Search results

  1. N

    Sheria za soka: Mjadala

    wadau naomba kujuzwa hapa nimepata shida ikiwa kipa kaumia wakati wa penalti na akashindwa kuendelea nini kinafanyika.naomba Masada kwa mujibu wa kanuni za soka
  2. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kasulu idara ya sec.nije babat
  3. N

    Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

    ndg nilifuatilia sana bunge maalumu la katiba ndo maana nauliza kwanini kuwe natofauti hiyo kwani kilichojadiliwa ndicho kilichochapwa kwenye katiba inayo pendekezwa.kuisoma tu haitoshi lazima kutafuta na ushaur maana hili swala sio sawa na kusoma gazeti la udaku.pia tofauti zetu tukizitumia...
  4. N

    Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

    sasa hiyo idadi ninayoisikia kwenye vyombo vya habar na wasomi wengi kuwa idadi haizid 390 inatoka wapi?.pili wakat nafuatilia BMK nilikuwa nasikia wabunge wakisema katiba itaje idadi isizid wabunge 360
  5. N

    Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

    jamani naomba mnisaidie ibara inayotaja idadi ya wa bunge maana sijaiona .
  6. N

    Ni wakati wa kusema "no" kwa CWT na unyonyaji wao

    HII HOJA NIMEIPENDA SANA .MIMI NPO HALMASHAUR FLANI NIMEANDIKA BARUA YA KUOMBA NISITISHIWE MAKATO YA CWT KWA SABABU SIKUWA NA MKATABA NAO NILIIANDIKA BARUA KWA KUREJELEA SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO YA KAZI YA 2007, ibara ya 61:1MKURUGENZI NA OFISA ELIMU WALIKOMENT NITOLEWE ILA OFISA UTUMISHI...
  7. N

    Kiwango cha Mishahara Walimu Wapya

    walimu mbona nyie wepesi sana wakutoa sir zenu?.hivi mnajua kuwa sio wote walimu humu? hata kama aliyekuuliza unamfahamu mtumie PM
  8. N

    KATIBA PENDEKEZWA,Ni VIZURI KUWA NA HOJA KULIKO UBISHI BILA DIRA

    KUNA HASAR ZIPI TUNAZIPATA IKIWA TUTAIKUBALI AU KUIKATAA NA KUNA FAIDA ZIPI ZAKUIKUBALI NA KUIKATAA?.endapo itakataliwa itaanzwa upya au vipengele vinavyoleta utata ndo vinafanyiwa maboresho.TUSIWE WABISHI TUWASIKILIZE KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAM NA WANASHERIA WENGINE WATUPE MWONGOZO...
  9. N

    Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

    mbona hoja ya uncleben iko vizur inahitaji mjadala kuwa nini amakiona ilitushirikishane mawazo. kionekanacho wakati mwingine hakina maana ya mwonekano namaanisha ukikisoma haina maana unakielewa vizur.UKIJIBU KUWA ANATEMA POVU TU mimi nakuona wewe ambaye huijibu hoja ndo unatema povu.ACHENI...
  10. N

    Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

    ni vyema ungesoma kwa makini ungenielewa nilichokimaanisha .ule nitoa mfano tu kijana pia umejibu hoja kwa hasira sio kiuweled maana umetoa maneno yasiyo yakistaarabu .usijikite kwenye kufeli kwangu maana hilo neno la kufel nalisika kwako.kijana makini anajadili hoja nasio kumjadil mjumbe .
  11. N

    Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

    Kijana hata wewe unahasira au umejipanga kubishana nasio kujadiliana maana niukweli usiopingika kuwa katiba inayopendekezwa umetupilia mbali maoni ya wananchi kwa maana hiyo hiki ndicho kilichotakiwa kuwa kiini cha mjadala kuwa yaliyoachwa yanamaslahi kwa nchi au yalikuwa yanawabana viongozi...
  12. N

    Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

    sasa vijana!! hamuwez kuwa sawa kwa kila jambo,kila mtu anamtazamo wake pia mkubali kutokukubaliana.NIVYEMA MTOA MADA USIWEBIASED maana hawawezi kaka kikao wazee 500 na vijana 500 ukasema vijana na wazee wote wamekubali.kwa jiji kama hilo kitafiti sample iliyotumika hainishawishi japo mk...
  13. N

    Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

    UTASHI ZAIDI UNATAKIWA NA SIO USHABIKI.katika katiba tusiangalie hoja yakuwa ni mbaya au nzuri?haiwez kuwa nzur au mbaya jumla lamsingi hoja zinazo zungumziwa kuikwamisha katiba zina maslahi kwa taifa au kundi la wachache? mfano uwajibikaji wakiongoz unamaslah kwa nan? kupunguza nafas za uteuzi...
  14. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    waliokataliwa wapeleke barua zao (nakala) au waandike upya wapeleke kwa katibu tawala mkoa wasisahau viambatanisho vya barua.watahama tu
  15. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kama kweli nitafute 0756 729922
  16. N

    Wasomi zaidi ya 100 wamejaa Nyumbani kwa Lowasa Dodoma asubuhi hii

    Mnatukana?mtashangaa chama kikimpitisha tu hakika huyu ndiye atakayekuwa ris ambaye wengi tuliye kuwa tukimsubir.jiulize hayo maandamano yalipitia wapi polisi wasiwaone?.mzee anasafishwa kwa matope aliyopakwa.kwa ccm hataliwe jiwe litashinda tu
  17. N

    Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

    siwezi kujiunga wala kuhama kisa fulani kajiunga au kahama,loo! huo ni ujinga uliopitiliza.TZ bado sana.KWA UTASHI HUU MDO WA WAWATANZANIA SIONI HAJA YA CCM KUWAWAJIBISHA VIONGOZI WABAYA MAANA WANANCHI HAWATAKI KUWAJIBISHWA KWA WATU WANAOWAKUBALI.NAANZA MM 1.LOWASA GOMBEA HATA KWA NGUVU UNAKURA...
Back
Top Bottom