Search results

  1. makolola

    ombi kwa rais Magufuli

    Kwanza kabisa ni kuhusu ugumu wa maisha unaozidi kushamiri.: Tunaomba sura za viongozi wote wa umma zifanane na sura za raia walioko mitaani ambao wengi wanaonekana sura zao kukunjamana na kudumaa ingawa wengine wana umri mdogo,wengi wao wana vigezo vya kuwa watumishi ila kama ujuavyo nchi...
  2. makolola

    Kwanini wanawake hukimbia waume zao kipindi hali ya fedha si nzuri?

    Nimekuwa nikisikia kesi nyingi za hivi,tena wanawake wengi hukimbia na mali za waume zao kwenda kujichimbia nazo kwa hawara yake au mabuzi yake. Sasa najiuliza kwa nini wanakuwa na akili nyepesi kiasi hicho? Maana kuyumba kwenyewe kifedha huwa ni suala la miezi kadhaa tu,wanajidhalilisha kiasi...
  3. makolola

    hawa jamaa wa british center wa kwa azizi ali wanatoa ajira gani?

    hawa jamaa wamebandika mabango maeneo mengi jijini ila ajira zao hazieleweki?mwenye kuwajua vizuri anijuze.
  4. makolola

    walioitwa wizara ya mambo ya ndani ukonga

    kama kuna walioitwa wizara ya mambo ya ndani ukonga wanipe link ya majina ,nimepigiwa simu kwenye daladala sasa sikumbuki tena. nijulisheni.niliomba post ya it wakasema jumanne ila hata eneo silijui
  5. makolola

    Kwanini Kubenea na Madiwani wake wote wanyimwe kura Ubungo? Sababu zipo

    Sababu ni kwamba mabadiliko hatuyafanya leo tumefanya tangu 2005 na 2010, akiwa mnyika bungeni:- Wanawake wameendelea kujitwisha ndoo za maji mbunge haonekaani Diwani haoneklani dispensari ya serikali ni dawa ghali kuliko binafsi Ajira zimeendelea kuwa ngumu kwa vinywaji Mazingira ya...
  6. makolola

    Natafuta mtu wa kuuza frem ya mkaa kwa rejareja

    Natafuta mtu wa kuuza fremu yangu ya mkaa, iko ubungo mwananchi. aliyekaribu na eneo na anataka kazi anitafute kwa namba:- 0717034760
  7. makolola

    Bamia au nyanya chungu?

    Nataka kujaribu kilimo cha bustani ila naiuliza kati ya bamia au nyanya chungu ni zao gani linafaida nzuri na soko la uhakika? nategemea kulima kilimo cha umwagiliaji mkoa wa pwani.
  8. makolola

    Mkoa gani Tanzania wenye uchawi wa kutisha na mkubwa zaidi?

    Ni amaeneo gani kuna wachawi zaidi kwa tanzania?
  9. makolola

    Mtu akifa Roho yake huenda wapi?

    Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike?
  10. makolola

    Lowasa inabidi awekae mbali na kamba za katani au vitu vyenye ncha kali.

    Huyu jamaa kwa sasa anaona maruweruwe, waliokuwa wamemfadhili kwenye mikoa na wilaya sasa wamejiandikia kufilisika. Huyu mtu asipoangaliwa anaweza kujirestisha in peace, maana dunia imeshakuwa jehanam kwake, haikaliki tena
  11. makolola

    Nafasi ya kazi saluni ya kike

    Nahitaji mtu(mwanamke au mwanaume) kufanya kazi saluni ya kike. Awe anajua kusuka weaving, yeboyebo, kuset na kuretach. Eneo la kazi ni Dar es Salaam, Ubungo External. Wasialiana kwlutiona email:zansususolution@gmail.com Namba: 0768942828
  12. makolola

    Uchawi na mizimu inasaidiaje mtu kufanikiwa?

    Wadau nataka kujua vitu hivyo vinaweza kutumika kumfanya mtu akafanikiwa na ni namna gani mtu ambaye hajihusishi navyo anaweza kuzuia ili visimuharibie biashara zake.
  13. makolola

    Kwanini wanawake hutumia majina ya waume zao wanapoolewa?

    Najiuliza kwanini mwanamke akiolewa anaachana na jina la baba yake mzazi na kutumia jina la mme wake kama ubin wake? Nini sababu ya hii maana pia naona iko kwenye tamaduni nyingi ni ipi hasa sababu inayopelekea hivyo?
  14. makolola

    Ufanyeje unapokaa miaka bila ajira?

    Kwa wale tunaokaa miaka bila kupata ajira, tufanyeje maana hali imekuwa mbaya kiasi cha akili kutaka kuruka. Mwenye ushauri tafadhali.
  15. makolola

    Wapi nitapata mashine za kufanya palizi shamba la mahindi

    Nahitaji mashine za kufanya palizi ,shamba la mahindi kwa anyejua zinakopatikana anijulishe
  16. makolola

    Kwa hali hii ngumu ya uchumi ni biashara gani inalipa?

    Kutokana na uchumi kubana sana ni biashara gani ambayo inalipa kwa mtaji wa chini ya milioni moja?
  17. makolola

    Biashara ya Guta ikoje

    Wadau nauliza ukiwa na guta( hizi za kuchochea kama baiskeli) hesabu yake kwa siku ni kiasi gani?
  18. makolola

    Kilimo cha umwagiliaji Ruvu

    Habari, Nahitaji kuanza kilimo cha uwagiliaji kwa maana ya bamia,pilipili na nyanya chungu. Naomba mwenye uzoefu wa kilimo huko na urahisi wa kupata maeneo anijulishe.
  19. makolola

    Business management software

    Kwa wale wa wenye biashara zao wanahitaji software kwa ajili ya kumanage.Wanahabarishwa kuna software package ambayo inapatikana. hii nikwa wali wa:- Mashuleni: kwa ajili ya kutunza maksi za wanafunzi na kumbukumbu zote za ada na michango, hii itasaidia kupunguza wingi wa mafaili na kuondoa...
  20. makolola

    Business management software

    Kwa wale wa wenye biashara zao wanahitaji software kwa ajili ya kumanage.Wanahabarishwa kuna software package ambayo inapatikana. hii nikwa wali wa:- Mashuleni: kwa ajili ya kutunza maksi za wanafunzi na kumbukumbu zote za ada na michango, hii itasaidia kupunguza wingi wa mafaili na kuondoa...
Back
Top Bottom