Search results

  1. shadow recruit

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Hizi hapa dondoo 15 muhimu za kuzingatia dhidi ya propaganda hasi kwa bandari ya DSM 1. Magati yote 12 pamoja na maeneo ya kuhudumia shehena za mafuta yanahudumia meli hadi kufikia muda huu wa leo tarehe 28 Januari 2024, tofauti na wapotoshaji wanaoposha kwa makusudi kuwa ni magati mawili (2)...
  2. shadow recruit

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    naangalia data za uhitaji wa soko agaist uwezo wetu nachanganyikiwa. natamani namimi niwe sehemu ya mnyororo wa thamani wa bandari aisee
  3. shadow recruit

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    ameeleweka kiwepesi sana kuliko ugumu unaotaka kujaribu kuuleta in short nilivyoelewa ni kama tunavyosubiriana tu dukani kwa mangi kuhudumiwa nyakati zenye wateja wengi, wala haimaanishi mangi ni dhaifu au mzembe bali ni wateja tumekutana katika eneo moja kwa wakati mmoja. wacha tuendelee kujifunza
  4. shadow recruit

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    unaweza kunituma inbox please hizi nondo nishee na wadau wengine nje ya humu?. zimeshiba sana aisee, kumbe zile meli pale ni neema kiasi hiki?.
  5. shadow recruit

    Kuelekea miaka mitatu ya Rais Magufuli: Mafanikio ya bandari yaleta matumaini

    Minafikiri ni hatua kubwa inapigwa ukilinganisha na huko tulipotoka na hii inatokana na Rais wetu kuwa firm kwenye suala la bandari na kuchukua hatua mbalimbali. Tukijipanga kwenye bandari tu hii nchi inafika lengo lake la kuwafikia uchumi wa kati na nnaposema bandari simaanishi ile ya Dar es...
  6. shadow recruit

    Kuelekea miaka mitatu ya Rais Magufuli: Mafanikio ya bandari yaleta matumaini

    Huwezi kuvunja credibility ya habari sababu wewe una personal grievance na gazeti. Kama waandishi wamekwenda na kumuhoji mkurugenzi na akawapa hizo data misioni tatizo hapo.
  7. shadow recruit

    Ajali MV Nyerere: Waziri Mkuu amsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa TEMESA kupisha uchunguzi. Aunda Tume ya uchunguzi

    RAIS John Magufuli amemwagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Issack Kamwelwe kutangaza zabuni haraka kwa ajili ya kupatikana kivuko kipya cha Ukara. Hatua hiyo inakuja baada ya Kivuko cha MV Nyerere, kinachotoa huduma katika kisiwa hicho kilichoko katika Ziwa Victoria...
  8. shadow recruit

    Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

    lakini bandiko mbele yetu linaonyesha bwana MAGUFULI ndiye aongozaye, labda tujuze zaidi mkuu kuhusu hayo uyasemayo.
  9. shadow recruit

    Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

    Wenye watoto wa mjini wanasema, kwa mara ya kwanza chama kikubwa cha upinzani kinatumia phrase "Kama unaushahidi " nafikiri nitoo embarrassing.... TANGANYIKA HURU: Utafiti Wambeba Magufuli Urais 2015
  10. shadow recruit

    Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

    teh teh teh!! Nikweli Lowassa raisi lakini MAGUFULI ndiye rais
  11. shadow recruit

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Standard Chartered ilikuwa na imani kuwa baada ya kununua deni la Mechmar ndani ya IPTL, ingekuwa rahisi kupata fedha zilizowekwa kwenye akaunti ya Escrow ambayo sasa inabishaniwa. Fedha za Escrow zilipolipwa kwa wahusika wa IPTL, Standard Chartered ikajikuta ikiwa njia panda, haijui madeni...
  12. shadow recruit

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Kuna Kundi la wafanyabiashara ambao walifanya kila juhudi ikiwa ni pamoja na kumwaga mamilioni ya fedha wakati wa vikao vya Bunge, kwa kuwatumia baadhi ya wabunge waliopo CCM na wengi kutoka vyama vya upinzani kuhakikisha Waziri na Katibu Mkuu wanaondolewa. Kwa sasa baadhi ya vyombo vya habari...
  13. shadow recruit

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Rais Kikwete anapaswa kulitazama suala la IPTL ni matokeo ya msukumo wa wanasiasa, ushindani wa kibiashara, matatizo ya uwekezaji kwa wawekezaji wa ndani, msukumo kutoka benki za nje, uelewa wa mdogo kwa baadhi ya wananchi kunakotokana na kukosa taarifa za sakata hilo.
  14. shadow recruit

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Kimsingi PAC walifanya kazi yao kwafitina kubwa ya kisiasa na watu ni wazi walikamiana na kutaka kuoneshana ubabe wao. Mapendekezo yao hayajashabihiana na kilichoandikwa kwenye ipoti ya CAG.
  15. shadow recruit

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    MASWALI KWA PAC 1. Tunaitaka kamati hii itueleze, ni katika ukurasa wa ngapi, aya ya ngapi, nukta ya ngapi iliyopo kwenye ripoti ya CAG inayosema kwamba ESCROW ni MALI YA UMMA?. 2. Tunaitaka PAC itueleze, ni katika ukurusa wa ngaopi, aya ya ngapi, nukta ya ngapi iliyopo kwenye ripoti ya CAG...
  16. shadow recruit

    Usahihi: VAT kwenye escrow

    Mpuuzi mwingine huyu hapa!
Back
Top Bottom