Search results

  1. Y

    Barua ya siri ya Lema kuvuruga Arusha yanaswa, awatishia madiwani wa CHADEMA kufukuzwa endapo...

    Hata kwa akiri ndogo tu unaweza kutambua kuwa ni uongo mputu. Yaani wagombea ambao hata kura hawajapigiwa awaandinkie barua kuwaonya kutomptambua meya? Duh!
  2. Y

    Nguvu ya umma yashinda uchaguzi chuo kikuu cha ruco

    RUCO - Ruaha University College
  3. Y

    Mwigulu Nchemba yupo wapi?

    1. Umesema kuna mambo mengi sana kuhusu kupotea kwa Mwigulu! Taja machache basi 2. Unadai wengine wamezusha mengi! Taja angalua machache waliyozusha. 3. Unataka aje afanye nini wakati hujaeleweka unataka nini?
  4. Y

    Kigwangallah matatani kwa tuhuma za ufisadi

    Hata kama ni la udaku unatakiwa kusema kama ni kweli au uongo. Kwa habari hii je, hakusamehewa kodi? Je hakuingiza bidhaa hizo? Je kampuni si yake? Je, hakuuza hivyo vifaa vilivyo samehewa kodi? Ujue kwa kariba yako hukutakiwa kusema tu ooooh! Tanzania daima ni gazeti la udaku. Jibuni tuhuma hizo
  5. Y

    Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

    Unawajua waarabu? Kumbuka enzi za utumwa.
  6. Y

    Limevunda CHADEMA

    Umenena, nilitaka kusema hivyo hivyo.
  7. Y

    Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

    Kipenga unajitahidi lakini husikiki. Nakuonea huruma sana kwani wewe ndo unatoka povu kwa mabandiko yako yasiyo na mwelekeo.
  8. Y

    Tsunami ya Kinana yaimaliza CHADEMA Gairo

    Nadhani hujajitambua ndo maana unaitwa mlengera
  9. Y

    CHADEMA MMefungua NJIA!

    Unajifariji eeeeh!
  10. Y

    Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    Ungesema daktari jaa, usiwaunganishe na wasiokuwemo.
  11. Y

    Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    Bana anaeleweka huwa hana point.
  12. Y

    Mjengwa asitisha mahusiano na Ludovick Joseph kwa tuhuma za 'kuhusika na matukio ya kigaidi'

    Ingependeza kama Mjengwa angesubiri uchunguzi na uthibitisho wa tuhuma kwa "udovick. Ina maana mkewe akituhumiwa atampa taraka? Nilitegema angesema watampa msaada kupata haki yake. Kuna jambo nyuma yake.
  13. Y

    Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

    KIBE uspinde sana kuibedha chadema, jizoeshe kuipenda usijepata mshituko 2015
  14. Y

    Kitila Mkumbo wa CHADEMA na suala la elimu

    Kitila mkumbo haendi kinyume na CDM, nadhani hukuelewa mantiki ya makala yake. Alisema si elimu tu imefeli bali ni seketa zote hivyo si Kawambwa tu anatakiwa kujiuzulu. Kwa Kitala kumtoa Kawambwa peke yake ni kumuonea. Nadhani alikuwa anapendekeza kutoa serikali yote kwa kumuondoa bosi wao...
  15. Y

    Zitto alinikataza nisiwe rafiki wa Saed Kubenea - Asah Mwambene, Mkurugenzi Habari/Maelezo

    Bila shaka Zitto atakanusha na kusema Asah ni muongo kwa vile hataweza kuthibitisha kuwa Zitto alimwambia maneno hayo. Inawezekana Zitto alikuwa anamshauri tu namna ya kufanya kazi na vyombo vya habari. Inawezekana Zitto alijua udhaifu wake ndo maana akampa ushauri mapema. Kwa kusema...
  16. Y

    Maandamano makubwa ya kumpokea waziri wa maji

    Uwt hawana kosa wanajua magembe ni fisadi, na kwamba anahitaji masifa, hivyo wakamwomba pesa wafanye maandamano akakubali. Hii ni njia ya kula mapesa yake. Hata hivyo hili haliataondoa udhaifu wake katika utyendaji wake. Ni dhaifu mno haendani na elimu yake.
  17. Y

    Polisi wapiga marufuku maandamano ya leo ya wapinzani

    Unajitahidi sana kupuliza kipenga lakini kumbe kibovu. Utaishiwa pumzi. Eti jeshe lililotukuka! Eti mamlaka imezuia! Ukombozi utakuja tu. Tutawabana kila kona mpaka mapovu yawatoke. Huna cha kuwashauri vijana kwani yaelekea hujui maeendeleo maana yake nini.
  18. Y

    John Mnyika: Sheria mpya zinawalinda mafisadi

    Mnyika anajitahidi sana kuelimisha jamii kuhusu udhaifu wa serikali na wapambe wake. Makinda atajutia maamuzi yake na ubabe wake siku za usoni. Mpe miaka mitatu tu mtamsikia.
Back
Top Bottom