Search results

  1. Hum B

    Phone4Sale Nauza iPhone X

    Habarini wakuu,Nauza iPhone X 256 gb No Face ID BH 82 Bei 380,000 Location tabata Cont:0658 130 630
  2. Hum B

    Msaada: Kila nikinywa bia mwili unawasha sana

    Mimi ni mnywaji wa bia, ila na wiki mbili sasa kila ni kinywa bia asubuhi mwili unaniwasha sana, tatizo litakua ni nini? Msaada kwa mwenye kujua
  3. Hum B

    Kupendwa na watu wenye Majini(Maruhan) na watu wenye mafanikio kimaisha

    Habari zenu wadau! kuna jambo hua linanitatisha sana kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza hapo juu. yani watu wenye majini kichwani siyo ya kupanda na watu wenye mafanikio kimaisha hua wanatokea kua marafiki zangu sana na hua wananiamini sana?, mimi kijinsia ni ME na wao hua ni ME, mwenye...
  4. Hum B

    Nauza ipad min air

    Nauza ipad min air ipo katika hali nzuri haina apple id wala icloud bei ni laki 8 nipo dar nimeshindwa ku upload picha ila naweza kukutumia whatsapp au tukaonana ukaiona kwa aliye tayari tuwasiliane 065-378-0895
  5. Hum B

    Nyumba inauzwa Tabora, Kariakoo

    Nyumba hii ina vyumba 3 kimoja master, sitting room, dinning room,jiko na choo na bafu. Ipo tabora kariakoo.Nimeshindwa ku upload picha ila naweza kukutumia picha kwa whatsapp. kwa mawasiliano zaidi: 0658-130630 0754-618440
  6. Hum B

    hum boy

    hodi wakubwa
Back
Top Bottom