kokoro mkuuu maana bingwa wa makokoro wa kihistoria ni wewe tu
Back
Top Bottom