Search results

  1. Q

    Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    Mungu ndiye anajua utakufa saa ngapi sio huduma nzuri wala ulokole wala daktari.
  2. Q

    Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    Uhai hauongezwi na figo Mungu akiamua hata upewe figo 20 unakufa saa hiyo hiyo.
  3. Q

    Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    Kwahiyo Mungu hakuwa na msaada wowote kwenye kuongeza siku za Lowasa.
  4. Q

    Wabongo hatari Sana Wakiambiwa Waandamane na Chadema hawataki lakini Wao Ndio wa kwanza kuhoji Matumizi ya Ruzuku!

    Yale yale ya wabongo, wewe hujitokezi lkn unataka yawe kama ya Kenya unatumia akili zipi.
  5. Q

    Nani yuko nyuma ya 'personal attacks' dhidi ya Mwigulu na Makonda jana Star TV kipindi cha Ajenda?

    Kama huu ni mtazamo wako na AUS naye alitoa mtazamo wake, usimpangie cha kusema.
  6. Q

    Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

    Uko sahihi hii ni michembe aina ya matobolwa ni viazi vilivyopikwa then vikakatwakatwa tofauti na michembe ya viazi vibichi.
  7. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Unasemea faida kwa NSSF au kwa mteja wa NSSF
  8. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Yaani we acha tu unaenda kubembeleza wakati pesa ni yako na wao wameshaipatia faida.
  9. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Angalau wewe ulipata bahati ya kumuona Ndalichako kuna watanzania wengi hata Dar hawajafika lkn wanamadai yao NSSF sijui watasaidiwaje.
  10. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Ngoja nipambane nao hadi nione mwisho wake.
  11. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Huyo dada namfahamu kila mtu anamlalamikia
  12. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Sisi tulifungua kabla halijafutwa ndio maana tulilipwa mkupuo wa kwanza, ila kifupi NSSF Mwanza ni wasumbufu sana, labda kama wanasubiri tuwape chochote.
  13. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Kuna urasimu mkubwa sana kwenye ofisi za NSSF Mwanza ukilinganisha na mikoa mingine, bila kuwa na ndugu au jamaa anayekujua faili lako la mafao linaweza kuzungushwa hata mwaka mzima. Mimi na wafanyakazi wezangu tuliacha kazi siku moja kwenye kampuni binafsi mimi nikiwa branch ya Mwanza wenzangu...
  14. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Kuna urasimu mkubwa sana kwenye ofisi za NSSF Mwanza ukilinganisha na mikoa mingine, bila kuwa na ndugu au jamaa anayekujua faili lako la mafao linaweza kuzungushwa hata mwaka mzima. Mimi na wafanyakazi wezangu tuliacha kazi siku moja kwenye kampuni binafsi mimi nikiwa branch ya Mwanza...
Back
Top Bottom