Search results

  1. R

    Elections 2010 Masuala ya uchaguzi

    BASI...vyama vinazumgumza kuhusu masuala gani kwa kushinda uchaguzi?
  2. R

    Elections 2010 Masuala ya uchaguzi

    Samahani Mwiba, lakini sielewi mambo nyingine umeandikwa kwa hyvio sijui sababu hutaki mimi nisome katika chuo hicho... unataka kujua habari nyingine kuhusu mimi?niulize unachotaka... nipo!:smile:
  3. R

    Elections 2010 Masuala ya uchaguzi

    :smile:
  4. R

    Elections 2010 Masuala ya uchaguzi

    Mambo! ningependa kupata mashauri kuhusu magazeti gani ni kuliko muhimu katika tanzania kwa kuelewa maswala gani yameandikwa kwa kampeni ya uchaguzi na habari zote zingeweza kunisaidia kuelewa wagombea wakuu... asante sana.
  5. R

    Elections 2010 Masuala ya uchaguzi

    Habari gani? Mimi ni Irene, natoka Italy, Naples na nasoma kiswahili katika chuo kikuu. Lazima nisome kwa tasnifu na ningependa kuandika kuhusu maswala ya uchaguzi ujao na kufuata kampeni zima hadi uchaguzi wa Oktoba. Natafuta magazeti muhimu yenye fikra ya kisiasa tofauti, lakini ningependa...
Back
Top Bottom