Search results

  1. Shindu Namwaka

    ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

    Yani maelezo yote haya nani asome? [emoji1787][emoji1787]
  2. Shindu Namwaka

    Kumlipa Fei Toto mshahara wa mhindi ni udhalilishaji mkubwa sana, mwacheni aende zake Azam

    Hata kama ingekuwa analipwa shilling Elfu 3000 si alikubali? au huo mkataba alilazimishwa kusaini?
  3. Shindu Namwaka

    Kumlipa Fei Toto mshahara wa mhindi ni udhalilishaji mkubwa sana, mwacheni aende zake Azam

    Hiyo million 4 ndiyo makubaliano yao ambayo alisaini Yanga mwaka 2020 kwa wakati huo hiyo pesa ilikuwa inamlipa,usichokijua kwa uongozi wa Yanga tayari ilianza mazungumzo na wanaomsimamia Feisal ila ghafla yametokeo hayo sema haya mambo tunajadili kishabiki hakuna asiyejua kazi na uwezo wa Feisal
  4. Shindu Namwaka

    Wakulima wagomea bei ya Korosho

    Duh we acha tu ndugu
  5. Shindu Namwaka

    Mwambieni Lissu tulilipwa bilioni 700 badala ya kushitakiwa MIGA

    Ni wasio na akili tu ndiyo wataamini maigizo
  6. Shindu Namwaka

    Chunyu Ruangwa, Lindi: Msaada wa pembejeo za korosho unapewa chupa moja na nusu

    Mwaka jana tulikatwa sijui mwaka huu itakuwaje
  7. Shindu Namwaka

    Chunyu Ruangwa, Lindi: Msaada wa pembejeo za korosho unapewa chupa moja na nusu

    Mwaka jana makato ya pembejeo nilikatwa zaidi ya Shilling 50 elfu mbaya zaidi hata pembejeo yenyewe sikuchukua inauma sana.
  8. Shindu Namwaka

    Chunyu Ruangwa, Lindi: Msaada wa pembejeo za korosho unapewa chupa moja na nusu

    Mbaya zaidi msimu wa korosho kunakuwa na makato ya pembejeo ambayo unakatwa.
  9. Shindu Namwaka

    Chunyu Ruangwa, Lindi: Msaada wa pembejeo za korosho unapewa chupa moja na nusu

    Sina maneno mengi Swali langu kwa Mheshimiwa waziri wa kilimo mimi nina mikorosho zaidi ya 40 wengine wana mikorosho zaidi ya 100 lakini unapewa chupa moja ya salfa ya maji na chupa moja ya wadudu mnagawana nusu kwa nusu watu wawili. Kama lengo kumsaidia mkulima chupa moja na nusu itamsaidia kweli?
  10. Shindu Namwaka

    Baada ya kiwanda kuwaka moto GSM wasema “Tumepata hasara kubwa sana, hakuna kilichosalia"

    Bima watatumia lini hela zao? hapo ndipo inapokuja faida ya Bima kubwa.
  11. Shindu Namwaka

    Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    Iligomewa shilingi 2700 enzi ya Magu mwaka 2018 leo 2021 bei shilingi 2280 duh noma sana hii nchi hii
  12. Shindu Namwaka

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi huu ushuru wa taka tunaolipa mbona hatupewi risiti hela inafika yote kunako husika?

    Lindi mjini kila nyumba kila duka wananchi wanatozwa ushuru wa taka kumekuwa na utaratibu wa wananchi kutozwa ushuru kwa ajili ya usafi na utaratibu huo binafsi naona haujazingatia viwango kwani wengine wanatozwa fedha nyingi kuliko uhalisia Nyumba ya wapangaji kila chumba shiling Elfu 2000...
  13. Shindu Namwaka

    TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Muda si mrefu tutasikia mzee amehamia Chato.
Back
Top Bottom