Mi tatizo langu nalia mapema kila bao dk tatu tu ni mekwisha nimeamua kuchukua tangawizi na vitunguu swaumu natwanga pia nachemsha ikipoa nakunywa leo siku ya pilitnafanya hivyo naomba ushauri juu ya Hilo
Afya wametoa majina ya waliochaguliwa ila unapaswa ku confirm mwisho tr 16 mwezi huu ingia kwenye profile yako kwa chini utaona chuo ulichochaguliwa then you have to confirm
Nimejaza form ya mkopo na kuprint nakuja kugundua baadae nakuta nimejaza wilaya tofauti na niliyozaliwa na iliyokwenye hati ya kuzaliwa kwa ss naishi wilaya nyngne tofauti na nyumban kufuta na jaribu inashindikana
nilisahau kumtaarifu ila mi nilkuwa na mpenda ila mi kanishangaza mda mrefu 2mependana lakn kaj2 kadogo 2 aka ndo kamemfanya anikimbie nimemwambia aongee nae akakataa nam siwez mbembeleza nikaamua nimuache
Kaja ndugu yangu wa kike kunitembelea sehemu ya kazi amekaa takriban wiki nzima demu wangu skumtarifu sa kapata taarifa kutoka kwa marafki zake kuwa nina manz ndan alivyonipigia nkamueleza ila hajanielewa kaamua kusema mi nawe 2meishia apa iv kwel uyu alikuwa ananipenda ama?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.