Search results

  1. P

    Kula 'chakula cha kikubwa' mara kwa mara kunaweza kuleta madhara katika uzazi?

    Bwana ehee!!Kula mzigo ndugu yangu asikubabaishe mtu kwani umemuoa akuhubirie injili?Ukiwa na meno tafuna hadi mifupa ukifikia kibogoyo mumunya minofu.Nahisi umenipata hapo.
  2. P

    Maximo.......je unamkumbuka kwa lipi?

    Kwa kuonewa kijicho na wivu na Mziray.Pole Lion msimu huu lazima ugeuzwe mshkaki.
  3. P

    Maximo.......je unamkumbuka kwa lipi?

    Na kwa ujasiri wake wa kupingana na timu ya waandishi na wachambuzi wa soka bovu la bongo ambayo inahusu maslai binafsi ya Ulion Na Uyebo bila kuweka maslai ya taifa kwanza.Kwani Stars bila Kaseja haiwezekani?
  4. P

    Maximo.......je unamkumbuka kwa lipi?

    Kwa ujasiri wake wa kufundisha soka kwa wanaolijua tayari kabla hata ya kucheza.
  5. P

    She is very kissable!

    DUH!!Kweli nimeamini wonders never seize on earth,sasa ndo tumwite chai jaba au Six by Six?
  6. P

    Elections 2010 Dr slaa je nawewe utamchagua jk kuwa waziri katika serikali yako?

    Duh!!GODWINE ebu jaribu kutumia basi ata akili kidogo.Najua huna zote ila hata izo kidogo za kuvukia barabara zinatosha.
  7. P

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Bange +No Education at all + Malezi ya Uswahilini Tabora Relini + kulijua jiji mixa kulishobokea + ulimbukeni=Haruna Moshi Boban a.k.a Chandumu.
  8. P

    Manabii wa uongo na vita dhidi ya ufisadi

    Ila ikumbukwe pia mwisho wa ubaya ni aibu.
  9. P

    Msinichekeeeee!! Msinichekeeeee!

    Jamani wadau mi ni mgeni humu ndo nimiingia sasa ivi naombeni kura zenu za ukaribisho.Kichama mi ni mfuasi wa mageuzi na si Mapiinduzi.
Back
Top Bottom