Search results

  1. M

    Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Achana na kilaza wa "ilm". Hana lolote alijualo huyo.
  2. M

    Shirika halijajibu Hoja za Mkaguzi ya kuwa linajiendesha kwa Hasara, limeona liandae futari kwenye hoteli ya kifahari

    Huyo ambaye TTCL ilimpa gawio na huku nyuma ya pazia inapata hasara!!!!
  3. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa Booking Code 5859F36
  4. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa 1203B30 C57C95A 0B6B0A3 F4648FC
  5. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pesa hiyo. Hizi zote unaeweza kuweka over 1.5.
  6. M

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango asema wananchi waweke chakula huku mipaka hawajazuia kupeleka nje ya nchi

    Na vibali vya kusafirisha mazao havitolewi tena lakini tunaambiwa hakuna katazo la kuuza nnje!!
  7. M

    Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

    ITV pia naona JM anaambatana na mtangazaji wao na kila habari ya saa 2 usiku lazima arushwe.
  8. M

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Huu ni muda muafaka wa mama Albina Chuwa kupumzika sasa na majukumu ya NBS. Huu mchakato wa sensa unedhihirisha kuwa hawezi tena endana na kasi ya zama za sayansi na teknolojia. Amelitumikia sana na vyema taifa,tunamshukuru kwa hilo. Mh. Samia S.H liangalie hili tafadhari.
  9. M

    NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Usitupe taka hapa lakini huambiwi/huoneshwi utupe wapi.
  10. M

    Napataje NIDA kwa haraka?

    Unamaanisha Wilayani au kwenye ofisi za NIDA za huko Dar!!??
  11. M

    Napataje NIDA kwa haraka?

    Tunaomba hizo ABC tafadhali.
  12. M

    Napataje NIDA kwa haraka?

    Rafiki yake alirudi akapata ndani ya siku 5. Tatizo huyo jamaa aliyemfanyia huyo rafikiye,hapatikani hewani.
  13. M

    Napataje NIDA kwa haraka?

    Fomu ipo tayari inamsubiri akitua tu aijaze.
  14. M

    Napataje NIDA kwa haraka?

    Hela inatolewaje na kwa nani?
Back
Top Bottom