Search results

  1. tembeleh2

    Viongozi wa awamu ya 5 na waandishi wa habari

    Ndugu wana jukwaa, Katika kipindi hiki cha uongozi wa awamu ya 5 chini ya Dk. John Pombe Joseph Magufuli, imeshuhudiwa matumizi makubwa sana ya waandishi wa habari katika kazi za viongozi (mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu na manaibu wao, wakuu wa taasisi mbali mbali, wakuu wa mikoa na...
  2. tembeleh2

    Yussuf Manji: Kingunge ni mnafiki, alilikata jina lake uchaguzi 2005!

    Ndugu manji angeelezea utaratibu ulivyokuwa hadi kupelekea yeye kukatwa angeeleweka vzr. Ulinganisho huo alioutoa hauingii akilini kabisa.
  3. tembeleh2

    Aliyekuwa anasambaza habari za uzushi za kifo cha Mkuu wa Majeshi atiwa mbaroni

    Mkuu wa majeshi angejitokeza hadharani kuiaminisha jamii ya watanzania kwamba yuko vizuri ingekuwa nzuri zaidi. Ikiendelea hali hii, habari hizo zitaonekana kama zina asilimia kubwa ya ukweli.
  4. tembeleh2

    CHADEMA ni wanaharakati na sio wanasiasa

    Ni kweli kabisa, sifa moja wapo ya wanaharakati ni kuwa na papara/pupa katika utekelezaji wa mambo yao. hilo nimeliona sana CHADEMA.
  5. tembeleh2

    Hamad Rashid: CHADEMA ni chaka la wanaokimbia CCM

    sasa hivi wenye chama wanajuta kumfukuza ZZK.
  6. tembeleh2

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Nashauri viongozi wa dini waachane na kuhubiri siasa kwenye nyumba za ibada.
  7. tembeleh2

    Treni ya kisasa (Delux), kwenda Bara yenye mabehewa 22 imeanza safari kwenda Kigoma

    Jamani treni za kisasa hazitumii mafuta (dizeli). tusipotoshane. tungesema treni ya kizamani iliyoboreshwa.
  8. tembeleh2

    Sitta, Kilango na Lukuvi hawafai nafasi ya Uwaziri - Dr Slaa

    Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake. Huyo ni Slaa na mawazo yake.Mwacheni mkuu wa nchi afanye kazi yake.
  9. tembeleh2

    Masikini Prof. Kitila Mkumbo: Ndio basi tena!

    mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. big up prof.
  10. tembeleh2

    Mnaionaje hii safu ya CHADEMA 2014-2019

    Ndani ya CHADEMA watu wa kanda nyingine wasahau kabisa kupata uongozi. hicho ni chama chao.
  11. tembeleh2

    Kafulila: Serikali ya CCM inataka kuniua

    baada ya kuchemsha bungeni na kukaliwa vibaya na IPTL, sasa anatafuta huruma kwa wananchi. SERIKALI IKUUWE KWA LIPI WEWE!!!!!
  12. tembeleh2

    Muonekano mpya wa round about ya mtaa wa uhuru na msimbazi dar! Bado kabisa

    Jamani tumejaribu kidogo, tungejipongeza badala ya kikandia.
  13. tembeleh2

    Wanawake wa Kimarangu ni hatari

    Siku hizi wanawake wote ni hatari, siyo wa marangu peke yao.
  14. tembeleh2

    Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    Kwa sababu bado hatujapata chama mbadala KARIBUNI nawatakia kila la heri. Msiwe wasanii kama jina la chama chenu lilivyo. ACT. pigeni kazi huenda mkawa chama mbadala siku za usoni.
  15. tembeleh2

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    maisha yalikuwa mazuri sana enzi hizo. asante kwa picha
  16. tembeleh2

    CHADEMA yasambaratika: Mwenezi wa wilaya ya Meatu na wenyeviti wa kata wajiunga CCM

    Huo ni mwanzo, hatimaye wenye akili kubwa wote wataondoka.
  17. tembeleh2

    UKAWA walia na Mwigulu Nchemba, Waanza kurejea bunge la katiba

    Napendekeza wawe wanalipwa kwa siku na tena wawe wanasaini wakati wa kuingia asubuhi na wakati wa kuahirishwa bunge kama atakavyoahirisha mwenyekiti kila siku.
  18. tembeleh2

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 22 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Una maana kukosekana kwa vurugu za ukawa bungeni ndo kupooza au! mimi ninaamini bunge bila ukawa nidhamu inatawala na malengo yanatimia kwa wakati.
  19. tembeleh2

    Nauza gari - nissan march year 1995

    500,000 unachukua?
  20. tembeleh2

    Masikini UKAWA

    Baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi, wakaamua kuunda UKAWA kwa kusudi la kutengeneza mipango ya kupata huruma ya wananchi na hatimaye kurudisha mvuto. Matokeo yake karata hiyo imewageuka na kuwamaliza kabisa. Kumbe wamerudi bungeni!!!!!! CHEZEA POSHO WEWE!
Back
Top Bottom