Search results

  1. for life

    Ipi inafaa kwenye gari kati ya battery ya maji na dry?

    Heshima kwenu wakuu wangu! Nilihitaji ushauri kati ya battery na maji na dry ipi itanifaa natanguliza shukran
  2. for life

    Wenye watoto wadogo...

    Ndugu zangu tunatakiwa kuwa makini kipindi hiki ambacho watoto wapo free majumbani. Kama una watoto ndani basi chunguza kabla hujaondoa chombo cha moto, hasa magari. Hakikisha chini ya uvungu hakuna kitu, washa chombo chako kaa kwa sekunde kadhaa ili kumpa mda alioko chini atoke, kuna mifugo...
  3. for life

    Bei ya vyuma hivi

    Wakuu kwema nilikuwa nahitaji kujua bei ya kiwandani au jumla ya hvyoo vifaa hapo chini nilikuwa nataka kufungua kihardware kwa vitu vifuatavyo Square Pipe 1.5 inch 1 inch pamoja na robo tatu Flat bar inch 1 Mashit mm 1.2 Natanguliza shukran zangu za dhati
  4. for life

    Magufuli sweet song

  5. for life

    Maximum number of accounts have been actived on this phone

    Msaada wakuu nimekwama katika kusign in kwenye iCloud account inaniletea jumbe hiyo hapo [emoji115] Sent from my iPhone using Tapatalk
  6. for life

    TTCL hamko makini, Simiyu hamna coverage

    TTCL nimeshangaa nimefika mkoani Simiyu hamna coverage, hivi kweli mpo makini na biashara au kwa vile shirika ni la umma ndo hamjali huo mkongo mlo chimbia nchi kwa coverage hii ni aibu. Ukiwa mkoa kama Mwanza mjini kati poa ukitoka tu mawaa haiwezekani mkoa mkubwa kama Simiyu wenye watu wengi...
  7. for life

    Nandy unatuchanganya

    Kwenye nyimbo ya mahabuba wewe na aslay uliimba maneno matamu sana kama ''Wacha wapaki marange nimependa bodabodo" "Chai kwa andazi wala sinagashida" "Uniletee boga ninapomiss baga" Sahivi umeimba na jaymelody umeyakana maneno yako kwa muuza samaki baadhi ya mistari " bora kuachana unanizingua"...
  8. for life

    Kumbe watu wanamuelewa vizuri Kim kiduku

  9. for life

    Msaada: Jinsi ya kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza plastick

    Natumai mu wazima wenye afya dhumuni langu ni kutaka kunisaidia juu ya kutengeneza kiwanda kidogo cha kuzalisha bidhaa za plastic kama vikombe,mabakuli,beseni,hotpot,majagi na nk lengo langu ni kujua upatikanaji wa mashine/bei na vitu vingine vinavyohusiana na mada tajwa hapo juu nakaribisha...
  10. for life

    mashine za kuchana na kulanda mbao

    Wakuu heshima kwenu habari za majukumu ya hapa na pale nilikuwa naomba msaada wa kujua bei za mashine tajwa hapo juu ziwe za saize ya kati au ndogo
  11. for life

    Air Tanzania wakusanya BILIONI 9 kwa miezi minne

    Shirika la Ndege Tanzania ‘ATCL’ kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu, Ladislaus Matindi amesema kuwa wamekusanya kiasi cha Sh. BILIONI 9 kwa kipindi cha miezi minne tangu ndege mbili za Bombardier Q400 zianze kufanya kazi. ‘Tumejitahidi sana kila tunachokipokea kinaingia katika mfuko wa shirika, mapato...
  12. for life

    drunk guy

    Wife:look at that drunk guy! Husband:who is he? Wife:10 years back he proposed me & i rejected him. Husband:oh My GOD . he's still cerebrating
  13. for life

    Nafuta Fridge

    Natafuta fridge kwaajili ya biashara yenye muonekano kama za Coca-Cola yaa iko wima na kioo mbelee
  14. for life

    Sizonje

    Za weekend najua mtakuwa mmpumzisha akili kidogo kulinga na mihangaiko ya wiki mzima jana niliangalia matangazo mubashara kutoka ikulu ilikuwa ni Maswali kwa Rais jpm na wahariri wakati wanamaliza wakachomekea kidogo mwimbo wa mrisho mpoto sizonje kumbe ule wimbo aliimbiwa mkulu sasa...
  15. for life

    Ndege yenye technolojia ya hali ya juu yafanya upelelezi Uturuki

    Ndege ya Urusi iliyofika hivi karibuni Syria ina uwezo wa kupeleleza mamia ya kilometa ndani ya Uturuki ikitokea kituo cha ndege kilichopo Syria Kufuatia kufungwa kwa anga karibu na mpaka wa Syria na Uturuki, Kikosi cha Urusi kina uwezo wa kujua kila kinachoendelea upande wa Uturuki kwa...
  16. for life

    kitwanga 1

    mhudumu nipe kitwanga moja
  17. for life

    viti vya virefu vya counter

    habarini nahitaji kiti tajwa hapo juu wenye maduka ya fanirture stores tuwasiliane
  18. for life

    Rufaa ya Babu Seya

    Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) katika kikao chake kilichoanza jijini Arusha, itapitia maombi ya rufani ya mwanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking na John Viking dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo jana, ilieleza kuwa kesi...
Back
Top Bottom