Search results

  1. Bhudagala

    2024 Jitenge: Somo kwa watiifu

    Na haiwezekani
  2. Bhudagala

    Mnaosafiri kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya...

    Vipi kwa tunaopanda Saratoga, naona kama ushauri unatubagua
  3. Bhudagala

    Namna gani ya ku-edit scanned documents?

    Hujui ulichokiongea mkuu.
  4. Bhudagala

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    1. Kumtafuta fundi ambaye ni ndugu yangu kwa lengo la kuokoa gharama. Aliharibu Foundation ya nyumba, alimanusura nibomoe jengo lote. Niliokoa baada ya kutafuta fundi mwingine. 2. Kujenga nyumba kubwa kinyume na uwezo.
  5. Bhudagala

    Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Kuifahamu miili na lishe haihitaji BIOLOGY ya Sekondari.
  6. Bhudagala

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Psychologically mnakuwa free, hakuna mihemko
  7. Bhudagala

    Nabii Luthu pita huku ( Dulla Makabila Remix )

    Kumbukeni Mungu hachunguzwi wazee. [emoji3] Huko kwenye Biblia kuna mtu aliambiwa alale na mke wa kaka yake ili amwongezee uzao, jamaa alimwaga chini. Mungu alilaani hicho kitendo. [emoji3] Sijui ni kitabu kipi. Wataalam njooni
  8. Bhudagala

    Kupanda kwa bei ya vocha za simu

    Hii ilikuwa 2000's kule kijijini kwetu. 500 =600 kipindi cha ShivaCom
  9. Bhudagala

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Airtel wanakupa MB 500 za bure kila wiki unaponunua kifurushi cha internet kuanzia 1000. Sijui kama ni subscribers wote. Kwa wenyewe matumizi ya social networks sio mbaya.
  10. Bhudagala

    Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari waungwana! Naomba msaada wa mawasiliano ya mtu anayefanya biashara ya ng'ombe au duka la nyama mbichi ya ng'ombe (bucha) Katoro sehemu yoyote ile. Kuna kitu nahitaji anisaidie hapa. Hata kama sio wewe, nisaidie kuniunganisha na mtu unayemfahamu. Boksi langu la meseji linasubiri namba...
  11. Bhudagala

    Biashara ya Bucha/duka la nyama mbichi ya ng'ombe Katoro

    Habari waungwana! Naomba msaada wa mawasiliano ya mtu anayefanya biashara ya ng'ombe au duka la nyama mbichi ya ng'ombe (bucha) Katoro sehemu yoyote ile. Kuna kitu nahitaji anisaidie. Hata kama sio wewe, nisaidie kuniunganisha na mtu unayemfahamu. Boksi langu la meseji linasubiri namba hiyo...
  12. Bhudagala

    Naomba connection ya mabelo nguo za mtumba Mwanza/Katoro

    Asante sana. Hakuna namna ya kupata mawasiliano yao mkuu
  13. Bhudagala

    Naomba connection ya mabelo nguo za mtumba Mwanza/Katoro

    Habari wadau! Kwa mnaoguswa na tozo kama mimi poleni sana. Naomba kuutaarifu umma kwamba niko njiani kuingia kwenye biashara ya nguo za mtumba. Nimedadisi kiasi fulani nikaona nguo za mtumba ni biashara ambayo siwezi kukosa hela ya kula. Changamoto niliyoisikia ni kwamba kwenye kununua...
  14. Bhudagala

    Naomba connection ya mabelo nguo za mtumba Mwanza/Katoro

    Habari wadau! Kwa mnaoguswa na tozo kama mimi poleni sana. Naomba kuutaarifu umma kwamba niko njiani kuingia kwenye biashara ya nguo za mtumba. Nimedadisi kiasi fulani nikaona nguo za mtumba ni biashara ambayo siwezi kukosa hela ya kula. Changamoto niliyoisikia ni kwamba kwenye kununua...
Back
Top Bottom